×

Kitaifa

TCRA Yavifungia Vituo 27 vya Radio na Televisheni

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy. MAMLAKA ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6...

READ MORE

Chadema Yashinda Umeya Ilala-Dar

Meya Mteule wa Ilala, Charles Kuyoka (Chadema) akiongea baada ya kushinda (aliyesimama wa pili kushoto).Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...

READ MORE

Ukawa Yashinda Umeya Kinondoni

Hali ilivyokuwa kwenye kikao hicho cha uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na naibu wake kilichofanyika katika Ofisi za Manispaa ya...

READ MORE

Bandari kwazidi kuwaka moto

SERIKALI imeendelea kuisafisha Bandari kwa kuwaondoa watendaji wa ngazi za juu na kuwahamishia wizarani ili kuongeza ufanisi katika utendaji, sambamba...

READ MORE

Ujenzi barabara ya Mwenge-Morocco Dar waendelea kwa kasi

Gari maalum la kusambaza kokoto likiwa kazini. Taswira ya barabara ya Mwenge kuelekea Morocco Dar ilivyo. Gari la kumwaga maji...

READ MORE

Rais Magufuli Amfukuza Kazi Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa...

READ MORE

Matokeo Kidato cha Pili 2015 Haya Hapa

Bofya hapa kusoma matokeo====>bit.ly/1n5HK8w

READ MORE

Halima Mdee ashinda kesi ya uchaguzi

Mbunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee leo ameshinda kesi ya...

READ MORE

Mabaharia Watinga Wizarani Kudai Mikataba

Wanajumuiya hiyo walivyojikusanya katika eneo hilo.Wanajumuiya ya Mabaharia wakiwa wamesimama ndani ya geti la Wizara ya Uchukuzi jijini Dar, leo....

READ MORE

Linex ‘ndoa’ yake yasengenywa

Mwanamuziki Linex. Juzikati zilivuja picha zikimuonesha Mwanamuziki Linex akiwa kama vile amefunga ndoa na bonge la msichana.Picha hizo ziliwafanya watu...

READ MORE

Waliomuozesha Mtoto wa Miaka 13, Shinyanga Kutiwa Mbaloni

(PRESS RELEASE) WIZARA YAAGIZA KUKAMATAWA KWA WALIOMWOZESHA MTOTO WA MIAKA 13 WILAYA YA KISHAPU, MKOA WA SHINYANGA WIZARA ya Afya,...

READ MORE

Kesi ya Bomoabomoa Dar yawakusanya waathirika mahakamani

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar waliobomolewa nyumba zao zilizokuwa mabondeni wakiwa nje ya Mahakama Kuu ya Ardhi jijini...

READ MORE

Polisi, Yono Watanda Majembe Auction Mart

Hali ilivyokuwa nje ya Makao Makuu ya Kampuni ya Majembe Auction Mart jijini Dar. Jengo la Majembe Auction Mart lililopo...

READ MORE

Linah: Mastaa Afrika wananitaka kimapenzi

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’. Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu staa wa Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Davina akanusha kuchepuka

Staa kutoka Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’. Na Imelda Mtema STAA kutoka Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amekanusha tetesi zinazozagaa...

READ MORE

Sabby kumpa figo mama yake

Staa wa Filamu ya Sio Riziki, Sabrina Omary ‘Sabby’. Na Imelda Mtema STAA wa Filamu ya Sio Riziki, Sabrina Omary...

READ MORE

Washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba wakabidhiwa zawadi

Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving’amuzi vya TING, Anitha Chawe (kushoto), akimkabidhi zawadi mshindi wa kig’amuzi, Happyness Haule (katikati) na Ofisa...

READ MORE

Kamanda Sirro: Tumekamata Majambazi na Tunaendelea Kukamata!

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akionesha baadhi ya silaha zilizokamatwa.Kamanda Sirro akionesha bastola zilizokamatwa...

READ MORE

Akamatwa na vipande 8 vya meno ya tembo Katavi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa Katavi Dhahiri Kidavashari akiwa ameshika meno ya Tembo aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Nzuri Ndizu mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Bakwata sasa kuratibu na kusimamia safari Hija ndogo

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), Suleiman Saidi Lolila, akitoa ufafanuzi wa jambo mara baada ya...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatoa Msaada kwa Mahabusu Watoto, Dar

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe (kushoto) akimkabidhi Afisa Mfawidhi wa Mahabusu...

READ MORE

CCM Yaomba Radhi Kutokana na Maneno ya Kibaguzi Kwenye Bango, Z’bar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja...

READ MORE

Taswira za sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Vikosi vya Ulinzi liliandaliwa rasmi...

READ MORE

Waislam nchini walaani mauaji ya Sheikh Bagir Nimr 

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya waumini wakiwa kwenye dua maalum. WAUMINI na viongozi wa Chuo...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Sumaye

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya...

READ MORE

Global yatoa mifuko 100 ya saruji ujenzi sekondari Kinondoni (Picha+Video)

DC, Makonda (kulia) akipokea mfuko wa saruji kutoka wawakilishi wa Global, Elvan Stambuli (katikati) na David Mwaipaja (kushoto). Wanahabari wakichukua...

READ MORE

Watu 331 wafariki dunia mkoani Mbeya kwa ajali za barabarani 2015

Jumla ya watu 331 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani mkoani Mbeya katika kipindi cha mwaka 2015 ikiwa ni...

READ MORE

Chadema watuma salamu za rambirambi kifo cha Leticia Nyerere

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LETICIA NYERERE Tumepokea kwa...

READ MORE

Polisi wa Usalama Barabarani, Vodacom Watoa Elimu Kwa Madereva

Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara (DTO) Ahmed Mutabuzi (wapili toka kushoto) akiwakiwaelimisha madereva...

READ MORE

Taarifa ya Uteuzi wa Wabunge Kwenye Kamati za Kudumu Za Bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai. TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WABUNGE KWENYE...

READ MORE

CUF yakataa kurudia uchaguzi Zanzibar (Picha + Video)

VIDEO Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi (Cuf), akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani) katika mkutano...

READ MORE

Hospitali ya Tumbi Yanufaika na Msaada wa Vodacom Foundation

Madaktari na Wafanyakazi wa Shirika la Elimu Kibaha, Mkoa wa Pwani wakiwa kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya kuwasaidia...

READ MORE

Rais Magufuli Amfariji Mama Maria Nyerere Kwa Kufiwa na Mkwewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe...

READ MORE

Wizara Ya Afya Yatoa Tathimini Kuhusu Ugonjwa Wa Kipindupindu

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangala (kushoto) akisoma ripoti hiyo mbele ya...

READ MORE