×

Kitaifa

Wafanyakazi NMB Waifanyia Usafi Hospitali ya Sinza, Parestina‏

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (watatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa...

READ MORE

Dar Waadhimisha Uhuru kwa Kufanya Usafi

Wafanyakazi wa Manispa ya Kinondoni kwa kushirikiana na polisi wa Osyterbay wakifanya usafi maeneo ya Bamaga-Mwenge. RPC wa Wilaya ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya Usafi Soko Kuu Kariakoo, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam, leo Desemba...

READ MORE

Makamu wa Rais aongoza usafi Kinondoni

Makamu wa Rais, Samia Suluhu (kulia) akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Akiweka takataka kwenye toroli....

READ MORE

Picha za Viongozi wa Serikali na Wananchi wakifanya Usafi

Rais Msitaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na wananchi wa Chalinze katika kuifanya usafi.Jakaya Kikwete...

READ MORE

Mkurugenzi wa Global afanya usafi na wafanyakazi wake

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, akifanya usafi leo nje ya Ofisi ya Global Bamaga, Mwenge jijini Dar. …Akiendelea kufanya...

READ MORE

Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kufanya Usafi

Hapa kazi tu ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo aonekanavyo...

READ MORE

PSPF wapeleka huduma mpya ya Bima ya Afya Majira, Mwananchi

Mkurugenzi wa Mipango naUwekezajiwa PSPF, Bw. Gabriel Silayo (wanne kushoto) akisisitiza jambo katika kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wakuu wa Mfuko...

READ MORE

Salam za Rais Magufuli kwa wananchi siku ya Uhuru

Mhe.Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.

READ MORE

Google wasapoti Uhuru wa Tanzania

Kampuni ya Google Inc ya Marekani leo wameisapoti nchi ya Tanzania katika maadhimisho ya Uhuru wake kwa kuweka bendera katika...

READ MORE

Majambazi yaiba na kuua Chanika

Watu wanaodaiwa kuwa majambazi jana wamevamia na kupora fedha katika benki za CRDB na DCB zilizopo eneo la Chanika jijini...

READ MORE

Magereza Wakutana Kujadili Rasmu ya Mpango wa Chakula kwa Wafungwa

Mkurugenzi wa Miradi ya Uchumi na Utafiti kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. Beatus Alois (kushoto wa kwanza)...

READ MORE

Ofisi ya taifa ya takwimu yaeleza mfumuko wa bei nchini

Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo (kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Onesho la Pop Up Bongo lafanyika kwa kishindo Dar

Mmoja kati ya wanawake wajasiriamali jijini Dar, Aika Lawere ambaye pia ni mmiliki wa   Mbezi Garden alikuwepo pia. Mwanzilishi mwenza...

READ MORE

Chagonja ateuliwa kuwa Kamishna Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kamishna mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Paul Chagonja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe...

READ MORE

Agizo lake la usafi latekelezwa kwa kasi

Rais John Magufuli. AGIZO la Rais John Magufuli la kutaka Sikukuu ya Uhuru itakayoadhimishwa kesho, inakuwa ya kufanya usafi, limeanza...

READ MORE

Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu leo

Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli , Waziri...

READ MORE

Efm, DTB kutekeleza agizo la Rais Magufuli Desemba 9

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Efm radio kwa kushirikiana na Benki...

READ MORE

Wadau wa Sekta ya Utalii Wajadili Jinsi ya Kukuza Sekta Hiyo, Dar

Wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo.Wadau wakifuatilia kwa makini maada zilizokuwa zikijadiliwa.Mkutano ukiendelea.Katibu Mkuuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk....

READ MORE

Shiriki kuboresha Gazeti la Ijumaa

Mhariti wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima. Gazeti la Ijumaa ni gazeti bora pendwa Bongo!Hakuna anayebisha katika hilo. Ndani ya...

READ MORE

NMB yaibuka mshindi wa kwanza Tuzo za NBAA 2014

Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli amfuta kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na wanahabari (Picha na Maktaba). Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bandari...

READ MORE

Magufuli Ateka Kampeni za Urais Uganda…

Rais Dkt John Pombe Magufuli. KASI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli katika kubana matumizi...

READ MORE

Ubunge wa Saed Kubenea wapingwa mahakamani

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea. Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Massaburi, amefungua...

READ MORE

Shinda Nyumba ya Global kuzinduliwa wiki hii jijini Dar

Bango la Shinda Nyumba ya Global Publishers (katikati) likiwa eneo la Karume Jijini Dar. Bango likiwa eneo la Ubungo. Bango...

READ MORE

Tanesco yawafukuza kazi wafanyakazi 7 kwa ubadhilifu

Uongozi wa shirika la umeme nchini Tanesco umewafukuza kazi wafanyakazi saba waandamizi wa shirika hilo wakiwemo mameneja kutokana na makosa...

READ MORE

Airtel fursa yawataka vijana Bukoba kutoogopa vikwazo

Mjasiliamali wa mjini Bukoba Adamu Hemed akipokea cheti kutoka kwa meneja biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel...

READ MORE

Akutwa amefariki Daraja la Selander

Kikosi cha uokoaji kikielekea eneo ulipokuwa mwili. Wananchi wakishuhudia tukio hilo. Mwili wa mwanaume huyo baada ya kutolewa kwenye maji....

READ MORE

Vijana wapata mafunzo ya kujiajiri katika kongamano lililofanyika UDSM

Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wanawake 2002-2003 na kuchezea mpira timu hiyo kwa Miaka 15 mpaka anastaafu mwaka...

READ MORE

Daraja la Jangwani Dar laanza kusafishwa

Daraja la Jangwani, Dar kama linavyoonekana na maji ya Mto Msimbazi yakipita kwa shida kutokana na kuzingirwa na takataka.Tingatinga lililokuwa...

READ MORE

Watorosha kontena bandarini hawa hapa

  Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imetaja majina ya kampuni 43 na wamiliki wa makontena 329 ambayo yalipitishwa bandarini bila...

READ MORE