×

Kitaifa

Mlinzi Mbaroni kwa Kumuua Mkewe Kisa ARV

Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Peter Elias (29) mlinzi na mkazi wa Ndembezi Mjini Shinyanga kwa kosa la...

READ MORE

Ndugai: Mnaogopa Nini Kuleta Viambatanishi Ili Tuwavue Ubunge?

Spika wa Bunge , Job Ndugai amevitaka vyama vya siasa vinavyotaka kufukuza wanachama wao ambao ni wabunge kufuata sheria na...

READ MORE

Dkt. Abbasi:  Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa na Utamaduni Si Ndoto Tena Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara rasmi inaanzisha Mfuko wa Maendeleo ya...

READ MORE

Lambalamba Watikisa Sumbawanga

Wananchi wa Kijiji cha Mawenzusi, Sumbawanga mkoni Rukwa, wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita lambalamba wanaopita majumbani na kuwaaminisha kuwa...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Tumejiandaa Mechi ya Simba na Yanga

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi...

READ MORE

NMB Yaboresha Bima ya Faraja, Yatambulisha Bima ya Vikundi

  KWA mara nyingine Benki ya NMB imedhihirisha kauli mbiu yake kuwa ipo karibu na wateja, imekuja na maboresho ya...

READ MORE

Akanusha Mashitaka ya Mauaji ya Kimbari ‘Nilikuwa Mjamzito’

Mwanamke aliyefukuzwa Marekani na kurejeshwa nchini mwao Rwanda, amekanusha mashitaka ya makosa ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 akisema...

READ MORE

Rais Samia Kuzungumza na Wazee wa Dar

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Ummy: Serikali Kuwapata Wenye Ulemavu Mafunzo Ya Ujasiriamali

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea...

READ MORE

Kesi ya Seth na Rugemalira! Majadiliano na DPP Yamefutwa

Aliyekuwa mwanasheria wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege ameondoa rasmi maombi ya kufanya majadiliano ya kuimaliza kesi...

READ MORE

Afisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa

Humphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la...

READ MORE

Kesi ya Akina Seth, Rugemalira na Makandege Waondoa Maombi Ya Pre-Bargain Kwa DPP

UPANDE wa utetezi kupitia  Mshtakiwa aliyekuwa Mwanasheria wa kampuni ya  kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege,...

READ MORE

Polisi Dar Yanasa Vinara wa Wizi wa Magari, Pikipiki – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 161 wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa magari, pikipiki na...

READ MORE

Gwajima: Nchi ni Lazima Iwe na Maono ya Miaka Mingi – Video

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya...

READ MORE

Prof. Janabi: Ulaji Futari Nyingi Unachochea Mshtuko wa Moyo

Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii...

READ MORE

Shigongo Atembelea Wagonjwa Nyehunge, Awapa Neno Wahudumu wa Afya

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda wametembelea wakina mama ambao...

READ MORE

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi

Mbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu...

READ MORE

Vijana Wavamia Msiba, Wamwaga Chakula na Pombe

WAENDESHA bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel...

READ MORE

Watakaoingia Nchini Kuwekwa Karantini Siku 14

SERIKALI imetoa mwongozo namba sita kwa wasafi ri unaotaka abiria wageni au wakazi wanaoingia nchini kutoka nchi zenye aina mpya...

READ MORE

Rostam Alipua Bomu: Nimewekewa Vikwazo Kenya Tangu 2017

Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema uwekezaji nchini Tanzania na Kenya haufanani akibainisha kuwa ni rahisi kuwekeza katika nchi moja na ngumu...

READ MORE

Kenyatta: Ushirikiano wa Kenya na TZ Sasa Utakuwa wa Kiwango Kingine

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo.  ...

READ MORE

Samia: Bunge la Kenya Linasimisimua, Mna Demokrasia – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa...

READ MORE

Rais Kenyatta Atoa Wiki Mbili Tatizo la Mahindi Mpakani Litatuliwe – Video

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa wiki mbili kwa watendaji serikalini kuhakikisha sakata la mahindi ya Tanzania yaliyozuiwa kuingia Kenya...

READ MORE

Aliyetelekeza Makontena 500 ya Shisha Bandarini Asakwa

Takribani makontena 500 yenye urefu wa futi 40 yametelekezwa katika bandari ya Dar es Salaam yakidaiwa kuwa na shehena ya...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari Zake Kwenda India

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar as Salaam na Mumbai (India ) kuanzia...

READ MORE

Mjomba Aliyetuhumiwa Kubaka Mtoto wa Miaka 3 Ashinda Kesi

WANANCHI wa mtaa wa Mpeto kata ya Ramadhani mjini Njombe,wameiomba Serikali kuingilia kati kesi ya mtoto wa mtaa huo aliyebakwa...

READ MORE

Video: Rais Samia na Kenyatta Wafungua Kongamano la Wafanyabiashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Simbachawene: Kitambulisho cha Nida Hakihalalishi Kuwa Raia wa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa #Tanzania....

READ MORE

Mbunge: Wananchi Wanapimwa Uraia kwa Wimbo wa Taifa

Mbunge Florent Kyombo amesema wananchi wa Mkoa wa Kagera ambao unapakana na nchi tatu wamekuwa wahanga katika kutambuliwa na kupatiwa...

READ MORE

Breaking: Teddy Mapunda Afariki Dunia

HABARI zilizotufikia hivi punde, Mkurugenzi wa Service and Montage Limited, Teddy Hollo Mapunda, maarufu ‘Dada Teddy’ amefariki usiku huu katika...

READ MORE

Rais Samia, Kenyatta Wakubaliana Kujenga Bomba la Gesi

Marais wa Tanzania na Kenya wametangaza hii leo kuwa nchi hizo mbili zimeingia makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi...

READ MORE

Majaliwa Atua Chato Kwenye Kaburi la Magufuli

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Ndugulile: Tunaandaa Sheria ya Faragha Kulinda Taarifa za Mtumiaji

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema katika kutengeneza mazingira rafiki na wezeshi ya sekta ya Teknolojia...

READ MORE

Hotuba ya Rais Samia Ikulu ya Nairobi Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Kauli ya Rais Kenyatta Mbele ya Rais Samia Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Maendeleo Ya Viwanda Yaendane Na Hifadhi Ya Mazingira – Waziri Jafo

Serikali imesema kamwe haitakuwa kikwazo kwa wawekezaji wanaolenga kuwekeza katika sekta ya viwanda bali maendeleo ya viwanda ni lazima yaende...

READ MORE

Marufuku Kudai Vyeti vya Chekechea

Serikali imepiga marufuku wanafunzi wanaoanza elimu ya msingi (darasa la kwanza) kudaiwa vyeti vya elimu ya awali, kwa maelezo kuwa...

READ MORE

Shigongo Akagua Ujenzi wa Shule Mpya na Zahanati Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amefanya mikutano miwili ya hadhara katika Kijiji cha Kahunda na Katwe na...

READ MORE

Rais Samia Awasili Ziarani Kenya (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amewasili nchini Kenya ambako anafanya ziara...

READ MORE