×


Magazeti

Range la Wema layeyuka

   Staa wa muvi za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (kushoto) akiwa na gari yake gari aina ya Range Rover Evogue siku ya kuzaliwa kwake….

SOMA ZAIDI
No Picture

Mc pilipili asaidia wenye njaa

MC Pilipili akiongea na mtoto mwenye ulemavu wa ngozi. Na Mwandishi Wetu MCHEKESHAJI maarufu, MC Pilipili ameamua kujitoa na kuwasaidia wananchi mbalimbali wenye mahitaji maalum…

SOMA ZAIDI

OFM Yabaini Jipu Bima za Afya

Waziri wa afya Ummy Mwalimu. Na Mwandishi Wetu, Risasi mchanganyiko BAADHI ya madaktari wasio waaminifu, wanashiriki kuihujumu mifuko ya Bima za Afya na kuisababishia hasara…

SOMA ZAIDI

Nisha awekewa baunsa

Salma Jabu ‘Nisha. GLADNESS MALLYA Ili kuhakikisha hasalitiwi katika penzi lake jipya, mkali wa Bongo Fleva Baraka Da Prince, ameajiri baunsa kwa ajili ya kumlinda…

SOMA ZAIDI

Heeh eti mimba ya Kajala ya Diamond?

Mwigizaji Kajala Masanja. Na mwandishi wetu, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Hee! Huu ni ubuyu mpyaaa! Mwigizaji Kajala Masanja amekiri kuwa ni mjamzito huku taarifa…

SOMA ZAIDI

Mashehe 5 Waletwa ‘Kumtibu’ Nora

Muigizaji mkongwe wa filamu nchini, Nuru Nassoro ‘Nora’. Na Imelda Mtema, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Baada ya hali ya muigizaji mkongwe wa filamu nchini,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Polisi Buguruni hatarini

Polisi wa Kituo cha Buguruni jijini Dar wako hatarini baada ya kufungiwa huduna za kijamii kituoni hapo na aliyekuwa kigogo mmoja wa ngazi ya juu…

SOMA ZAIDI

Wastara: Nakuja kivingine

Msanii wa filamu Wastara Juma. Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea…

SOMA ZAIDI


Dereva Bajaj afa ghafla!

Marehemu Deogratius Mlawa enzi za uhai wake. Stori:  Suzan Kayogela, UWAZI DAR ES SALAAM: Inauma sana! Deogratius Mlawa, mkazi wa Mlalakuwa, Mwenge Dar, amekutwa kwenye…

SOMA ZAIDI

Mume amuua mke mjamzito!

Marehemu Clara Justin Munishi enzi za uhai wake. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Dunia katili! Clara Justin Munishi (30), mkazi wa Keko Mwanga,…

SOMA ZAIDI

Mbunge aangua kilio msibani

Mbunge huyo akilia. Stori: Imelda Mtema, UWAZI DAR ES SALAAM: Ukimwona mtu mzima analia, ujue kuna jambo! Mbunge wa Jimbo la Tarime (CCM) kwa miaka…

SOMA ZAIDI

Mama alivyoua wanaye kwa sumu

Eliza Bugusi Steve, enzi za uhai wake. Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mwanamke mmoja Eliza Bugusi Steven (28), mkazi wa Kijiji cha Kamugegi, Kata ya…

SOMA ZAIDI

Mrembo yamkuta mazito India, afa

Mariamu Salum akiwa hospitali. Stori:Gabriel Ng’osha na Gladness Malya, Wikienda DAR ES SALAAM: Inauma sana! Mrembo wa Kibongo, Mariamu Salum (29) yamemkuta mazito akiwa nchini…

SOMA ZAIDI

Shilole live na kidume mpya

Staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake mpya. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Baada…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mayanja ndiye bosi Simba Sc

Hans Mloli na Nicodemus Jonas MECHI tatu, ameshinda zote, hajafungwa bao lolote. Huyu ni Jackson Mayanja ambaye alisaini Simba kama kocha msaidizi lakini taarifa zimesema…

SOMA ZAIDI

Akaunti ya Tiffah yasoma Sh.Mil 200

  Stori: Musa mateja, wikienda Dar es Salaam: Watoto ni Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Wakati akitimiza siku 180 yaani nusu mwaka tangu kuzaliwa mwezi…

SOMA ZAIDI
Ma-video queen wanavyotumika kama Big G

Gigy Money. Wasanii wengi wa Muziki wa Bongo Fleva, kila wanapotoa nyimbo mpya hufikiria pia kuutengenezea video kali ili kuweza kuwashika vilivyo mashabiki zao. Katika…

SOMA ZAIDI