×

Magazeti

Mayanja ndiye bosi Simba Sc

Hans Mloli na Nicodemus Jonas MECHI tatu, ameshinda zote, hajafungwa bao lolote. Huyu ni Jackson Mayanja ambaye alisaini Simba kama...

READ MORE

Akaunti ya Tiffah yasoma Sh.Mil 200

  Stori: Musa mateja, wikienda Dar es Salaam: Watoto ni Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Wakati akitimiza siku 180 yaani...

READ MORE

Who is the father (Nani baba wa mtoto?)

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Idris Sultan. Stori: Mwandishi Wetu, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Who is the father (nani baba...

READ MORE

Nisha: Nikilala na kuamka na Barakah inatosha

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na ‘Barakah Da Prince. Stori: imelda mtema, Wikienda Dar es Salaam: Staa wa...

READ MORE

Ma-video queen wanavyotumika kama Big G

Gigy Money. Wasanii wengi wa Muziki wa Bongo Fleva, kila wanapotoa nyimbo mpya hufikiria pia kuutengenezea video kali ili kuweza...

READ MORE

Ung’eng’e wamrudisha shule Ester

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Na Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama amesema kuwa kutokana na ugumu...

READ MORE

Hii sasa ni vita Zari, wema wapambana

Wema Isaac Sepetu. DAR ES SALAAM: Hii sasa ni vita! Mpambano mkali umeibuka kwa mara nyingine kati ya Miss Tanzania...

READ MORE

Fomu za kupata utajiri zauzwa Freemason

Nembo ya Freemason. DAR ES SALAAM: Ona hawa! Huku Serikali ya Rais John Magufuli ‘JPM’  ikidhibiti kila aina ya upigaji...

READ MORE

Bahati Bukuku Aishiwa Nguvu

Mwimba Injili mahiri Bongo, Bahati Bukuku akiwa na huzuni baada ya kufiwa na mama yake. DAR ES SALAAM: Pole! Mwimba...

READ MORE

Dotnata, Pacha Wake Majanga

Staa mkongwe kwenye sinema za Bongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ akiingizwa kwenye gari la wagonjwa. DAR ES SALAAM: Staa mkongwe kwenye...

READ MORE

MwanaFA ndo’ Kishazima Bifu na AY

Muziki wa Hip Hop Bongo, Khamis Mwijuma ‘Mwana FA’. Boniphace Ngumije SAMBAZA NA HII SASA! Baada ya ubuyu mzito kusambazwa...

READ MORE

Sakina lyoka Mtangazaji mwenye kipaji cha kipekee

Mtangazaji Sakina Lyoka Leo katika Mpaka Home tunaye mtangazaji mwenye kipaji pekee ambaye anatangaza katika Kipindi cha Ng’aring’ari katika Kituo...

READ MORE

Mastaa Hawa na Mchezo Huu Vepeee?

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel Miongoni mwa mastaa wa filamu na muziki Bongo wamekuwa na viashiria vya vitendo visivyofaa hasa...

READ MORE

Lulu: Mama amenistiri sana!

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa hakuna wa kumthamini na...

READ MORE

Wastara ampa masharti magumu Bond

Wastara Juma na Bond Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amempa wakati mgumu aliyekuwa mwandani wake ambaye pia ni meneja...

READ MORE

Pablo Masai kuvuta jiko soon

Na Issa Mnally, Risasi DAR ES SALAAM. Mwanamuziki nyota wa FM Academia, Pablo Masai wakati wowote kuanzia sasa ataoa baada...

READ MORE

Rose Ndauka Hajali Nyumba Yao Kuvunjwa

Na Gladness Mallya WAKATI mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waishio mabondeni na pembezoni mwa bahari na mito wakihaha...

READ MORE

Sabby: Mapenzi Kwangu No

Na IMELDA MTEMA  MSANII wa Bongo movies Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amesema katika kipindi hiki cha kasi ya Rais John...

READ MORE

Tiko Adai Huu Mwaka Wa Kutoka

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan ameibuka na kudai baada ya mwaka jana kuwa mgumu kuliko kawaida...

READ MORE

Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi

Rehema Chalamila Ray C. MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha...

READ MORE

Kidoa amtangazia vita Zari

Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’. Musa mateja Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amemtangazia vita mpenzi wa...

READ MORE

Odama: Hakuna wa kuniondolea heshima yangu

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Imelda mtema Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema kuwa tangu alipoingia...

READ MORE

Amanda atumika kwa utapeli

Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’. Mwandishi wetu Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye...

READ MORE

Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio

Na Mohammed Mdose SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema...

READ MORE

Pluijm eti anataka soka la Wenger Yanga

Arsene Wenger Na Sweetbert Lukonge KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amekubali yaishe kwa kusema sasa anataka mabao tu na haina...

READ MORE

Katumbi aweka Sh bil 5 kwa Samatta

Ibrahim Mussa na Hans Mloli MBWANA Samatta anaelekea kuweka rekodi nyingine ya kuwa mchezaji wa Tanzania mwenye thamani kubwa zaidi...

READ MORE

Diamond Funga Mwaka Concert…. Acha Kabisa! 

Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live. Mashabiki wakifurahia. Diamond akiendelea...

READ MORE

Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015

Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika...

READ MORE

Jerome kula bata jukwaani Yanga

Na Nicodemus Jonas KIUNGO Jerome Sina anayefanya majaribio Yanga, ataendelea kubaki katika klabu hiyo pengine hadi katika usajili wa Juni...

READ MORE

Mastaa: Magufuli ametuua kwa njaa

GLADNESS MALLYA Jambo limezua jambo! Kufuatia tumbuatumbua inayoendeshwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa vigogo waliokuwa wanawapa jeuri mastaa...

READ MORE

Davina aanika ‘mazagazaga’…

Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Imelda mtema Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni alianika ‘mazagazaga’...

READ MORE

Shamsa achekelea mpenzi mpya

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford Na Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza...

READ MORE