×


Mahaba

HAKURIDHISHI FARAGHA ? JIFUNZE!

UZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pale anapokuwa amemaliza…

SOMA ZAIDI

JINASUE HIVI NA MATAPELI WA MAPENZI

WENGI wameji-kuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati ambao hawakuutarajia.  Ndugu zangu mapenzi…

SOMA ZAIDI
ASALI HAILAMBWI KWA NCHA YA KISU

ASALI Shoga wanakwambia raha ya mwanaume awe na madeni na mwanamke sharti alijue jiko siyo kukalia umbea hadi domo limekaa upande, upo nyonyo? Kama ulikuwa…

SOMA ZAIDI


WIMBO MZURI HUMBEMBELEZA MTOTO

ENDELEA kuamini kopo la msalani wakati wenzako tunaliamini taulo, kwanza linatunza siri, hata urudie kujifutia sehemu hiyohiyo halisemi kitu, upo nyonyo? Wahenga wanasema kinywa cha…

SOMA ZAIDIMKIACHANA MNAPASWA KUISHI HIVI!

HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni rahisi sana kwa aliyeachwa kutengeneza…

SOMA ZAIDI

UTU UZIMA DAWA, WATOTO YAO MAJI

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja kama machicha ya nazi! Heee…

SOMA ZAIDINAMNA YA KUISHI MSIGOMBANE

UHUSIANO wowote wa mapenzi huwa unakuwa na changamoto kwani hukutanisha watu wawili ambao wamelelewa katika maadili tofauti. Yawezekana mmoja anaweza akawa amekulia kwenye malezi madhubuti,…

SOMA ZAIDIMOTO HAUFUNIKWI NA SHUKA

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja kama machicha ya nazi! Heee…

SOMA ZAIDI
UNA UHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI?-2

KATIKA mada hii ambayo imeanza wiki iliyopita, tunajifunza namna ya kumtambua mwenzi ambaye amepoteza uwezo wa kupenda.  Tayari tumeshaona dalili za awali katika sehemu ya…

SOMA ZAIDI

TUI LA NAZI HALITENGENEZI CHAI!

HEYAHEYA, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi…

SOMA ZAIDI


WAOGOPE WANAWAKE WA AINA HII !

KATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa. Labda saa hizi uko katika…

SOMA ZAIDI

Sababu za Maumivu Baada ya Tendo

Kuna wanawake wanapofanya mapenzi huhisi maumivu, hakika husumbuliwa sana. Mwanamke anaweza kukosa furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni, ukeni au ndani…

SOMA ZAIDI

UNAMALIZAJE MOGOGORO NA MPENZI WAKO ?

LEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje? Katika uhusiano wowote, lazima wakati…

SOMA ZAIDI

UNAUHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI

ALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu kwenye mambo ya malavidavi na…

SOMA ZAIDI


SHOGA USIWE JUU JUU KAMA NYAMA YA BUCHANI

 UNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na ukitaka kujua embe lipo tofauti…

SOMA ZAIDIMBINU SAHIHI KWA ANAYETAKA KUOLEWA !

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. matokeo yake wengi wamejikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa…

SOMA ZAIDI


Global TV Online


Error type: "Forbidden". Error message: "Daily Limit Exceeded. The quota will be reset at midnight Pacific Time (PT). You may monitor your quota usage and adjust limits in the API Console: https://console.developers.google.com/apis/api/youtube.googleapis.com/quotas?project=918232589010" Domain: "usageLimits". Reason: "dailyLimitExceeded".

Did you added your own Google API key? Look at the help.

Check in YouTube if the id PL22mc2rU91vCYX1dK5GBKiWE16nTZz-2V belongs to a playlist. Check the FAQ of the plugin or send error messages to support.
spotiXtra