×

Mahaba

Usimuache kwa udhaifu wake, utampata wapi mkamilifu?

WATU wengi ambao wana matatizo katika ndoa au uhusiano wao wa kimapenzi, wanapokuja kwangu kwa lengo la kutaka ushauri, huwa...

READ MORE

Je, unazijua sifa za mwanaume anayefaa kuwa mwenza wako?

Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi na upendo wako, nimeiona Jumatatu nyingine tena, mimi si bora kuliko waliolazwa hospitalini, waliopata vilema,...

READ MORE

Kuna Wakati Penzi Linakufa Jiandae Kwa Maamuzi Magumu!

KUNA wakati unafika, moyo huwa unakinahi. Hautaki tena kusikia kitu kinachoitwa mapenzi, hicho ni kipindi ambacho kinasababisha maumivu makubwa kwa...

READ MORE

Ukiwa Kwenye Ndoa, Mazoea Na Watu Wa Nje Ni Sumu Hatari

“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...

READ MORE

Jinsi Ya Kumpata Mwenza Katika Dunia Iliyojaa Wajeruhiwa

ULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile ya mguu pande, mguu sawa. Kwamba ukimzingua, anakuzingua. Mwaga...

READ MORE

Ni Vigumu Kumuacha Umpendaye Lakini Ikibidi, Muache!

PENZI linapoota mizizi, ni vigumu kulivunja. Kila mmoja anafikiria mahali walipotoka, anaumizwa na upendo aliouwekeza. Hakubaliani hata kidogo na sababu...

READ MORE

Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa!

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Kuna Wakati Mapenzi Yanafika Mwisho, Usilazimishe!

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...

READ MORE

Fanya Haya Kabla ya Kusema; Mwanaume Hata Umpe Nini Haridhiki

MUNGU ni mwema. Jumanne nyingine tunakutakana hapa. Tunapeana elimu ya uhusiano. Kwa wale wanaoamini katika kujifunza kitu kipya kila siku,...

READ MORE

Haolewi? Hujui Sababu? SOMA HAPA!

  KUOLEWA au kutoolewa ni majaaliwa ya Mungu lakini zipo sababu ambazo zinaweza kumfanya mwanamke akawa anatanga na njia kila...

READ MORE

Makosa 3 Mabaya Wanayoyafanya Wanawake Kwa Wanaume

  MAPENZI ni maelewano. Mapenzi ni kusikilizana. Vinapokosekana hivyo vitu viwili muhimu, penzi linakosa uhai. Litakuwa linayumba kama gari lisilokuwa...

READ MORE

Upendo unavyoweza kugeuka silaha kwa adui yako!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine tunaelimishana na kukumbushana juu ya mambo...

READ MORE

Mapenzi Huwa Yanafika Mwisho, Kubaliana Na Ukweli

 NIANZE kwa kumshukuru Maulana kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...

READ MORE

Kwa nini Wanaume Wanaongoza kwa Usaliti?

UHUSIANO wa kimapenzi, ni jambo gumu sana. Ugumu wake unatokana na ukweli kwamba, mwanaume aliyezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti...

READ MORE

Mbinu Za Kumfunga Breki Mwanaume Anayesaliti Penzi

HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa, au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti...

READ MORE

Usipokubali Udhaifu Hamtopata Furaha!

NI matumaini yangu kwamba mpenzi mso­maji wangu uko vizu­ri, na unaendelea salama na mishemishe zako Siku ya leo, nitazungumzia suala...

READ MORE

WAOGOPE WANAWAKE WA AINA HII !

KATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa....

READ MORE

Unavyoweza Kutumia Simu Kuboresha Penzi

TUNAISHI katika dunia ya utandawazi ambapo sasa karibu kila mtu anamiliki simu, hata wale wenye uwezo wa chini kabisa. Ukijaribu...

READ MORE

Zijue Hasara za Ushauri wa Kimapenzi kwa rafiki yako?

KARIBU tena msomaji wangu katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Natumai ni mzima wa afya bila shaka unaendelea...

READ MORE

Softena: Nikilegea Ndani ya Ndoa, Mume Wangu KNamruhusu Aende Nje – Video

Global TV imefanya mahojiano na Kungwi anayetoa mafundisho ya elimu ya ndoa Softena @softena100 na kueleza kwa undani zaidi kuwa...

READ MORE

Unampenda Halafu Hakuelewi!

ASIKWAMBIE mtu, maumivu ya kumpenda mtu halafu yeye akawa hakuelewi huwa yanauma sana. Unateseka kisaikolojia, unafanya kila unalotakiwa kufanya ili...

READ MORE

Unayeitamani Ndoa, Mume Bora Anapaswa Kuwa Hivi!

IJUMAA nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu katika ukurasa wetu huu, tujadiliane na kuzungumza mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.  Leo nataka...

READ MORE

Mwanaume Anayefaa Kukuoa Anatakiwa Awe Na Sifa Hizi

HABARI za wiki hii mpenzi msomaji wa safu hii, ni matumaini yangu makubwa umzima wa afya na unaendelea vizuri na...

READ MORE

Jinsi Ya Kumtambua Tapeli Wa Mapenzi

KWENYE ulimwengu wa mahaba, wengi wanaumizwa. Wengi hufikia hatua ya kukata tamaa na kusema hawatapenda tena. Hawaoni umuhimu, wameambulia karaha...

READ MORE

Jinsi ya Kumtambua Mwanaume wa Kukuoa!

WANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati. Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya...

READ MORE

Jinsi ya Kuepuka Penzi la Machale Machale

ULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile ya mguu pande, mguu sawa. Kwamba ukimzingua, anakuzingua. Mwaga...

READ MORE

Jinsi Ya Kumfanya Mwenza Wako Afurahie Penzi Lenu

NI IJUMAA nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia na mimi ninawakaribisha hapa jamvini, mahali ambapo tunajadili mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Saikolojia Inavyotibu Hofu ya Kusalitiwa Katika Ndoa!

KATIKA maisha mawazo ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, lakini hata hivyo matumizi ya akili lazima yawekewe mipaka na isiwe...

READ MORE

Usikurupukie Ndoa, Wengi Wameumia!

  HAKUNA anayebisha kwamba ndoa ni jambo la msingi sana katika maisha ya kila binadamu. Aidha, kuoa ama kuolewa ni...

READ MORE

Zijue Sababu za Mwanamme/Mwanamke Kusaliti

  KWENYE ulimwengu wa mapenzi, hakuna kitu kibaya kama kusalitiwa na mpenzi wako tena unayempenda kwa dhati. Ni jambo linalouma...

READ MORE

Mitandao ya Kijamii Inavyoweza Kutibua Mapenzi

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wa kona hii nzuri, mahali tunapoelekezana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Leo napenda...

READ MORE

Kulia kwa Ajili ya Mapenzi si Kutatua Tatizo

KARIBU mpenzi msomaji wa Sindano za Mastaa, wiki iliyopita ulikuwa na staa wa Bongo Fleva, Dayna Nyange lakini wiki hii...

READ MORE

Njia za Mkato Zinavyoweza Kukupa Mafanikio Yenye Uchungu!

NDUGU zangu, linapokuja suala la kutafuta maisha mazuri na yenye mafanikio, wapo watu ambao wanadiriki kujiingiza katika shughuli zisizo halali...

READ MORE

Umuhimu wa Kufanya Maamuzi Sahihi Kwa Dunia ya Leo

NI wiki nyingine tena tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba kwa rehema zake Mwenyezi Mungu umzima, bukheri wa...

READ MORE

Athari Za Mirija Ya Uzazi Kushindwa Kufanya Kazi

DK. CHALE SIMU: +255713350084 | IJUMAA | AFYA TATIZO la mirija ya uzazi kushindwa kufanya kazi huitwa Tubal Dysfunction ,...

READ MORE

Hiki Ndicho Wanawake Wengi Wanachokosa Kwa Waume Zao

NI wiki nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wangu katika ukurasa huu mzuri. Leo ningependa tujadiliane kuhusu jambo hili ambalo kwa kiasi...

READ MORE

Ukiwa na Sifa Hizi Lazima Uolewe!

MOJA kati ya kilio kikubwa cha mabinti ni kupata wanaume sahihi wa kuwaoa. Ishu si tu kuolewa lakini kupata mume...

READ MORE

Mbinu7 Za Kuchagua Mwenza Ambaye Hatakuacha

  NIMETAMBUA kuwa wakati wa kuchagua mwen­za, watu wengi hupungukiwa na ufunguo wa kuamua kuwa siku moja nitapata mwenza ambaye...

READ MORE

Ni Kweli Wanawake Wazuri Hawaoleki? Soma Hapa

TUNAFAHAMUkwamba hakuna mwanamke mbaya. Ila katika mazingira ya kawaida wapo ambao wanakuwa na umbo fulani la kuvutia zaidi. Wanawake ambao...

READ MORE