×

Mahaba

Shoga; usichepuke kisa, mumeo ‘njaa kali’

Kabla sijaanza kuzungumza nawe kuhusu nilichokuandalia, sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye anazidi kuniongezea dakika za kuvuta pumzi. Baada ya...

READ MORE

Mkeo anakosa hamu ya tendo la ndoa? msaidie hivi

Ni Jumanne nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wangu katika uwanja wetu huu mzuri. Karibu tena kwenye ukurasa huu murua tujuzane mambo...

READ MORE

Kicheko kilio ni sehemu ya mapenzi

Mpenzi msomaji wangu, napenda kukukaribisha sana katika safu yetu ya XXLove kama kawaida. Jumatatu hii tutajifunza mambo mawili muhimu katika...

READ MORE

Wakati mwingine uongo unasaidia kudumisha uhusiano lakini…

TUMSHUKURU Mungu kwani ni Jumamosi nyingine ametukutanisha hapa katika safu hii mimi na wewe msomaji wangu. Tunaweza kujifunza mambo mbalimbali...

READ MORE

Usichepuke kwa udhaifu wa mkeo faragha, mfundishe!

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, naimani mu wazima mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu hakika mtakuwa mmejipanga vizuri kutimiza...

READ MORE

Aibu kwa mumeo ni sumu, ziache huko huko!

KARIBU wapendwa wasomaji wa safu hii. Bila shaka mlipata somo zuri katika mada ya wiki iliyopita, kwani nilipata ujumbe wa...

READ MORE

Shoga; usafi huu kwa mumeo unakuhusu!

Shoga, kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu kwamba afya yako ni njema na unaendelea na mapambano ya maisha....

READ MORE

Mkeo anakosa hamu ya tendo la ndoa? Msaidie hivi

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, karibu tena katika busati zuri la mahaba, mahali tunapobadilishana mawazo, kujuzana na...

READ MORE

Waoaji, waolewaji miyeyusho tupu-2

Ni Jumatatu nyingine murua, sina budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha kwenye safu yetu hii nzuri ya mapenzi na uhusiano...

READ MORE

Kila utakayemuona ana upungufu, cha msingi ridhika

Na Erick Evarist KAMA kawaida yetu waungwana, kila Jumamosi inapowadia tunakutana katika safu hii ili kuweza kujifunza mada mbalimbali za...

READ MORE

Kulazimisha uhusiano na mtu wa jinsia yako

Ni kweli kabisa kwamba, kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo bila kuvunja sheria za nchi. Hilo halina ubishi ndiyo...

READ MORE

Kwa nini upekue suruali za mumeo, si udokozi huo?

WAPENZI wasomaji wangu nina imani ni wazima na mnaendelea vema na shughuli za kulijenga taifa, mimi ni mzima kabisa, kwa...

READ MORE

Shoga; wape na wenzio maujuzi

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, leo nimekuja kuwakumbusha makungwi wenzangu kuacha uchoyo. Si unajua tena mimi nimestaafu, sasa nikikaa pembeni...

READ MORE

Unanyonyesha halafu huogi, mume atachepuka

NI Jumanne tena ambapo naamini kabisa kwamba, wapenzi wasomaji wangu wa safu hii ya elimu ya mapenzi na maisha tuko...

READ MORE

Shoga; ukizembea rafiki yako atakupora mume!

Leo shoga yangu nitazungumza nawe mada yenye kichwa hicho hapo juu kufuatia baadhi ya wenzetu waliokuwa kwenye ndoa kujikuta wameporwa...

READ MORE

Waolewaji, waoaji miyeyusho tupu

Kwa mara nyingine wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena siku hii ya Jumatatu murua katika kilinge chetu hiki cha XXLove kwa...

READ MORE

Kumchunga mume kwa kutumia simu siyo suluhisho

Bila kuwachosha zaidi niende kwenye mada moja kwa moja, mada hii ina lengo la kuwahusia akina mama wote wanaojishughulisha na...

READ MORE

Pishi la aina moja ‘deile’ litamchosha mista!

Shoga zangu leo nimerudi tena na maneno kuntu shangingi mie, kwani nachoshwa na watu kuniambia wameachwa kila kukicha na hawajui...

READ MORE

Wewe unatoa sababu kibao za kukwepa unyumba…

Je, unazijua faida za kiafya za kufanya mapenzi? NI Jumanne tena ambapo tunakutana kwa ajili ya mada katika safu hii....

READ MORE

SHOGA; Hata wewe unaweza kumtoa ‘out’ mumeo!

Shoga yangu, kwa uweza wa Jalia ni matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na unaendelea kupambana na maisha kwa...

READ MORE

Kumbuka Kubembelezwa Sana Siyo Kupendwa-2

Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia pumzi na kuiona siku hii njema ya Jumatatu. Karibu mpenzi msomaji wangu wa...

READ MORE

Penzi la kweli lina historia hakikisha

MUNGU ni mwema sana mpenzi msomaji. Ametukutanisha tena Jumamosi nyingine ili tuweze kupata elimu mpya ya masuala ya uhusiano. Hakuna...

READ MORE

Vyakula vinavyoweza kumpa heshima mwanaume faragha!

  Wanawake wengi walio kweye ndoa wanalalamikia uvivu wa waume zao wanapokutana faragha. Utasikia mwanamke akisema kuwa mumewe ni mchomvu...

READ MORE

Shoga; mume hasusiwi, ukisusa atachepuka nje

Asalam alaikum wapendwa wasomaji, mimi ndiyo mimi, Aunt Nasra Shangingi Mstaafu ukiuona ukurasa huu jua somo linakuja, tena somo haswaaa...

READ MORE

Shoga; ukisemwa na mumeo usinune, itakula kwako!

Shoga yangu, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika safu yetu hii ambayo tunaitumia kukosoana na kuelimishana kuhusu masuala ya...

READ MORE

Kumbuka Kubembelezwa Sana Siyo Kupendwa

Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema na neema zake kutukutanisha tena Jumatatu hii katika kilinge chetu hiki cha XXlove...

READ MORE

Utamu wa penzi ni nipe, nikupe si vinginevyo!

JUMAMOSI nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano. Mapenzi ‘yana-run’ dunia...

READ MORE

Hakuna suluhu nje ya ndoa, huo ni…

Heyaheya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa...

READ MORE

Shoga;Mumeo Umepewa Na Mungu Jiachie Utakavyo!

Shoga, ni matumanini yangu kwamba upo mzima na unaendelea na maisha baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu ambao ulikuwa na...

READ MORE

Mambo yanayofurahisha faragha-2

KWANZA nianze kwa kuwashukuru wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa nchini kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani. Kwa...

READ MORE