×

Maisha

Kuna Watu Hawapendeki, Wasikuumize Kichwa!

KWA uwezo wake Mwenyezi Mungu tumeiona tena Jumatatu hii njema, Mola ametuwezesha tumeweza kukutana pamoja hapa kwenye kilinge chetu cha...

READ MORE

Ukiwa na Mtu wa Hivi, Utainjoi Maisha!

JUMAMOSI nyingine Mungu ametupa zawadi ya uhai. Tunaendelea kuomba huruma yake, atuepushe na atuondolee kabisa gonjwa hili la Corona. Tunaamini...

READ MORE

Amua Yaliyopita Si Ndwele, Ganga Yajayo

NI Ijumaa nyingine njema, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia kuiona siku hii pamoja na kwamba, tunapita kwenye changamoto nyingi. Rafiki zangu,...

READ MORE

Mwezi Mtukufu; Mwenye Kupata Heri Anapata, Mwenye Kukosa Anakosa

ASALAM Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh! Kila sifa njema ni zake Allah subhanahu wataala na rehema na amani ziwe juu yake Mtume...

READ MORE

Vitu Muhimu Ndani Ya Chumba Cha Kulala

BAADA ya wiki iliyopita kuangalia aina za kutandika kitanda, leo tumekuja kivingine ambapo tunaangalia vitu saba vinavyohitajika na ni muhimu...

READ MORE

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana alhamisi nyingine katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari...

READ MORE

Hii ni spesho kwa wanaopenda wake za watu!

TUPO kwenye kipindi kigumu cha kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19. Tuzidi kuchukua tahadhari za kujilinda zinazotolewa...

READ MORE

Ni kweli wanawake wazuri hawaolewi?

SOTE tunakubaliana au tunafahamu kwamba hakuna mwanamke mbaya. Ila katika mazingira ya kawaida wapo ambao wanakuwa na umbo fulani la...

READ MORE

Wanawake mnanisikia au niongeze sauti

WATAALAM wa saikolojia na elimu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume, tunakubaliana kwa pamoja kwamba, wanaume ni...

READ MORE

Umeumizwa Moyo wako na Umpendaye?

UNAPOZUN-GUMZIA suala la maumivu ya mapenzi, japokuwa huumiza sana hasa kama ulikuwa na mapenzi ya dhati na mwenzi wako na...

READ MORE

HAKUJALI, HAKUTHAMINI, HAKUHITAJI, SASA WA NINI?

UNAPOMUWEKA mtu moyoni mara nyingi kumsahau ni vigumu. Wengi wanashindwa kuuona uzito huu kwa sababu hawakuwahi kupenda. Wanayachukulia mapenzi kama...

READ MORE

Fimbo unayo, Unahangaika wa kukuchapa

WAUNGWANA  Jumatano nyingine nakuja Shangingi wenu mstaarabu kabisa uongo uongo? Halooo, kama nawaona wengine hapo mlivyokunja sura utafi kiri mjusi...

READ MORE

Mambo haya ni sumu ya penzi lako

UKIACHILIA mbali pesa, mapenzi huwa yana nafasi kubwa kwenye dunia tunayoishi. Si maskini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi? – 3

TUNAENDELEA na darasa letu, leo ikiwa ni sehemu ya tatu. Usijali sana kuhusu urefu wa mada, maana baada ya kumaliza...

READ MORE

Kataa kuwa mpira wa kona

JUMATANO saafi , Shangingi wenu nimejaa tele kuwaletea ile kitu roho inapenda. Niwape maneno yenu pambe, niwachambe vizabizabina msio na...

READ MORE

Ni Muda Gani Unatosha Kumchunguza Mtu?

WATU wengi ambao wanataka kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi huwa na kauli mbiu hii; “Mchunguze kwanza ujue tabia zake!”  Ni...

READ MORE

Kuna mapenzi ya dhati dunia ya sasa?

MUNGU ni mwema! Jumamosi nyingine tunakutana kwenye darasa letu. Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia...

READ MORE

Dunia ya mapenzi imebadilika, shtuka!

NI Ijumaa nyingine tunakutana hapa, mahali ambapo tunajifunza na kupeana misingi kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano wa kimapenzi na maisha...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi?-2

MARAFIKI tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo tunaangalia namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani yako kwa mwenzi wako.  Tayari...

READ MORE

Utamu wa pipi mate yako!

  WAPE habari wenye habari zao. Shangingi Mstaafu nakuja kifua mbele kuwapa maneno pambe, si mnanijua vizuri eeeh! Mwaka ndio...

READ MORE

Haijalishi umeumizwa kiasi gani, wewe songa mbele

DUNIA ya mapenzi kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia, huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao (hasa mwanamke) akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa...

READ MORE

Nani kakwambia utamu wa dodo kula na maganda?

SILAHA ya mwanamke ni kujua kuchamba haswa kama unayo maneno bibi. Sio unamchamba mtu kwa maneno ya kwenye kamusi inahusu?...

READ MORE

Madhara ya wapenzi kugombana na kununiana mara kwa mara-2

MADHARA Karibu tena katika ukurasa huu mzuri. Wiki iliyopita tuliianza mada hii kama inavyojieleza hapo juu. Nilianza kwa kukupa ushuhuda...

READ MORE

Ukikosa sababu; usivumilie kwenye Mapenzi

NIMEWASIKIA washauri wengi wakisema uvumilivu ni kitu muhimu katika mapenzi! Bila shaka hata wewe umewahi kuambiwa na wazazi au rafiki...

READ MORE

Ni sahihi kuoana kwa sababu ya UJAUZITO?-2

WEWE ni mwerevu kwa kuchagua kusoma ukurasa huu. Nakuhakikishia uamuzi wako ni sahihi kwa sababu baada ya hapa, utakuwa umeongeza...

READ MORE

Moto hafunikwi shuka

  MIMI sihitaji mkeka; kwani nataka kuswali? Miye hata chini naketi, kikubwa ujumbe ukufike bibiye upooo!?  Kuna mwenzenu mmoja kaninukisha...

READ MORE

UMEBEBA nini kwenye safari yako ya mapenzi?

TAMBUA kuanzia leo kwamba mapenzi ni safari; inayohitaji tafakuri na mazingatio.  Kusafiri bila kujua uwendako ni balaa kubwa; lakini hata...

READ MORE

Anakunyima ‘chakula cha usiku’ bila SABABU-2

INAPOTOKEA mwenzi wako akawa na tatizo kama tulivyoanza kujadiliana wiki iliyopita, jambo muhimu la kwanza unalotakiwa kulifanya, ni kutafuta chanzo...

READ MORE

Ni sahihi kuoana kwa sababu ya UJAUZITO?

WAKATI wa kuongeza kitu ubongoni kuhusu uhusiano na mapenzi umewadia. Ni imani yangu kuwa kila wakati umekuwa ukijifunza mambo mbalimbali...

READ MORE

Ubora wa radio iwe na pa kuzimia

SHOGAANGU miye upooo? Nishaupiga mswaki tena, ruksa kukupasha; ukiwa na nongwa ya senene kuficha kichwa watu watakuchezea mkia, heee heeeyaaa. ...

READ MORE

UMEKINAI UHUSIANO WAKO? PATA ELIMU HAPA!

 UKIPATA bahati ya kuzungumza na watu wengi waliopo kwenye ndoa au uhusiano wa kimapenzi au waliopo kwenye uchumba, wengi watakwambia...

READ MORE

Anakunyima ‘chakula cha usiku’ bila sababu? SOMA HAPA!

IJUMAA nyingine imewadia, bila shaka msomaji wangu uko sawa kimwili na kiakili, kwa wewe ambaye mambo hayaendi sawa, nakuombea Mungu...

READ MORE

UKIANGALIA MBELE UTAYAFURAHIA MAISHA YA UHUSIANO!-2

“KWELI jamaa amepatikana, mwanamke gani huyo anatembea naye? Halafu nasikia ana mpango wa kumuoa, yule si mwanamke hata kidogo. Ni...

READ MORE

Uzuri wa uwanja usafishwe

PAAAMBE SHOGA… wanakwambia mfuniko wa soda hautunzwi na ukitaka kujua kanga ina umuhimu nenda ukweni na taiti, upo nyonyo? Heee...

READ MORE

Hisia 8 za kuepuka katika mapenzi

MIONGONI mwa vitu vinavyochangia kuharibu uhusiano wa kimapenzi ni hisia mbaya. Wapenzi wengi wameachana kwa sababu si kwamba walithibitisha ubaya...

READ MORE

Kuzaa Bila Mpango ni Tatizo Jifunze

      KUNA asilimia kubwa kwa mwanamke kuweza kujua siku zake za hatari za kupata ujauzito japo pia, wapo...

READ MORE

FANYA MAMBO HAYA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA- 2

WIKI iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mambo ambayo ukiyafanya kwa ukamilifu muwapo faragha, utamfurahisha mwenzi wako na kumfanya kila siku awe...

READ MORE

UKIANGALIA MBELE UTAYAFURAHIA MAISHA YA UHUSIANO

HELLO marafi ki! Naamini mtakuwa poa kabisa na maisha yanaendelea kwa kasi kama kawaida. Mimi kwa upande wangu ni mzima...

READ MORE

Shoga usipojitambua utasema umerogwa!

WANAKWAMBIA nazi nazi tu hata ivunjwe uile haiwezi kuwa embe, upo nyonyo? Heee heeeiya nashanga unavaa mini msibani kwenye sherehe...

READ MORE