NI wiki nyingine tunakutana tena kupitia ukurasa huu nikiamini kwamba umzima, bukheri wa afya na unaendelea nyema na maisha yako...
READ MORENI Jumatatu nyingine Mungu ametukutanisha hapa kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano na maisha kwa jumla....
READ MOREWATU wanateseka sana kwenye mahusiano kwa kuipoteza amani ya moyo. Wanaishi kwenye maugomvi, wanapoteza kabisa muelekeo kutokana na visa mbalimbali...
READ MOREHALI hii huwatokea wanaume na wanawake. Ni tatizo linaloathiri uwezo wa kisaikolojia na kimwili wa mtu yeyote aliye katika umri...
READ MOREHII ni mada itakayo-kusaidia kukuondoa kwenye giza na kukupa maarifa mapya kabla ya kuanzisha uhusiano lakini pia kujua aina ya...
READ MOREKUGOMBANA ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo...
READ MOREUDANGANYIFU kwa ‘michepuko’ miongoni mwa wanaume wengi siku hizi ni mwingi kama ambavyo tumekuwa tukiangazia kwa wiki tatu mfululizo. “Simu...
READ MORENI Jumatatu nyingine tunakutana kwenye darasa letu. Hapa tunajifunza na kupeana misingi ya kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano na maisha...
READ MOREZAMA hizi ni za kusaidiana kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume...
READ MORENI Ijumaa nyingine tuliyoj-aaliwa na Mwenyezi Mungu. Karibu kwenye uwanja wetu huu wa kupeana elimu juu ya uhusiano na maisha...
READ MOREWANAKWAMBIA ndege wafananao huruka pamoja nashanga wee bundi sijui utaruka na nani? Hehe heeeiyaaaaaa! Shoga mji wa moto huu, unaweza...
READ MORESAFARI ya makala yetu ya uchunguzi juu ya visa vya wanaume siku hizi kukubuhu kwa visingizio vya: “Niko safarini.” Lengo...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii ambayo naamini imewasaidia wengi kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha....
READ MOREIngawa kazi yake rasmi ilikuwa ni kusafisha na kutengeneza kucha mitaani, alifanya kila kazi iliyomjia mbele yake. Alibeba mizigo, alizoa...
READ MOREKADIRI miaka inavyozidi kuyoyoma, wimbi kubwa la wanawake kutaka kuzaa limezidi kuongezeka. Hii inatokana na suala zima la umri. Mwanamke...
READ MOREHALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya...
READ MOREUKIFANYA tathmini ya ndoa nyingi, ni wachache sana ambao watakuambia wanazifurahia. Wengi watakuambia wapo kwenye mateso mazito, wanatamani kutoka. Matatizo...
READ MORENI siku nyingine nzuri tunapokutana kwenye ukurasa huu, mahali ambapo tunajadiliana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Wataalamu wa afya ya akili Tanzania, Isaack Lema amewashauri wanaume kulia ili kupunguza msongo wa mawazo...
READ MOREMUNGU yu mwema, kwa uwezo wake tunakutana tena leo hapa kwenye ukurasa wetu ambao tunajifunza kuhusu uhusiano na mapenzi. Naamini...
READ MOREMARA nyingi sana inapotokea umejeruhiwa penzini, hususan na mtu ambaye ulikuwa na malengo naye, ni vigumu mno kupenda tena. Ni...
READ MOREMARAFIKI tunakutana tena kwenye safu yetu ya kupeana mawili matatu kuhusiana na uhusiano. Bila shaka kuna mambo mengi mapya huwa...
READ MOREWAAREEEEE miye ndiye dokta nimeachiwa hospitali wagonjwa wote ruksa kutibiwa bure, kulala bure hata wakitaka ruhusa nawaruhusu! Unaloooo bibiyeeee ulidhani...
READ MORENI juma lingine tulivu kabisa tunakutana kwenye ukurasa huu ambao unapata fursa ya kusoma dondoo mbalimbali zinazoweza kuyaboresha maisha yako....
READ MOREMOJA kati ya maswali ambayo vijana wengi wanakutana nayo mara kwa mara ni umeoa au umeolewa? Swali hili huwa linawakumba...
READ MOREYAWEZEKANA unapokuwa kwenye eneo salama katika uhusiano, unaweza usifikirie wale wanaopitia magumu, lakini nikuambie tu, uhusiano una nyakati tofautitofauti hivyo...
READ MORENI siku nyingine ninapo-kukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu murua, mada tunayoijadili ni ile tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ni juu...
READ MORETABASAMU ni tiba ya moyo, hujenga kujiamini na kutengeneza furaha ya siku yako. Husaidia sana kuondoa makunyanzi usoni. Binti mdogo...
READ MOREBINADAMU bwaana hata ukiogelea watakwambia unawatimulia vumbi, paaaambeee shoga! We endelea kunishangaa Anti Naa badala ushangae mlango mkubwa unalindwa kwa...
READ MOREUKWELI ni kwamba, wapo wanaume ambao wako kwenye ndoa lakini hawana amani kabisa. Wanatamani kutoka lakini haiwezekani, wanabaki kuugulia. Hii...
READ MORETUMSHUKURU Mungu kwa kutujalia uhai. Ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye uwanja wetu huu wa kupeana darasa la masuala ya uhusiano...
READ MOREMUNGU ni mwema! Ni Jumamosi nyingine tumekutana kwenye kilinge chetu cha kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maisha ya uhusiano. Tupo kwenye...
READ MORELEO tupo kwenye sehemu ya mwisho kabisa ya mada hii. Tumeshaona mengi kuhusu namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani kwa mpenzi...
READ MOREPAAAMBEEE shoga tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao...
READ MORENI Ijumaa nyingine murua. Siyo mbaya kwa wanajamvi hili, ndugu, jamaa na marafiki kushirikiana katika mapenzi kama vile wakati wa...
READ MORETUNAENDELEA na mada yetu ambayo naamini ukiifuatilia hadi mwisho itakuachia mafunzo makubwa sana. Tunaangalia namna unavyoweza kupandisha thamani ya penzi...
READ MOREHAYA tena shoga yangu, kujifanya kuvamia sherehe za watu na dera la msiba kimbelembele hadi wka bi harusi inahu? Hivi...
READ MORETUNAKUTANA tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi...
READ MORENI matumaini yangu mpenzi msomaji wa safu hii, utakuwa kwenye hali nzuri na tayari kusoma kile ambacho nimekuandalia Jumatatu hii....
READ MOREJUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye darasa la mahusiano. Maisha yetu hayawezi kwenda bila ya kuhusiana, lazima tushirikiane, tusaidizane katika mambo mbalimbali...
READ MORE