×

Michezo

Pablo: Hatutoki Kileleni Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amesema malengo yake ni kuhakikisha timu hiyo haishuki kileleni na kumaliza vinara wa...

READ MORE

Mwanasoka wa Kwanza Afrika Kuvunja Mkataba Urusi

Mnigeria Sylvester Igboun (31) amekuwa Mwanasoka wa Kiafrika wa kwanza kuondoka kwenye Ligi ya Urusi kufuatia uvamizi uliofanywa na Urusi...

READ MORE

Duh! Bocco Hajafunga Mechi 14

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza.  ...

READ MORE

Nabi Ataja Siri Tano za Mayele

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mambo muhimu ya Fiston Mayele yanayofanya aweze kuanza moja kwa moja kikosi cha...

READ MORE

Msuva Aitabiria Makubwa Simba Caf

MCHEZAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye kikosi cha Wydad Casablanca ya Morocco, Simon Msuva amesema kuwa kwa mwendo wa...

READ MORE

Manara Awalipua Wachambuzi, Atangaza Matukio Makubwa – Video

  OFISA habari na msemaji wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli na Haji Manara, wamezungumza na wanahabari leo Machi 16,...

READ MORE

Msuva atupia, Simba ikiifunga Cambiasso

KLABU ya Simba imeibuka na ushindi na 2-1 kwenye mchezo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Cambiasso kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Watatu Washinda Mamilioni Ya BetBonanza

  JUMLA ya washindi Wawili kutoka Vodacom na Airtel leo Jumanne asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya Shilingi Milioni Moja...

READ MORE

Berkane: Simba Itafika Fainali CAF

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amesifu ubora wa kikosi cha Simba kinachoundwa na nyota kibao,...

READ MORE

Kocha wa Taifa Stars Atangaza Kikosi

LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia...

READ MORE

Ng’ombe wa Mayele awaibua Simba

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amerusha Kombora kwa watani zao wa Jadi Young Africans, baada...

READ MORE

Pablo Aweka Mkakati Mzito Robo Fainali Caf

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa hesabu zao ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika michezo yao iliyosalia...

READ MORE

Siri 2 za msako wa ubingwa Yanga SC zafichuka

KAMA unafikiri Yanga wana mpango wa kushuka kutoka nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu, basi umejidanganya na ndio...

READ MORE

Prisons wajikoki kiafande kuikabili Biashara

KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

Azam Yatua Lindi Kibabe

KIKOSI cha Azam FC, kimeshuka mkoani Lindi, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo utakaochezwa keshokutwa Jumatano....

READ MORE

Adebayor, Moses Phiri waiteka Simba

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kwa sasa ni taarifa za rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kufungukia...

READ MORE

Siri Za Msako Ubingwa Yanga Zafichuka, Sakho Ashindikana Afrika, Nabi Atinga Kwa Mkapa…

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Mayele Aandaliwa Pacha Mpya Yanga

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema anaamini kwamba ipo siku atawaanzisha washambuliaji wake wawili kwenye mechi za ushindani ambao...

READ MORE

Kilio Kingine Kwa Askari Polisi, GSM Yafunguka Kiwanda Kuunguwa, Kitendawili Chanzo Chake..Front Page.

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Simba Wafunguka Usajili wa Adebayor Ulipofikia

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa dili lao la kumsajili winga hatari Mnigeria, Victorien Adebayor anayeichezea USGN ya Niger linaendelea...

READ MORE

Saido Yamkuta, Atupwa Nje Wiki Tatu Yanga

KIUNGO mshambuliaji tegemeo wa Yanga hivi sasa, Mrundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ ameondolewa kwenye mipango ya kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Pablo: Ushindi Uhakika Dhidi ya RS Berkane Leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amesema hakuna matokeo yoyote ambayo anayahitaji zaidi ya ushindi katika mchezo wa Kundi D...

READ MORE

Sakho, Morrison Wapewa Majukumu Ya Chama Simba

KUTOKANA na kukosekana kwa kiungo Mzambia, Clatous Chama katika michezo ya kimataifa kutokana na taratibu za kikanuni, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Mo Dewji Aongeza Mzuka Simba

RAIS wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ ameongeza mzuka kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu...

READ MORE

Mayele Akutana Na Berkane Usiku, Awapa Mbinu Kuiua Simba

MSHAMBULIAJI Mkongomani wa Yanga, Fiston Mayele amewapa siri timu ya RS Berkane ya kuweza kuifunga Simba watakapokutana nao kwenye mchezo...

READ MORE

Pablo Awabadilishia Mbinu Berkane

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania Pablo Franco ameweka wazi kuwa ‘atawasapraizi’ wapinzani wake Berkane kwa kuingia katika mchezo huo na...

READ MORE

Hatimaye Abramovich aruhusiwa kuuza Chelsea

Bilionea Roman Abramovich na Serikali ya Uingereza imeripotiwa wamefikia makubaliano kwa ajili ya suala la mauzo ya timu ya Chelsea....

READ MORE

Chama adata na muziki mnene wa Mayele

Kiungo wa Simba Clautos Chama amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa mahasimu wao Yanga. Akizungumza kwenye...

READ MORE

Shevchenko Aililia Familia Yake Ukraine

STRAIKA mstaafu Andriy Shevchenko, amelia mbele ya kamera akiikumbuka familia yake inayopitia mateso ya vita nyumbani kwao Ukraine.   Shevchenko,...

READ MORE

Pablo: Tutacheza Kibingwa Kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la...

READ MORE

Nabi: KMC Wagumu Lakini Lazima Tushinde

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kuwa hataki kufanya mchezo katika suala la kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Sure Boy Aondolewa Yanga

KIUNGO mchezeshaji fundi ndani ya Yanga SC, Salum Aboubakary ‘Sure Boy’ ameondolewa kwenye mipango ya mchezo ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Vita Ya Ubingwa Vs Vita Ya Top 4, Mambo Ni Moto Viwanjani

Tunaendelea tulipoishia wikiendi iliyopita. Manchester United na muendelezo wa michezo muhimu nap engine yenye kuamua hatma yao msimu huu. PSG...

READ MORE

Simba: Tunawapiga Berkane

BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba SC, amesema wapinzani wao RS Berkane kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili...

READ MORE

Nabi Ampa Chico Ushindi Dakika 90

KATIKA kuhakikisha anafanya vema michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo, Kocha Mkuu wa Yanga,...

READ MORE

Simba: Tunawapiga Berkane

BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba SC, amesema wapinzani wao RS Berkane kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili...

READ MORE

Yanga Yaingia Vitani na Vigogo wa Morocco Kumpata Nyota wa Orlando

Klabu ya Yanga inahusishwa kwa kiasi kukubwa kuwania saini ya mchezaji wa Orlando Pirates Mhango Gabadinho. Mchezaji huyo raia wa Malawi...

READ MORE

Simba Yapewa Mashabiki 35,000 Kuwaua Berkane

TIMU ya Simba wamepata mzuka wa aina yake baada ya Caf kuruhusu kuingiza mashabiki zaidi ya nusu kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Abramovich Azuiwa Kuiuza Chelsea na Uingereza

Mali za mmiliki wa klabu ya Chelsea na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich zimezuiliwa rasmi na serikali ya Uingereza kuanzia...

READ MORE

Berkane Waanza Safari Kuwafuata Simba

Kikosi cha RS Berkane kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam Tanzania, tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa 04 wa...

READ MORE