×

Michezo

Manara Atangaza Mechi Ya Kirafiki Yanga Vs Somalia – Video

MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Manara, leo Machi 10, 2022 amezungumza na wanahabari na kuelezea kuwa Yanga inatarajia kucheza...

READ MORE

Chama Atumika Kuzuia Ubingwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Muhispania, Pablo Franco amesema kwa ubora wa kikosi chake cha hivi sasa anapata matumaini makubwa ya...

READ MORE

Pochettino kufukuzwa PSG

MAURICIO Pochettino yupo kwenye presha ya kufutwa kazi ndani ya kikosi cha PSG baada ya timu hiyo kutolewa katika mbio...

READ MORE

PSG Yapigwa 3-1 na Real Madrid Yatupwa Nje UEFA

Mauricio Pochettino yupo kwenye presha ya kufutwa kazi ndani ya kikosi cha PSG baada ya timu hiyo kutolewa katika mbio...

READ MORE

Bilionea wa Uingereza Kuinunua Chelsea

Bilionea kutoka nchini Uingereza na shabiki mkubwa wa Chelsea, Nick Candy amethibitisha kuwa na nia ya kutaka kuinunua Klabu ya...

READ MORE

Kaizer Chiefs Wamuwinda Fiston Mayele

Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa, zinaeleza kuwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inataka kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Yanga,...

READ MORE

Simba Yatangaza Kishindo Kipya Kuwavaa Rs Berkane – Video

Klabu ya Simba leo Machi 9, 2022 imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa makundi kombe la shirikisho...

READ MORE

Tuisila: Naifunga Simba Dar

KIUNGO Mshambuliaji wa RS Berkane ya Morocco, Tuisila Kisinda ambaye alikipiga Yanga msimu uliopita, ametamba kuifunga Simba Jumapili hii kwenye...

READ MORE

Ibenge Aihofia Simba Kwa Mkapa

KOCHA wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibengé amesema kuwa mpira wa Simba wanapokuwa katika uwanja wao wa nyumbani ni...

READ MORE

Yanga: Sisi Bado Tupo Sana Kileleni

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado upo nafasi ya kwanza na kwa wale ambao wanafikiria kwamba watapoteza kwenye mechi...

READ MORE

Liverpool Yachapwa, Yatinga Robo Fainali

LAUTARO Martinez nyota wa kikosi cha Inter Milan alivunja rekodi ya Klabu ya Liverpool kutopoteza mchezo wa ushindani katika mechi...

READ MORE

Zahera: Asikuambie Mtu, Msimu Huu ni Mayele Tu

MKURUGENZI wa Soka la Vijana wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema straika wa timu hiyo, Fiston Mayele, ana kila sababu ya...

READ MORE

Simba: Ubingwa ni mali yetu

VIONGOZI wa Simba wanaamini kuwa ubingwa wa ligi kuu bado ni mali yao na hakuna namna yoyote ya timu nyingine...

READ MORE

Nabi Amuombea Ulinzi Mayele Yanga

KASI ya Fiston Mayele katika ufungaji mabao msimu huu imemuibua kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ambaye ameweka wazi kuwa...

READ MORE

Wananchi Warejea Dar Kibabe

Baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Geita Gold FC jijini Mwanza, Young Africans SC ‘Timu ya Wananchi’ imerejea...

READ MORE

Kipa Biashara: Yule Chama anajua nyie

GOLIKIPA wa Biashara United, James Ssetuba, amekiri kushangazwa na uwezo wa hali ya juu wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous...

READ MORE

Manula Arejea Simba Kuwavaa Dodoma

UONGOZI wa Simba SC, umefunguka na kuwatoa hofu mashabiki wake na kuelezea kurejea kikosini kwa kipa wao namba moja, Aishi...

READ MORE

Metacha atajwa kipigo cha Azam

KOCHA mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya ushindi wao wa juzi Jumamosi...

READ MORE

Pablo aanza na upepo kwa mastaa Simba

Kuelekea mchezo wao wa Jumapili hii dhidi ya RS Berkane ya Morocco kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Serikali Inatambua Mchango wa Chuo Cha IAA Kuendeleza Michezo

  Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo...

READ MORE

Chama Anatisha

UNAWEZA kusema Clatous Chota Chama anaendelea pale alipoishia kutokana na yale anayoyafanya ndani ya uwanja akiwa na jezi ya Simba...

READ MORE

Sure Boy, Bangala Wapewa Kazi Maalum Yanga

  MARA baada ya Yanga kuwakosa wachezaji wake mahiri, Khalid Aucho na Djuma Shabani katika mchezo wao wa leo Jumapili...

READ MORE

Pacha Wa Chama Ampa Mzuka Pablo Simba

PABLO Franco, Kocha wa Simba amefunguka kuwa kurejea kwa viungo wake Rally Bwalya na Mzamiru Yassin kumeongeza nguvu na ari...

READ MORE

Straika Simba Atimkia Uturuki

STRAIKA na kinara wa mabao wa Simba Queens, Opah Clement, usiku Machi 4 alipaa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya...

READ MORE

Kisinda Aionya Simba Kwa Mkapa

WINGA wa RS Berkane ya Morocco, Tuisila Kisinda amesema kuwa kucheza na Simba wakiwa ugenini katika Uwanja wa Mkapa, Dar...

READ MORE

Rangnick Kumuanzisha Ronaldo Licha Ya Ukame

KOCHA Ralf Rangnick anatarajiwa kusimama na Cristiano Ronaldo na atamuanzisha fowadi huyo katika mchezo wa Manchester Dabi, Jumapili dhidi ya...

READ MORE

Meridianbet ni Mdhamini wa Zaidi ya Vilabu 30 Duniani

Licha ya kuwa miongoni mwa kampuni kubwa ya burudani kule Ulaya Kusini mashariki, Meridianbet imekuwa ikifanya kazi nzuri kwenye nchi...

READ MORE

Simba: Fiston Mayele Akitufunga Tunampa Mbuzi

MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston...

READ MORE

Live; Urusi Yakikiteka Kituo Cha Nyuklia Cha Ukraine

Urusi imekidhibiti kituo cha nishati cha nyuklia nchini Ukraine baada ya kukishambulia kwa makombora. Moto ulizuka katika kituo cha nyuklia...

READ MORE

Nabi: Mechi Tatu Tu Zinaitosha Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema atahakikisha wanashinda mechi zao tatu zijazo kabla ya kuwavaa Simba kwenye mchezo wao...

READ MORE

Manula, Kanoute Wawakosa Biashara Leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amethibitisha kukosa huduma ya nyota wake watatu kwenye mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya...

READ MORE

EPL, La Liga Na Serie A Kuendelea Leo Wikiendi Hii

Ni wikiendi ya kibabe katika kuuanza mwezi wa 3 mwaka huu wa 2022. Ni mwendo wa ‘Big Match’ kunako EPL...

READ MORE

Yanga Yaondoka Dar Kuelekea Mwanza – Picha

Kikosi cha Yanga kimeondoka Dar es Salaam leo Machi 4, 2022 kuelekea Mwanza tayari kwa maandalizi ya mchezo wao wa...

READ MORE

Mugalu na Kibu Waanza Mazoezi Simba

NYOTA wawili wa Simba ambao ni Chris Mugalu na Kibu Dennis tayari wameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na...

READ MORE

Suprise! Yanga Walivyomtembelea Mtoto Ally Anayeumwa

Jana Machi 03, 2022 wachezaji na viongozi wa Klabu ya Yanga wamefika Upanga, Jijini Dar es salaam kumtembelea kijana Ally...

READ MORE

Chico Akabidhiwa Beki Mbishi

DAKTARI wa Viungo wa Yanga raia wa Tunisia, Yussef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongomani, Chico Ushindi ataanza...

READ MORE

Mashine Mbili Zampa Kiburi Nabi

GEITA Gold kazi wanayo! Ndivyo utakavyosema baada ya Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi kufurahia kurejea uwanjani...

READ MORE

Pablo Atangaza saa 48 za Hatari Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mhispania, Pablo Franco, ametangaza siku mbili sawa na saa 48 za vijana wake kupata ushindi...

READ MORE

Sportpesa Yatangaza Jackpot Mpya Ya Shilingi Milioni 985

  Kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri (betting) ya SportPesa, imetangaza ‘Jackpot’ mpya ambapo sasa mshindi anaweza kujishindia mpaka shilingi...

READ MORE

Masoud Djuma Arudisha Matumani Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji, umeibuka na kusema una imani timu hiyo itafanya vizuri na kufanikisha malengo yake ikiwa chini ya...

READ MORE