×

Michezo

Manara: Usajili wa Chama Yanga, Biashara Tushamaliza

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameokoleza kile kinachoelezwa kuwa timu hiyo iko kwenye harakati za mwisho za kumsajili...

READ MORE

Yanga Yaangukia Pua Kesi ya Morrison

MCHEZAJI wa Simba, Bernard Morrison ameshinda kesi iliopelekwa na klabu ya Yanga katika mahakama ya usuluhishi wa Michezo (CAS). Yanga...

READ MORE

Wiki hii SportPesa Watoa Jackpot Bonus ya 11,049,185/=

Mkazi wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi...

READ MORE

Mwenyekiti Simba Afunguka Chama Kurudi – Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene “Try Again” leo Novemba 21, 2021 akiongea na wanachama wa...

READ MORE

Ole Gunner Afukuzwa Manchester United

HATIMAYE Klabu ya  Manchester United imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Ole Gunner Solskjaer, hatua hiyo inafuatia matokeo mabaya...

READ MORE

Kocha Simba Ampa Mbinu Nabi Kuwaua Namungo

KOCHA Msadizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amesema wamepanga kuendeleza ubabe wao leo Jumamosi mbele ya Namungo wakitumia mbinu walizozipata...

READ MORE

Fei Toto, Mayele Wala Kiapo Kuifunga Namungo

MASTAA wa Yanga ni kama wamekula kiapo kuhakikisha leo Jumamosi wanaibuka na ushindi dhidi ya Namungo kutokana na kuweka wazi...

READ MORE

Aucho Augua Ghafla, Aachwa Dar

YANGA leo watakosa huduma ya kiungo wake fundi Mganda, Khalid Aucho wakati timu hiyo itakapojitupa uwanjani kuvaana na Namungo FC....

READ MORE

Tanzania Yaporomoka Viwango vya FIFA

TANZANIA imeshuka nafasi moja kutoka 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira...

READ MORE

Simba ya Pablo Unagusa Unaachia

IKIWA amekaa na timu kwa takribani siku nne, tayari kocha mpya wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco ameonesha wazi...

READ MORE

Rasmi Chama Aomba Kurudi Bongo

  KUFUATIA ugumu wa maisha anaokutana nao katika timu ya RSB Berkane ya nchini Morocco, kiungo wa zamani wa Simba,...

READ MORE

Simba Yaibuka na Ushindi wa 3-1 Dhidi ya Ruvu Shooting

KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

READ MORE

Ajibu Yamkuta Simba, Pablo Amuondoa Kikosini

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amemuondoa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu katika mipango yake. Hiyo ni...

READ MORE

Epl, Serie A, Bundesliga Na La Liga Kuendelea Wikiendi Hii

Baadhi ya mataifa yameshajihakikishia kucheza Kombe la Dunia mwakani. Wengine, wataendelea kujitafuta mwezi Machi mwakani. Ligi Soka barani Ulaya kuendelea...

READ MORE

Pablo Awataja Mastaa Watatu Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, mapema tu ameonekana kuridhishwa na viwango vya baadhi ya mastaa wa timu hiyo, huku...

READ MORE

Dar yatikisa awamu ya pili Shinda Vitabu vya Shigongo

AWAMU ya pili ya Shinda Zawadi ya Kitabu cha Shigongo, imefanyika Novemba 16, 2021 ambapo jumla ya washindi watatu wamepatikana....

READ MORE

Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo leo Novemba 13, 2021 akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba...

READ MORE

Cheka, Alkasasu Kupasuana Usiku wa Mishindo

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini,  Muksini Swalehe ‘Alkasusu’ na Cosmas Cheka wanatarajia kupanda ulingoni  Desemba 3, mwaka huu katika...

READ MORE

Mastaa Watano Yanga Kuikosa Namungo

KIKOSI cha vinara wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Yanga SC kinaondoka leo Dar es salaam kueleka Mkoani Lindi ambako...

READ MORE

Gomes Apata Timu Mauritania

Aliyekuwa Kocha wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Ya Mauritania.   Gomes...

READ MORE

Diarra Aipa Jeuri Yanga Ligi Kuu

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa uwepo wa kipa raia wa Mali, Djigui Diarra umemaliza tatizo kubwa katika kikosi hicho.  ...

READ MORE

Nchi 10 za Afrika Zafuzu Mechi za Mtoano Kombe la Dunia

  Nchi 10 za Afrika zimefuzu mechi za mtoano kuelekea katika Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika Qatar mwakani kuanzia...

READ MORE

Mukoko Awekwa Sokoni Yanga SC

KIUNGO mkabaji Mkongomani wa Yanga, Mukoko Tonombe ni kati ya wachezaji huru katika kikosi hicho wanaoruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu...

READ MORE

Nabi Apiga Marufuku Kubutua Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi anataka kuona timu yake ikiendelea kucheza soka safi la kisasa la pasi nyingi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Ronaldo Hali Mbaya

Nyota Cristiano Ronaldo jana alishindwa kuisaidia Ureno kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia baada ya kuchapwa 2-1 nyumbani na...

READ MORE

Rasmi: Dean Smith Kocha Mpya Norwich City

Klabu ya Norwich City imemteua Dean Smith kuwa kocha mpya wa kikosi hicho baada ya kumtimua Daniel Farke Novemba 7...

READ MORE

SGA Security Yadhamini Tamasha la Mpira wa Watoto

    KATIKA vipaji vya watoto Kampuni ya SGA Security ya hapa nchini imetangaza kukuza vipaji vya vijana wenye umri...

READ MORE

Kocha Mtunisia: Simba Isajili Kiungo Dirisha Dogo

ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu,...

READ MORE

Saido, Makambo Waibua Vita Nzito Yanga SC

UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha...

READ MORE

Miito ya Bamba Tanzania Ndiyo Mchongo wa Mjini

RAHA ya soka lolote duniani ni makelele, iwe nje au ndani ya uwanja, watu wengi sana upenda na usikia raha...

READ MORE

Tshishimbi Achekelea Kurudi Bongo

NAHODHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amefunguka kuwa anafurahi kurudi Tanzania na kucheza soka kama...

READ MORE

Yanga Yamtema Kiungo Mghana

YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya...

READ MORE

Tajiri Aandaa Kufuru Yanga

KATIKA kuelekea usajili wa dirisha la Januari, mwaka huu wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Pablo Atambulisha Mifumo Miwili Simba

 ILIKUWA juzi Ijumaa, ndiyo siku ambayo kocha mpya wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco alianza kazi rasmi ya kukinoa...

READ MORE

Mukoko Atangaza Vita Yanga

KIUNGO wa Yanga raia wa DR Congo, Mukoko Tonombe, ameahidi kufanya mazoezi mazito ili aweze kupata nafasi ya kucheza kikosi...

READ MORE

Stars Yatoshana Nguvu Na Madagascar, DR Congo Waongoza Kundi

TIMU ya taifa ya Tanzania leo Novemba 14 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa...

READ MORE

Kufuzu Kombe la Dunia 2022… Taifastars Ilikwama Hapa

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo Jumapili kitahitimisha safari yake ya kucheza mechi za kufuzu Kombe...

READ MORE

Sure Boy, Mudathir Mbona Freshi Tu Polisi TZ

KUMEIBUKA taarifa kuwa Polisi Tanzania wapo kwenye mpango wa kuwasajili viungo wawili wa Azam FC, Mudathir Yahya na Salum Aboubakar...

READ MORE