×

Michezo

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Yanga Kutimkia Zanzibar

KUELEKEA kutimiza mwaka mmoja wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Hussein Mwinyi, Serikali hiyo imeialika Yanga kucheza...

READ MORE

Morrison Atuma Salamu Ligi Kuu

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa licha ya hali ngumu wanayokutana nayo mwanzoni mwa msimu huu, bado kikosi...

READ MORE

Hitimana Asuka Mipango ya Kuwashusha Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amewataka nyota wote wa kikosi hicho ambao hawana majukumu timu za taifa kuripoti kambini...

READ MORE

Moloko Ajipa Kazi ya Kumng’arisha Mayele

WINGA ya Yanga, Jesus Ducapel Moloko, amesema atahakikisha anaongeza juhudi katika kutengeneza nafasi kwa washambuliaji wao wakiongozwa na Fiston Mayele...

READ MORE

Mo afanya jambo Simba

BAADA ya Simba kuanza msimu huu kwa matokeo yasiyoridhisha, klabu hiyo imeamua kuunda kamati ya vigogo watatu ambao watakuwa maalum...

READ MORE

Taifa Stars: Tuna Nafasi ya Kufuzu Kombe la Dunia

WAKATI Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ikijiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo,...

READ MORE

Simba Sasa Vilio basi

KLABU ya Simba, imeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco raia wa Hispania mwenye miaka 41, akichukua mikoba...

READ MORE

Aucho: Fei Toto Ana Balaa

KIUNGO wa kati wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kiungo mwenzake, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ana balaa, huku akiweka wazi...

READ MORE

Wachezaji Man United Wamkataa Ole Solskjaer

INAELEZWA kwamba Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer anapata wakati mgumu kurejesha utulivu miongoni mwa wachezaji wa Man United...

READ MORE

Kocha Simba Ataja Chanzo cha Kadi Nyekundu

Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amevunja ukimya na kutaja kuwa kukamiwa na kuchezewa kwa nguvu nyingi na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

NBC Dodoma Marathon Zakusanya Mil 200 Kusaidia Wenye Saratani

Mbio za hisani za kimataifa zilizoandaliwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) “NBC Dodoma Marathon” zimefanikiwa kukusanya fedha zaidi...

READ MORE

Ishu ya Chama Kutua Yanga; Injinia Hersi Afunguka

NI suala la muda tu kwa kiungo Mzambia, Clatous Chama kutua Yanga! Ndivyo wanavyosema Yanga kuhusu tetesi za kumrejesha nchini...

READ MORE

Bosi Yanga Afichua Watakavyobeba Ubingwa

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza, ameweka wazi mpango mkakati wa kuhakikisha timu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kagere Ameshindikana, Atupia Mabao 60 Bongo

MEDDIE Kagere ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22 ameshindikana kwa kuwa ni kinara wa mabao akiwa nayo...

READ MORE

Breaking News: Pablo Franco Kocha Mpya Simba – Video

KLABU ya Simba SCimeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín (41) raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho...

READ MORE

Bamba Tanzania Yawabamba Simba, Yanga

RAHA ya soka lolote duniani ni makelele, iwe nje au ndani ya uwanja, watu wengi sana upenda na usikia raha...

READ MORE

Zaha Akimbia Timu ya Taifa Ivory Coast

STAA wa Crystal Palace, Wilfried Zaha ameomba asijumuishwe  kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kinachojiandaa na michezo...

READ MORE

Roulette Bomba Iliyojaa Burudani Kwenye Sloti ya Mtandaoni!

Ni mchezo wa kasino ulionakshiwa kwa ubora mkubwa ambao unajaza mifuko ya wachezaji kwa ushindi, bonasi na jakipoti! Hii hapa...

READ MORE

Hersi: Si Kibwana Tu, Simba Wanataka Mabeki Wetu Wote na Viungo

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya YANGA, Eng HERSI SAID amesema amepata tetesi za viongozi wa klabu...

READ MORE

Eng. Hersi: Mjadala Ulioanzishwa Kuhusu Udhamini ni Siasa Chafu

MKURUGENZI wa Uwekezaji wa GSM na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema mjadala ulioanzishwa...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Yanga Kubadili Nembo ya NBC Kwenye Jezi

MKURUGENZI wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya vilabu vya soka nchini kubadili nembo za wadhamini...

READ MORE

Hitimana: Yanga Hii Inatupa Presha

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amefunguka kuwa kasi waliyoanza nayo wapinzani wao, Yanga na mabao wanayofunga, imekuwa ikiwaongezea...

READ MORE

Vigogo Simba Wavamia Nyumbani Kwa Kibwana

IMEELEZWA kuwa vigogo watatu wa Simba wamevamia nyumbani kwa beki wa pembeni wa Yanga, Kibwana Shomari eneo la Bigwa wilaya...

READ MORE

Majaliwa: Rais Samia Ana Matumaini na Taifa Stars

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ana matumaini makubwa na...

READ MORE

Breaking: Xavi Hernandez Kocha Mpya Barcelona

Klabu ya Al Sadd Sc imethibitisha kuwa Xavi Hernandez ameondoka klabuni hapo na kujiunga na Fc Barcelona kama kocha Mkuu...

READ MORE

Mastaa Yanga Wasifu Mbinu za Nabi

NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amefunguka kuwa kwa sasa nyota wa kikosi hicho wanafurahia zaidi mfumo wa soka la pasi...

READ MORE

Varane Kuzikosa Man City, Chelsea, Arsenal

Beki wa kati Raphael Varane anatarajiwa kuukosa mchezo wa Manchester derby kwenye Uwanja wa Old Trafford, wikiendi hii kutokana na...

READ MORE

Huku Manchester Derby, Kule Ni Milan Derby, Kumenoga Viwanjani

Ni wakati wa kutengeneza faida kupitia michezo ya soka inayoendelea wikiendi hii. Hakika, hii ni wikiendi ya vita za majirani....

READ MORE

Kocha Mpya Simba Abakisha Siku 14

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kwa takribani wiki mbili, Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, imepanga kutumia muda huo kushusha...

READ MORE

Mapya Yaibuka Msoto wa Makambo Yanga

BAADA ya Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo kushindwa kuanza katika mchezo hata mmoja kikosini hapo msimu huu, kocha wa timu...

READ MORE

Nabi: Tulieni Yanga Bado Haijachanganya

BAADA ya Yanga kujikusanyia pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa...

READ MORE

Mkere Mtani Wako Hapa

  RAHA ya soka lolote duniani ni makelele, iwe nje au ndani ya uwanja, watu wengi sana upenda na usikia...

READ MORE

GSM Yampa Kiburi Nabi Yanga SC

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Jumamosi iliyopita kuichapa Ruvu Shooting juzi bao 3-0, kocha...

READ MORE

Saido Amkuna Kocha wa Yanga Ligi Kuu

  BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kucheza mechi yake ya kwanza msimu huu ndani ya Ligi...

READ MORE

Simba Haitaki Mazoea Kabisa Ligi Kuu

SIMBA haitaki mazoea! Unaweza kusema hivyo baada ya jana kuichapa kibishi Namungo bao1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Simba Yaitungua Namungo Dakika za Jioni

KLABU ya Simba Sc yafanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu kwenye mchezo dhidi ya Namungo ambapo wameshinda 1-0 katika dimba...

READ MORE

Nabi Atua Taifa Kuwasoma Simba na Namungo

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nabi Nesreddine ni miongoni mwa watazamaji wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi...

READ MORE