×

Michezo

Nabi Mafia, Kaharibu Mipambo ya Gomez

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba, anatarajiwa kupangua kikosi chake,...

READ MORE

Nabi, Kaze Wabadilishana Mbinu Usiku Simba Afe

LICHA ya kutua usiku wa kuamkia jana, aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, hakutaka kupumzika na akaenda moja...

READ MORE

Gomes Awapa Sakho, Banda Majukumu

KATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amewapa majukumu...

READ MORE

Mwamnnyeto: Yanga Itawavua Simba Ubingwa Msimu Huu

JOTO la msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara linazidi kushika kasi, wakati huu ambapo zimesalia siku tatu pekee kabla...

READ MORE

Makambo Awaita Mashabiki wa Yanga

KUELEKEA mechi dhidi ya Simba, mshambuliaji wa Yanga, Heritier Ebenezer Makambo, amefunguka kuwa mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kuja kwa...

READ MORE

Nabi Agoma Kabisa Kutabiri Matokeo ya Kesho

KUELEKEA kwenye Derby ya Simba na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, kocha wa Klabu ya Yanga, Nasreddine Nabi,...

READ MORE

Kocha Azam: Kanoute ana Balaa

KWA sasa habari ya mjini ni kiungo mkabaji wa Simba, Sadio Kanoute, raia wa Mali, ambaye amefanikiwa kuonyesha kiwango bora...

READ MORE

Matajiri 9 Yanga Wajifungia

JANA siku nzima, sawa na saa 24, matajiri wa Yanga walijifungia kwenye moja ya hoteli kubwa kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Kubwa Zaidi Wiki Hii Championship, Ligi Kuu Uingereza na Serie A

Wikiendi poa inakujia na nafasi kubwa sana ya kupiga pesa kwenye gemu mbalimbali za wikiendi, kuanzia Championship na ligi kibao...

READ MORE

Beki Yanga Ataja Kitakachoiponza Simba SC

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amefichua kuwa kwa upande wao, hawana wasiwasi wa kuwafunga Simba katika mchezo...

READ MORE

Gomes Aiandalia Sapraiz Yanga kwa Mkapa

KUELEKEA mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, utakopigwa kesho Jumamosi, benchi la ufundi la Simba chini ya...

READ MORE

Gomes Afunga Hesabu Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes ni kama amewamaliza watani wake wa jadi, Yanga, ni baada ya kuzinasa video...

READ MORE

Morisson, CAS Yaibuka Mengine

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imesogeza tena mbele hukumu yake dhidi...

READ MORE

Sababu za Kaze Kurudi Yanga Zatajwa

TANGU kuanza kwa wiki hii kumekuwa na tetesi kuhusu kurejea kwa kocha Cedric Kaze ndani ya kikosi cha Yanga baada...

READ MORE

Kariakoo Dabi… Wamesepa Lakini Wameacha Alama

KINAWASHWA tena Jumamosi hii pale kwa Mkapa, ndiyo pazia la Ligi Kuu Bara litafunguliwa rasmi siku hiyo ya Septemba 25,...

READ MORE

Kanoute, Kibu Wakimbizwa Hoispitali

MASTAA wa Simba wote juzi walipelekwa Hospitali ya Muhimbili ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo… Bato la Hawa Jamaa si la Kitoto

SEPTEMBA 25, mwaka huu moto utawaka tena katika Uwanja wa Mkapa ambapo Watani wa Jadi, Simba na Yanga watashuka kuumana...

READ MORE

Siri ya Kapombe Kupewa Unahodha, Simba Yafunguka

HIVI unajua kisa cha Kocha wa Simba, Didier Gomes kumvua kitambaa cha unahodha msaidizi Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ na kukihamisha kitambaa...

READ MORE

Simba, Yanga Ndio Muda wa Kuonyesha Ukubwa Wenu

JUMAMOSI hii klabu za Simba na Yanga zitashuka dimbani kwenye mechi ya Ngao ya Jamii ikiwa inaashiria kufunguliwa kwa msimu...

READ MORE

Kariakoo Dabi…. Wapya Watakaowasha Moto

Mchezo huo ambao utakuwa ni wa ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara baada ya kumalizika kwa kipindi cha...

READ MORE

Gomes Aanza na Kibu, Kanoute Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amefunguka na kuelezea jinsi anavyovutiwa na wachezaji wake wapya, mzawa Kibu Denis na Sadio...

READ MORE

Beki Yanga Atuma Salamu Simba SC

BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amefunguka na kuelezea mipango yao kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao,...

READ MORE

Kengele ya Hatari Imewaka kwa Simba SC, Yanga

BAADA ya makelele mengi na tambo za huku na kule katika dirisha la usajili lililofungwa Agosti 31, mwaka huu hatimaye...

READ MORE

Nabi Afunguka Atakavyowamaliza Simba SC

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kutamka kuwa wapo imara,...

READ MORE

Lionel Messi Nje Wiki Mbili

Mshambuliaji mpya kwa klabu ya PSG, Lionel Messi anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wili mbili baada ya vipimo...

READ MORE

Kwa Takwimu Hizi… Ushindi Mkubwa wa Simba vs Yanga

HISTORIA ya Simba na Yanga kufungana mabao mengi pindi zinapokutana katika nyakati tofauti za utawala wa marais wa Tanzania zinasomeka...

READ MORE

Kariakoo Dabi… Mataifa 13 Kuvuja Jasho kwa Mkapa

WAHENGA wanasema “dalili ya mvua ni mawingu” na ndivyo itakavyokuwa Septemba 25, mwaka huu ambapo kipyenga rasmi cha Ligi Kuu...

READ MORE

Morrison Hana Bahati na Yanga

UNAAMBIWA gonga jiwe usikie mlio wake, basi ukimgonga mzee wa kuchetua ndani ya kikosi cha Simba, Bernard Morrison utakutana na...

READ MORE

Mertesacker: Arsenal UEFA ni Baada ya Miaka Minne

KOCHA wa akademi ya Arsenal, Per Mertesacker, amewaambia mashabiki wa wa timu hiyo watarajie kuingia kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kariakoo Dabi 2021… Ni Mwaka wa Rekodi Simba, Yanga

WIKIENDI hii Septemba 25 itakuwa ni Jumamosi, pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara litakuwa linafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

Samuel Eto’o Atangaza Kugombea Urais

NYOTA wa soka nchini Cameroon, Samuel Eto’o ametangaza kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Cameroon. Eto’o ametoa...

READ MORE

James Rodriguez Atimkia Qatar

BAADA ya kuondolewa kwenye kikosi cha Everton pamoja na kwamba msimu uliopita alionyesha kiwango cha juu, mshambuliaji James Rodriguez anakaribia...

READ MORE

Juventus, Atletico Zamuwinda Saka

KLABU za Juventus na Atletico Madrid zimeanza harakati za kutaka kumsajili beki kisiki wa Arsenal, Bukayo Saka. Saka alionyesha kiwango...

READ MORE

Mo, Gomes Wakutana Fasta Kuijadili Yanga

TAYARI Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameitisha kikao cha haraka na Kocha Mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Ronaldo Ampiku Messi

STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amempiku  mshindi wa mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or Lionel Messi  anayekipiga Paris...

READ MORE

Yanga Baba Lao, Yaipiku Simba

Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara imetoa takwimu mbalimbali za msimu wa 2020/21 uliokwisha malizika kwa Simba kutwaa ubingwa....

READ MORE

Manchester United Kuuza Nyota Saba

KLABU ya Manchester United imetajwa kuwa ina mpango wa kuuza nyota wake saba ifikapo Januari mwakani. Nyota hao saba wote...

READ MORE

Simba SC, Yanga SC Kuna Kitu Mmejifunza

JUMAMOSI ya wiki hii, tunakwenda kushuhudia mchezo wa Ngao ya Jamii, ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu wa 2021/22...

READ MORE

Roy Keane Aichambua Chelsea Vs Tottenham

MKONGWE wa Manchester United, Roy Kean amefungu­ka kuwa mch­ezo kati ya Tottenham na Chelsea ulikuwa kama wa wa­naume na wavu­lana....

READ MORE