MIAKA ya 1970 kuja huku 1980 hadi 1990 kwenye soka la Tanzania palikuwa panazaliwa majina mengi sana ambayo walikuwa wanaitwa...
READ MOREYANGA imewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa upo uwezekano mkubwa wa mabeki wake wawili wa kushoto, Yassin...
READ MOREM A N CH ESTER, England CRISTIANO Ronaldo amerejea Old Trafford baada ya miaka 12 kupita, mchezo wake wa...
READ MOREMMEKWISHA! Ndivyo utakavyoweza kusema ni baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes kupata vikosi viwili matata katika kuelekea...
READ MOREKUELEKEA kilele cha wiki ya Simba Day, Septemba 19, mwaka huu, katika Uwanja wa Mkapa, Dar, uongozi wa timu hiyo...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Pape Ousmane Sakho ambaye amerithi jezi namba 17 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo fundi Mzambia, Clatous...
READ MORENICKSON Kibabage ni moja wa wachezaji wachanga ambao wanakuja kwa kasi sana akiwa amefanikiwa kucheza nje ya nchi ukiachana na...
READ MOREWINGA wa Simba, Mmalawi, Peter Banda, amesema kuwa atafurahi kuona mashabiki wa Simba wakiujaza Uwanja wa Mkapa katika mchezo wao...
READ MORETAYARI kwa sasa mashabiki wa Simba wapo na shauku kubwa kuona namna gani watajitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa, Dar,...
READ MOREMKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli, amesema sababu ya kualika watu wengi kusafiri na timu...
READ MOREUNAAMBIWA huko mazoezini kwa Simba, Kocha Mkuu, Didier Gomes, kila kukicha anawapa mbinu mpya wachezaji wake, Chris Mugalu, Duncan Nyoni...
READ MOREKATIKA kuhakikisha wanapangua hujuma za wapinzani wao Rivers United ya Nigeria, Yanga juzi iliwapima mastaa wake wote corona katika Hospitali...
READ MOREMABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga Jumapili hii wanatarajia kuwa katika viunga vya Port Harcout nchini Nigeria kwa...
READ MOREJESSE Lingard amekiri kuwa ameumizwa baada ya kosa lake kusababisha Manchester United kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya...
READ MOREMICHAEL Owen anadai kikosi cha Paris Saint-Germain ni dhaifu sasa baada ya Lionel Messi kujiunga na klabu hiyo kufuatia Muargentina...
READ MOREKIPIGO kisichotarajiwa cha mabao 2-1 dhidi ya Young Boys, kimemfanya kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer kuwa mdebwedo kwenye...
READ MORESHIRIKISHO la Mpira wa Miguu kwa Walemavu (TAFF) limemteua Masau Bwire kuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano na...
READ MOREKOCHA wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemwambia kocha mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, kuwa kama anataka...
READ MOREKIKOSI cha Yanga kilishuka dimbani Wikiendi iliyopita kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya awali wa michuano ya Ligi ya...
READ MOREUPO uwezekano mkubwa wa kuwepo mabadiliko katika safu ya ulinzi ya Yanga katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali...
READ MOREBAADA ya aliyetarajiwa kuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry kutimkia Simba, inatajwa kuwa uongozi wa timu hiyo upo...
READ MOREKikosi cha Simba SC kimewasili Jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Arusha walikuwa wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya...
READ MOREKIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amejikuta akitoa kilio kufuatia kutokuwa sehemu ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya...
READ MOREHATIMAYE Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amekamilisha kazi iliyompeleka kwenye maandalizi ya msimu ujao wa michuano mbalimbali kwa kuunda...
READ MOREWAKATI jina la Masau Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting likitajwa kuibukia mitaa ya Msimbazi kubeba mikoba ya Haji Manara,...
READ MOREKUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine...
READ MOREWIKIENDI iliyopita ilikuwa tamu na chungu kwa wadau mbalimbali wa soka hapa nchini kufuatia michezo ya kwanza ya hatua ya...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa, Didier Gomes, ana kibarua kigumu katika kupanga kikosi chake cha kwanza kutokana na ushindani wa...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amevutiwa na uwezo wa beki wake mpya wa kati raia wa DR...
READ MOREUONGOZI wa Yanga umelifungukia sakata la kocha wao Mtunisia, Nasreddine Nabi juu ya kupewa michezo miwili. Hivi karibuni kulizuka tetesi za...
READ MOREUONGOZI wa Yanga umepanga kumtambulisha rasmi Mwinyi Zahera kuwa Mkurugenzi wa Soka la Vijana ndani ya klabu hiyo huku akiwa...
READ MOREPAMBANO la Dar Boxing Derby linatarajia kupigwa Oktoba 30 mwaka huu kwa mabondia Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ dhidi ya Adam...
READ MOREMsemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema maadalizi ya mchezo wao wa marejeano, hatua za awali dhidi ya Rivers...
READ MOREKAMA utani Waziri wa Maliasili na Utalii, Damas Ndumbaro na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Thomas Mihayo...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta anayeichezea timu ya Royal Antwerp ya nchini Ubelgiji amefungua rasmi akaunti yake ya mabao jana....
READ MOREMashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye...
READ MORETaarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhusu mashabiki kutoingia uwanjani katika michezo ya kimataifa.
READ MOREJipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...
READ MOREHABARI ikufikie kuwa, kiungo mshambuliaji wa Rivers United, Uche Onwuasoanya, huenda akaonekana tena hapa nchini msimu ujao akiwa na...
READ MORE