×

Michezo

Straika Simba: Yanga Msilete Timu Uwanjani

STRAIKA wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amewaonya Yanga kuwa wasiingize...

READ MORE

Mo Awapigia Simu Wachezaji Wote Simba

KUELEKEA kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo, kesho Jumamosi, inadaiwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’,...

READ MORE

Etienne Ndayiragije Ala Shavu Burundi

ALIYEKUWA kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije, amekula shavu katika kikosi cha Kiyovu Sports...

READ MORE

Gomes: Tupo Tayari Kwa Yanga

KUELEKEA mechi ya Kariakoo Dabi kati ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es...

READ MORE

Kocha Simba: Tunatakiwa Kushinda Mbele Ya Yanga

  KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, kesho Mei 8, 2021 uongozi wa...

READ MORE

Wikiendi Ya Kibabe Kunako Ligi Soka Mbalimbali Barani Ulaya

Baada ya kuzijua mbivu na mbichi za Ligi ya Mabingwa, ligi zingine kuendelea na michezo yake wikiendi hii. Nani anashuka/kupanda...

READ MORE

Video: Kocha Yanga na Niyonzima Watamba “Hatuna Hofu na Simba”

NASSREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga leo Mei 7, 2021 amesema kuwa anatambua kwamba timu ya Simba inayonolewa na Kocha...

READ MORE

Manara: Yanga Washinde 6-0, Hatutaki Kubebwa Wala Ujanja Ujanja – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara, leo Mei 07 amefika katika Studio za +255 Global radio zilizopo Sinza...

READ MORE

Carlinhos, Job Kamili Kuivaa Simba

KIUNGO wa Yanga, Carlos Carlinhos na beki wa timu hiyo, Dickson Job, huenda wakaanza kwenye mchezo dhidi ya Simba ikiwa...

READ MORE

Aishi Manula Apewa Zoezi Maalum Kumzuia Yacouba

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, juzi Jumanne alikuwa na kibarua kizito mazoezini ambapo alipewa mazoezi magumu kwa...

READ MORE

Gomes Amfungukia Morrison

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wake, Bernard Morrison ni ‘Super Sub’ kutokana na uwezo mkubwa...

READ MORE

Chama, Luis Waitikisa Yanga

IKIWA wikiendi hii watani wa jadi Simba na Yanga wanakutana Uwanja wa Mkapa, Dar, rekodi zinaonesha kuwa nyota wawili wa...

READ MORE

Job Aandaliwa Kuisimamisha Simba

BEKI chipukizi wa Yanga, Dickson Job ambaye ni ingizo jipya kikosini hapo akitokea Mtibwa Sugar, anaandaliwa maalumu kwa ajili ya...

READ MORE

Carlinhos apelekwa hospitali fasta

TAARIFA kutoka ndani ya kambi za Yanga zinasema kuwa, Juzi Jumatatu madaktari wa kikosi hicho, walilazimika kuwakimbiza hospitali nyota wake...

READ MORE

Haji Manara Atamba Kucheza Zaidi Ya Carlinhos

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anaweza kucheza kama kiungo wa Yanga Carlohs Carlinho na akamzidi kutokana na...

READ MORE

Staa Yanga: Nabi Anza na Carlinhos Weka Nje Fei Toto

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Makumbi Juma, amesema anatamani kumuona Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi akimpanga kiungo Carlos Carlinhos dhidi...

READ MORE

Simba v Yanga, Jiandaeni Kisaikolojia

WATANI wa jadi wanapaswa wajiandae kisaikolojia kutokana na orodha ya waamuzi ambao wataamua mchezo wa Simba v Yanga, Mei 8,...

READ MORE

Ulinzi Waimarishwa Simba Vs Yanga

UONGOZI wa Uwanja wa Benjamin Mkapa umefunguka kuwa maandalizi yote kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaozikutanisha Simba na Yanga...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga Mali ya Yanga

MWAMUZI wa mchezo kati ya Simba na Yanga, Emmanuel Mwandembwa, ni mali ya Yanga kutokana na michezo yote ya Yanga...

READ MORE

Manara: Ingekuwa ‘Fair’ Yanga Ingeshuka Daraja

AFISA Habari wa klabu ya soka ya Simba SC Haji Manara amesema kwasasa ubora wa wachezaji wa Simba SC ni...

READ MORE

Mgunda Afungukia Kutimuliwa Coastal Union

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union ya Tanga amesema kuwa kuhusu kufukuzwa ndani ya timu hiyo anasikia tu kama...

READ MORE

Rekodi Zinambeba Shikalo Dhidi ya Simba

KUeleKeA mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa siku ya Jumamosi, licha ya ubora wa golikipa wa Yanga, Metacha Mnata,...

READ MORE

Video: Mzee wa Utopolo Ndani Ya 255 Global Radio | Krosi Dongo

SHABIKI kindakindaki wa Yanga, Mzee wa Utopolo leo Mei 5, 2021 amefunguka mazito katika kipindi cha Krosi Dongo kinachoruka kupitia...

READ MORE

Mourinho Atangazwa Kuwa Kocha Mpya wa AS Roma

Klabu ya AS Roma ya Italia imemtangaza Mourinho kuwa Kocha wake ikiwa ni wiki mbili tangu kibarua chake kiote nyasi...

READ MORE

Caf Yambana Matola, Atakiwa Kusoma

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa mwongozo kwa klabu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu ujao...

READ MORE

Yanga Yawekewa Mil 300 Kuiua Simba

TAYARI joto la kuelekea Dabi ya Kariakoo, limeshaanza kupanda, ambapo inaelezwa kwamba, nyota wa Yanga wameahidiwa shilingi milioni 300 ili...

READ MORE

Waamuzi Msisubiri Mechi ya Simba, Yanga Ndiyo Muwe Makini

MSIMU wa 2020/21 upo mwishoni, na kuna michuano mingi ambayo inaelekea ukingoni.   Hivi karibuni tumeshuhudia timu za Mbeya City...

READ MORE

Kocha Azam Ampa Dube Tuzo ya Kagere

KOCHA Msaidizi wa kikosi cha Azam, Vivier Bahati, amefunguka kuwa ana imani kubwa kuwa mshambuliaji wao, Prince Dube anaweza kutamatisha...

READ MORE

Gomes: Tukiifunga Yanga, Ubingwa ni Asilimia 100

  KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, ametamba kuwa ni lazima waibuke na ushindi katika mchezo wao wa Jumamosi dhidi...

READ MORE

Luis, Chama Wapewa Majukumu Maalum

UNAAMBIWA Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, hataki mchezo kabisa kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Yanga, huku...

READ MORE

Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito

Bondia wa Puerto Rico aliyepigana katika michezo ya Olimpiki ya London mwaka 2012 ameshtakiwa kwa kumteka na kumuua mpenzi wake...

READ MORE

Mondi Aishi Maisha ya Kifalme Nchini Afrika Kusini

Megastaa wa muziki wa Afro-Pop barani Afrika kutoka Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa sasa anaishi maisha ya kifalme nchini...

READ MORE

Bakari Malima: Yanga Inaweza Kuifunga Simba

ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya kufikia siku ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, beki wa kati...

READ MORE

Cheza Kibingwa Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Deuces Wild Poker Usisubiri kuhadithiwa! Jiunge na Meridianbet sasa ili uweze kupata bonasi na promosheni kibao katika michezo...

READ MORE

Nani Kufuzu Hatua Ya Fainali Kunako Ligi Ya Uefa Na Europa?

Baada ya kutifuana kwenye michezo ya awali, mzunguko wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uefa na...

READ MORE

Bocco Awatumia Ujumbe Mzito Yanga

NAHODHA wa Simba, John Bocco, amefunguka kuwa wanakwenda kupata ushindi mnono mbele ya watani zao, Yanga, watakapokutana Mei 8, 2021...

READ MORE

Kwani Yanga Wenyewe Wanasemaje

ZIMEBAKI siku nne kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, kupigwa Jumamosi Mei 8 kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Sarpong: Tumejiandaa Vizuri Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Michael Sarpong, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuibuka na ushindi katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya...

READ MORE

Morrison hatari yake ni baada ya dakika 118

MZEE wa kukera ndani ya ardhi ya Bongo, Bernard Morrison ambaye ni mali ya Simba kwa sasa akitokea Klabu ya...

READ MORE

Azam FC: Hatutoki Mikono Mitupu Msimu Huu

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba msimu huu wa 2020/21 hawatatoka mikono mitupu, watapambana kutwaa taji lolote lile katika...

READ MORE