×

Michezo

Prisons wamweka kifungoni Tambwe

Amissi Tambwe. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam WAKATI Yanga ikishuka dimbani leo ugenini kumenyana na Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine,...

READ MORE

Cannavaro ashusha presha Yanga, aitaka Simba SC

Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Wilbert Molandi, Dar es Salaam HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’...

READ MORE

Yondani atemwa mechi ya Simba

Beki wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani. Waandishi Wetu HASIRA hasara, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya beki wa kati...

READ MORE

Ugando ni habari nyingine Simba SC

Kinda wa Simba, Hija Ugando. Na Hans Mloli, Dar es Salaam SIMBA inaonekana kuanza kukaa sawa na kuzitetemesha timu zilizopo...

READ MORE

Samatta aipa Simba milioni 200

Mtanzania, Mbwana Samatta. Said Ally na Omary Mdose BAADA ya dili la mshambuliaji, Mtanzania, Mbwana Samatta kujiunga na Klabu ya...

READ MORE

Kamusoko aimaliza Yanga Mkwakwani

Kiungo wa kimataifa wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam TIMU ya Yanga, juzi Jumapili ilichezea kichapo...

READ MORE

Niyonzima apangiwa mlo maalum amzuie Tchetche

Wachezaji wa Timu ya Yanga wakifanya Mazoezi. Wilbert Molandi, Dar es Salaam YANGA haitaki mchezo kwani imempangia mlo maalum kiungo...

READ MORE

Samatta kimeeleweka Genk, Katumbi amfuata

Mbwana Samatta. BOSI wa TP Mazembe, Moise Katumbi, amemfuata straika wake, Mbwana Samatta nchini Ubelgiji ili kuweka mambo sawa ili...

READ MORE

Simba, Azam zamzuia Yondani kusaini mkataba mpya yanga

Beki tegemeo wa timu ya Yanga, Kelvin Yondani. KAMATI ya Usajili ya Yanga, imestopisha mazungumzo yake na beki tegemeo wa...

READ MORE

Mbinu za Pluijm, Mayanja zafanana

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Waandishi Wetu, Dar es Salaam MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimekolea,...

READ MORE

Malinzi: Tumekosea kuiruhusu Azam

Said Ally, Dar es Salaam KUFUATIA malalamiko ya klabu kadhaa za Ligi Kuu Bara juu ya Azam FC kuruhusiwa kwenda nchini...

READ MORE

Jerry Muro kupandishwa ‘kizimbani’

Msemaji wa Yanga, Jerry Muro. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam KAMA ulidhani ile kesi inayomkabili msemaji wa Yanga, Jerry Muro imepotezewa...

READ MORE

Ajib mchezaji bora wa mwezi Simba

Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajib. Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajib ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa timu hiyo...

READ MORE

Kocha Simba azungumza na timu tatu Sauz

Aliyekuwa kocha wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr. Hans Mloli, Dar es Salaam IMEBAINIKA kuwa aliyekuwa kocha wa Simba, Muingereza, Dylan...

READ MORE

Wachezaji 11 nje Yanga SC

Wachezaji wa timu ya Yanga. Sweetbert Lukonge na Nicodemus Jonas BALAA kubwa limeikumba Yanga ambayo hivi sasa ipo katika maandalizi...

READ MORE

Mabao 13 Yanga yampa Tambwe hofu

Straika wa Yanga na kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe. Khadija Mngwai, Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga...

READ MORE

Pluijm ampa muda Niyonzima

Haruna Niyonzima ‘Fabregas’. Nicodemus Jonas na Sweetbert Lukonge LICHA ya wanachama wa Yanga kufurahia kurejea kwa fundi wa pasi kikosini...

READ MORE

Pointi 21 zashikilia ubingwa Yanga

Mwadishi Wetu Dar es Salaam LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kumalizika Mei 7, mwaka huu, lakini vinara wa ligi hiyo,...

READ MORE

Manji: Tiboroha alificha barua za Niyonzima

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. *Atangaza kugombea tena, asema wanaomtaka wampe kura awe mwenyekiti Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Yanga,...

READ MORE

Yondani atoboa siri ya kiwango chake Yanga

Beki wa kutumainiwa wa timu hiyo, Kelvin Yondani. Hans Mloli, Dar es Salaam UKIACHANA na balaa wanalolifanya kina Amissi Tambwe,...

READ MORE

Tambwe tena akutwa na mkasa

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Tambwe. Mwandishi Wetu Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga, Hamis Tambwe, amekumbwa na mkasa mwingine baada...

READ MORE

Niyonzima: Nataka kushindana na Kamusoko

Haruna Niyonzima akiwa na Mzimbabwe, Thaban Kamusoko. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam KUREJEA kwa fundi wa pasi, Haruna Niyonzima kikosini...

READ MORE

Sakata la Tiboroha, Manji afunguka

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. TAARIFA KWA WANAYANGA KUPITIA VYOMBO YA HABARI 1. Baada ya kuupitia uamuzi wa Kamati ya...

READ MORE

Mechi za leo EPL

Muda:  Saa 1:00 usiku Uwanja: Emirates  Muda:     Saa 4:30 jioni Uwanja: Goodison Park, Liverpool

READ MORE

Kocha amzuia Maguri kumfukuzia Tambwe

Straika Elias Maguri wa Stand United. HUWEZI kuamini kwamba straika Elias Maguri wa Stand United hana nafasi katika kikosi cha...

READ MORE

Kessy yamkuta ya Nyosso, aiomba TFF imsaidie

Beki wa kulia wa Simba, Hassan Kessy. Sweetbert Lukonge BEKI wa kulia wa Simba, Hassan Kessy, amelitaka Shirikisho la Soka...

READ MORE

Niyonzima ndiye aliyemsajili Kamusoko Yanga

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Wilbert Molandi SIRI imefichuka, kwamba kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima, ndiye aliyefanikisha usajili wa nyota...

READ MORE

Yanga hii! we acha tu

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2015/2016...

READ MORE

Pluijm: Nipo tayari kumpokea Niyonzima

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amesema...

READ MORE

Samatta akabidhiwa kwa kocha wa Paris

Mshambuliaji Mbwana Samatta. Ibrahim Mussa na Khadija Mngwai WAKATI mshambuliaji Mbwana Samatta, juzi Jumatano akirejea katika klabu yake ya TP...

READ MORE

‘Umaarufu wa Kipre Tchetche ni kwa majirani tu!’

Mshambuliaji wa aAzam. Kipre TchetcheNicodemus Jonas,Dar es Salaam UNAWEZA kudhani ni utani, lakini ukweli ni kwamba kati ya Waivory Coast...

READ MORE

Martial, Vardy wachezaji wenye kasi zaidi EPL

Anthony Martial (kushoto) aliweka rekodi hiyo wakati Manchester United ilipotoka sare ya 3-3 dhdi ya Newcastle. Staa wa Klabu ya Manchester...

READ MORE

Yanga yashtuka, yabadili gia angani

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi Dar es Salaam UKIPATA nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza cha...

READ MORE

Hall: Azam tunarudi katika kiwango chetu

Kocha wa Azam FC, Stewart Hall. Said Ally, Dar es Salaam BAADA ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Kombe...

READ MORE

Matola: Simba ilichelewa kumtimua Kerr

Kocha msaidizi wa zamani wa Simba, Suleiman Matola. Said Ally, Dar es Salaam KWELI adui mwombee njaa, kwani kocha msaidizi...

READ MORE

Katumbi Agoma Kumuuza Samatta Ubelgiji, Huenda Akabaki TP Mazembe

Mbwana Samatta IKIWA tayari Ubalozi wa Ubelgiji nchini Tanzania umekwishatoa viza kwa mshambuliaji Mbwana Samatta kwenda kusaini klabu ya KRC Genk,...

READ MORE

Arsenal Yakamilisha Usajili Wa Elneny

Mohamed Elneny London, England Yametimia! Kama ulikuwa ukisikia tetesi kila kona kwamba Klabu ya Soka ya Arsenal ya England ilikuwa...

READ MORE

Yanga yaendelea kujifua kwa nguvu

Wachezaji wa timu ya Yanga wakijiweka sawa katika Uwanja wa Boko Veterani, Boko kabla ya kushuka dimbani Jumapili kucheza na...

READ MORE

Liverpool, Arsenal watoka bao 3-3

Mchezaji wa Arsenal, Giroud akishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 55 kipindi cha pili katika Uwanja wa Anfield usiku...

READ MORE