×

Michezo

Tambwe Awaonya Simba kwa JembeJipya la Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji...

READ MORE

Yanga: Tumepata 930m, tunashusha majembe

YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo...

READ MORE

Yanga Yasajili Beki Afcon

HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na...

READ MORE

Matola Kusajili Majembe Mapya 13

KOCHA mpya wa timu ya Polisi Tanzania, Seleman Matola kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara amepanga kukitengeneza kikosi chake...

READ MORE

Kahata avunja ukimya Simba

aNYOTA wa Kenya anayetajwa kuwa kwenye hatua za mwisho kujiunga na Simba, Francis Kahata amesema kila kitu juu ya hilo...

READ MORE

Hapatoshi Global FC vs Bongo Fleva

TIMU ya Global FC, keshokutwa Ijumaa inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Bongo Fleva FC kwenye Uwanja wa Shule...

READ MORE

Biashara, Mwadui FC wamgombea straika Azam FC

KLABU za Biashara United na Mwadui FC, zipo katika vita ya kumuwania mshambuliaji Waziri Junior ambaye ni mchezaji huru baada...

READ MORE

Baada ya siku 23, Okwi kukinukisha Simba SC

HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu...

READ MORE

Balinya Amtikisa Kagere Bongo

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya...

READ MORE

Beki Mbrazil wa Simba Kazi Wanayo!

SIMBA jana mchana waliposti posti ya usajili wao mpya kwenye mtandao wao, Yanga wakaanza kusonya na kubeza wakidhani ni straika...

READ MORE

Juuko Awavuruga Viongozi Simba

JUZI Jumamosi inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa...

READ MORE

Zahera Abadili Gia ya Usajili Yanga

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla, wikiendi hii waliitumia kwa ajili ya kuzungumza na...

READ MORE

SIMBA YASAJILI MBRAZIL MWINGINE, KUTOKA ATK YA INDIA

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili mchezaji, Gerson Fraga Vieira (26) raia wa Brazil kutoka klabu ya ATK FC...

READ MORE

Rasmi Jina la Kotei latua Yanga

SIMBA na Yanga zote zipo kwenye mikakati mipya ya kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao, kila upande unaonekana kuwa...

READ MORE

Yanga Yamfungukia Mbrazili wa Simba

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa auhofii usajili unaoendelea kufanywa na watani wao wa jadi, Simba ukiwemo wa straika...

READ MORE

Afcon 2019: Premier Bet Wagawa Zawadi Kibao Bureee! – Video

TIMU ya Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya Premier Bet, wikiendi iliyopita iligawa zawadi kwa mashabiki wa soka waliojitokeza katika Ufukwe...

READ MORE

VIDEO: SPIKA NDUGAI, Wabunge WAFUNGUKA Baada Ya Taifa Stars KUCHEZEA KICHAPO…

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job ndugai na baadhi ya wabunge walioshiriki kwenda kuipa sapoti timu...

READ MORE

Azam FC yaitibulia Yanga kwa Kipa Metacha

AZAM FC imesisitiza kwamba, kipa anayetajwa kumalizana na Yanga, Metacha Mnata, ataitumikia Azam FC msimu ujao na wala haendi sehemu...

READ MORE

Azam FC yaitangazia vita Simba

OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wataivua ubingwa Simba....

READ MORE

Usajili wa Ajibu Bado siku Saba

LICHA ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku saba kwa...

READ MORE

YANGA YAONYESHA JEURI YA FEDHA, USAJILI WAKE KUFURU

YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu...

READ MORE

TIMU YA TANZANIA YAANZA VIBAYA AFCON

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 21019) inayoendelea nchini Misri...

READ MORE

Zahera ataja sababu ya kufungwa na Okwi

BAADA ya timu ya taifa ya DR Congo kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Uganda, juzi Jumamosi, Kocha Msaidizi...

READ MORE

AFCON: Staa wa Misri Afukuzwa Kambini kwa Makosa ya Ngono

SHIRIKISHO la Soka la Misri (EFA) limetangaza kumtimua katika kikosi cha Timu ya Taifa ya nchi hiyo, kiungo Amr Warda,...

READ MORE

Simba SC yabadili gia kwa Okwi

BAADA ya hivi karibuni mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi kudaiwa kugoma kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, sasa...

READ MORE

Samsal Mabingwa Soka La Ufukweni Jjijini Dar

  TIMU ya Samsal yenye makazi yake Mikocheni jijini Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika mashindino ya Soka la ufukweni...

READ MORE

Mazembe Yawafuata Fei Toto, Tshabalala Dar

KIGOGO wa TP Mazembe yupo Jijini Dar es Salaam kufanya mazungumzo ya awali na Simba na Yanga. Si hao tu...

READ MORE

STARS YAPIGWA 2-0 AFCON NA SENEGAL

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kimepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kufungwa mabao...

READ MORE

Kambi ya Yanga Bab Kubwa

WAKATI Yanga wakiwa wanakamilisha zoezi la usajili ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao imebainika kwamba viongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Caf Yamruhusu Kessy Kuivaa Senegal

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limemruhusu beki wa Taifa Stars, Hassan Kessy, kucheza mchezo wa ufunguzi wa michuano...

READ MORE

Global FC Kuwavaa Bongo Fleva

Timu ya Global FC inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Wasanii wa Bongo Fleva, Bongo Fleva Fc. Mchezo...

READ MORE

Balinya Amfunika Kagere Kwa Kufunga

MSIMU ujao wa Ligi Kuu Bara macho na masikio yote yatakuwa kwa washambuliaji, Juma Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili...

READ MORE

Msuva: Tutakufa na Senegal Leo

MSHAMBULIAJI nguli wa Taifa Stars, Simon Msuva amewataka Watanzania wote kutokuwa na wasiwasi na mchezo wa leo wa Afcon dhidi...

READ MORE

Yondani: Kwa beki hii? Tafuteni kwa kupitia

KELVIN Yondani juzi alivyoingia tu Instagram alishangaa kuona posti kibao kwenye kurasa za mashabiki wa Yanga zikionyesha beki Ally Ahmed...

READ MORE

Rostam Awa Mfalme Yanga

ROSTAM Aziz ni kama mfalme kwa sasa Yanga hii ni baada ya mastaa wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe...

READ MORE

Mo azuia jaribio Yanga kumnyakua kiungo Simba

HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda...

READ MORE

Mapinduzi Balama wa Alliance FC Atua Yanga

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC leo Jumamosi Juni 22, 2019 wamekamilisha usajili wa kiungo Mapinduzi Balama kutoka...

READ MORE

Juma Kaseja Asani Miaka KMC Leo

KIPA wa KMC, Juma Kaseja leo Jumamosi Juni 22, 2019 ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu yake ya...

READ MORE