×

Michezo

VIDEO: MWINYI ZAHERA AELEZA KUZUNGUMZA NA KOCHA TP MAZEMBE

Kocha Mkuu wa yanga Mwinyi zahera amesema mwenendo wa ligi haiendi vizuri kutoka na baadhi ya timu kuwa na mechi...

READ MORE

Yanga Wapewa Sh Bilioni Moja Kutoka Marekani, na Uingereza

UNAWEZA kusema rasmi kamati ya uhamasishaji wa kuichangia Yanga, iliyozinduliwa Aprili 6, mwaka huu ndani ya Morena Hoteli mjini Dodoma,...

READ MORE

Ajibu aondolewa Rasmi Yanga…Kisa Kipo Hapa

HABARI za moto zinazosambaa kwa kasi kwenye ulimwengu wa michezo ni kuwa inadaiwa Klabu ya Yanga imeamua kuchukua maamuzi magumu...

READ MORE

CHAMPIONI, SPOTI XTRA, GLOBAL TV NDANI YA VIUNGA VYA EVERTON

TUNAPAA tu! Hivi ndivo unavyoweza kusema baada ya Timu ya Global TV Online, Magazeti la Championi na Spoti Xtra yanayochapishwa...

READ MORE

Kagere: Nawafunga Mazembe, nakuwa mfungaji bora

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amefunguka kuwa atahakikisha anapambana kufa na kupona kwa kuwafunga wapinzani wao, TP Mazembe katika mchezo...

READ MORE

Yanga Inapiga Kimyakimya, Yashinda 3-2 na Kagera Sugar

MOTO ambao wanaenda nao Yanga siyo wa nchi hii kwani jana Alhamisi waliendelea kuwaacha mbali wapinzani wao, Simba kwenye msimamo...

READ MORE

Kikosi cha kwanza Simba vs Mazembe hiki hapa

KUELEKEA mchezo wa marudio wa Simba na TP Mazembe, kikosi cha Simba ni wazi kimejipanga ambapo hadi kufi kia jana...

READ MORE

Kocha Zahera Amtaja Litombo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema usajili wa beki kisiki wa AS Vita ya DR Congo, Yannick Bangala Litombo...

READ MORE

Serengeti Boys fanyeni kweli ni zamu yetu kwenda Brazil

ZIMESALIA siku tatu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 17,...

READ MORE

Mbwana Samatta Amfunika Salah wa Liverpool

STAA wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa kinara wa mabao kwa wachezaji wote...

READ MORE

Mazembe wataka mashabiki wao wawaige Simba

KITENDO cha kishujaa kilichofanywa na shabiki wa Simba kutoka Mbeya mpaka Dar es Salaam kuja kutazama mechi dhidi ya TP...

READ MORE

Kocha Simba asisitiza Bocco atapiga penalti

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameweka bayana kwamba John Bocco ataendelea kuwa chaguo la kwanza kwa wachezaji endapo itatokea...

READ MORE

Zana, Okwi kuwapa Sapraizi Simba

ZANA Coulibaly na Emmanuel Okwi watafanya kazi kubwa kulazimisha sare yoyote ya mabao na kuwaondoa TP Mazembe kwenye mechi ya...

READ MORE

SUAREZ AWAUMBUA, MAN UTD 0-1 BARCELONA, OLD TRAFFORD

NAJUA ulisinzia au pengine hukuangalia kabisa au uliona matokeo tu kwenye livescore. Au kwenye Whatsap kwenye lile kundi la Friends...

READ MORE

Man U Vs Barcelona ni vita ya matajiri

WANAONGOZA La Liga kwa tofauti ya pointi 11, wapo kwenye fainali ya Spanish Cup, vijana wa kocha Ernesto Valverde wanatarajiwa...

READ MORE

Wasomaji Kigamboni: Betika Limekuja Wakati Muafaka – Video

TIMU ya maofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inachapisha gazeti la Betika, imetia maguu maeneo ya Kigamboni...

READ MORE

Zahera ahofia ubingwa kwenda Simba

YANGA kwa sasa wamebakisha mechi nane tu wamalize ligi msimu huu wa 2018/19, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi...

READ MORE

Makambo Awafunika Kagere, Bocco

HERITIER Makambo wa Yanga, anaonekana kuwa vizuri katika kufunga mabao msimu huu na kuwazidi ujanja washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere...

READ MORE

MAN CITY YAPIGWA NA SPURS UGENINI BAO 1-0

TOTTENHAM Hotspur wakiwa kwenye uwanja wao mpya wa London, jana walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Man...

READ MORE

Chama: Tulieni, Mazembe Watakufa Kwao

KIUNGO mpaka rangi wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa...

READ MORE

Yanga Yakusanya Mil 500 Kwa Siku, Wachezaji Walipwa Mishahara

  KAMATI ya Uhamasishaji ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera juzi imefanikiwa kukusanya...

READ MORE

NYIKA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA YANGA, ORODHA HII HAPA

WAAKATI kilabu ya Yanga ikiwa katika harakati kabambe  kuelekea uchaguzi mkuu, jumla ya watu 28 mpaka sasa wamesharudisha fomu za...

READ MORE

Mwigulu agharamia usajili wa straika mmoja Yanga

MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amemuambia Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ampe jina la mchezaji yeyote anayemuhitaji...

READ MORE

Chama: Tulieni, Mazembe watakufa kwao

KIUNGO mpaka rangi wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa...

READ MORE

TP Mazembe Waondoka Dar na Hofu Kubwa

NAHODHA wa TP Mazembe, Rainford Kalaba, amesema kuwa kitendo chao cha kushindwa kupata bao lolote katika mchezo wa juzi Jumamosi...

READ MORE

Aussems: Tutawachapa Mazembe kwao

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa licha ya kutoka sare katika mchezo wao wa juzi wa Ligi ya...

READ MORE

Panga kali Yanga, Kocha Zahera Ataja Sita Wapya

MWINYI Zahera ameweka wazi kwamba anahitaji mastaa wapya sita wa maana Yanga msimu ujao. Lakini habari ya kushtua ni kwamba...

READ MORE

VIDEO: Mwinyi Zahera Alivyowatoa Machozi Mashabiki Yanga

“Katika muda niliofanya kazi hapa, nimesoma na kujifunza vitu vingi sana. Hata kwa hiki ninachoshuhudia leo hakika kimenipa hamasa sana!...

READ MORE

Simba Kuwatoa Kwao TP Mazembe Kama Waangola

KWA kiwango na takwimu za uwanjani walizoonyesha Simba jana dhidi ya TP Mazembe uwezekano upo wa kufuzu nusu fainali.  ...

READ MORE

IVO MAPUNDA AHAMASISHA KUUNDA TIMU BORA FAINALI YA BONANZA

  BALOZI wa Castle Lager Africa 5s nchini Tanzania, Ivo Mapunda amewaomba wamiliki wa Baa kuunda timu bora za kiushindani...

READ MORE

SIMBA YABANWA NYUMBANI NA TP MAZEMBE, YATOKA SARE TAIFA (PICHA +VIDEO)

SIMBA  leo wamelazimisha sare kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali wakiwa nyumbani mbele ya TP Mazembe...

READ MORE

Simba Sc hamna sababu ya kuiacha Mazembe leo

NI siku nyingine ambayo Simba wanakabiliwa na mchezo mgumu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa timu...

READ MORE

Picha: Simba Walivyopasha Kabla ya Mechi

Kikosi cha timu ya  Simba wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP...

READ MORE

PICHA: TP Mazembe Walivyopasha Kabla ya Mechi Taifa

Kikosi cha timu ya  TP Mazembe ya DR Congo wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

PICHA: Simba vs Mazembe…Muonekano wa Ndani Ya Uwanja

Watanzania wamejitokeza kuishangilia Simba  kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Jumamosi saa 10 jioni itaikaribisha TP Mazembe...

READ MORE

Kinachoendelea Uwanja wa Taifa, Simba vs Mazembe (Picha +Video)

LEO Jumamosi saa 10 jioni kwa saa za Tanzania, Simba SC itaikaribisha TP Mazembe ya DR Congo katika mchezo wake...

READ MORE

Kisa uchaguzi, kigogo Yanga njia panda

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, mgombea ambaye alijitokeza katika uchaguzi wa awali, Yono Kevela, amefunguka kuwa bado yupo...

READ MORE

MBWEMBWE la MASHABIKI wa SIMBA Zimeanza – Video

Wakati mazoezi ya kikosi cha Simba yamemalizika mashabiki wa Simba walionekana kuwa na hamu ya kuzungumza kuelekea mchezo huo huku...

READ MORE

Kila la heri Simba, mashabiki onyesheni uzalendo

LEO Jumamosi saa 10 jioni kwa saa za Tanzania, Simba SC itaikaribisha TP Mazembe ya DR Congo katika mchezo wake...

READ MORE