×

Michezo

Yanga SC: Tulieni, tunawapiga Alliance kwao

BEKI kitasa mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo watakapowavaa wapinzani wao Alliance FC, katika mchezo...

READ MORE

ZAHERA: Msitetemeke Waacheni Waende, Timu Itakaa Vizuri – Video

WAKATI Timu ya Yanga ikitarajiwa kutua uwanjani leo Jumamosi, Machi 30, 2019 kukipiga na Alliance FC, mchezo wa hatua ya...

READ MORE

REAL MADRID YAMTENGEA POGBA BILIONI 381

REAL Madrid inataka kuanza mikakati rasmi ya kumsajili staa wa Manchester United, Paul Pogba mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo...

READ MORE

Mourinho: Liverpool Pumzi Imekata

KOCHA Jose Mourinho amesema Liverpool hawana ubavu wa kutwaa ubingwa wa Premier League kwa kuwa kuna vitu wanavikosa.   Kocha...

READ MORE

Mabosi wapya Yanga wana kasi ya ajabu

KAMATI mpya ya kuisimamia timu ya Yanga, imeahidi kutoshuka kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku wakiahidi kurejesha kasi...

READ MORE

Bocco, Kagere waandaliwa kampeni maalum

  KUELEKEA katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kocha wa...

READ MORE

Serikali yatakiwa kuharakisha upelelezi kesi ya Wambura

HAKIMU Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, Kelvin Mhina, amesema upande wa serikali unatakiwa kuiambia mahakama imefikia...

READ MORE

Kisa Wakongo, Simba waivaa TFF

UONGOZI wa Simba umepeleka maombi maalum kwa Bodi ya Ligi inayofanya kazi kwa karibu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

READ MORE

Mwakinyo: Nasumbuliwa na Warembo wa Instagram

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo, amefichua kuwa kwa sasa amekuwa akipata meseji nyingi za kutakiwa kimapenzi kutoka...

READ MORE

Matola: Nawataka Yanga niwanyooshe tena

BAADA ya kikosi cha Lipuli FC kutinga Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 2-0...

READ MORE

Mwakinyo: Kabla ya chai, asubuhi nakunywa majagi mawili ya uji

WIKIENDI iliyopita, bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, Hassan Mwakinyo, aliendelea kupaa kimataifa kufuatia kumtwanga kwa TKO, Sergio Eduardo Gonzalez...

READ MORE

Zahera Awapa Yanga Mil.60, Nyika Ajiuzulu

AMSHAAMSHA ya Kocha Mwinyi Zahera ikichagizwa na Kamati ya Uhamasishaji ya Yanga, imekusanya shilingi 60,089,047. Zahera ndiye aliyeanzisha zoezi hilo...

READ MORE

MAN U YAMPA SOLSKJAER MKATABA WA KUDUMU

HATIMAYE klabu ya  Manchester United imemchukua rasmi Ole Gunnar Solskjaer kuwa kocha na kumpa mkataba wa miaka mitatu baada ya...

READ MORE

Simba Wasingizia Jamhuri Morogoro

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, anakuna kichwa juu ya mbinu gani atumie wakati kikosi hicho kikiwa kinacheza katika Uwanja...

READ MORE

VIDEO: Mwakinyo Atamba Hajaona Wa Kupigana Naye Nchini

  BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo, amesema kuwa hajaona bondia wa kupigana naye hapa nchini na jeuri...

READ MORE

Gomez Arejea Liverpool

BEKI wa Liverpool, Joe Gomez, amerejea mazoezi wakati timu yake ikijiandaa na mchezo mgumu wa Ligi Kuu ya England dhidi...

READ MORE

LOUIS VAN GAAL: SOLSKJAER, MOURINHO WOTE SAWA

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Louis van Gaal, amesema kuwa Manchester United hawakufanya lolote kumtoa kocha Jose Mourinho na...

READ MORE

JESUS APIGA MBILI BRAZIL DHIDI YA JAMHURI YA CZECH

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa yaya Brazil Gabriel Jesus, juzi, aliifungia timu yake mabao mawili ilipopata ushindi wa 3-1 dhidi...

READ MORE

Mbelgiji wa Simba amuota straika Mbenin

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amesema bado anahitaji huduma ya mshambuliaji, Sadney Urikhob raia wa Benin kwa ajili...

READ MORE

Bocco Aweka Rekodi ya Kimataifa

ACHANA na Clatous Chama ambaye alifunga bao lililoipeleka Simba kwenye hatua ya makundi na vilevile akapachika lililoivusha robo fainali.  ...

READ MORE

BREAKING: NYIKA, LUKUMAY WAACHIA NGAZI YANGA

  KAIMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Samuel Lukumay,  na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili,...

READ MORE

JKT Queens Kiboko, Yapania Kubeba Kombe Lao

TIMU ya JKT Queens imedhihirisha kwamba ni moto wa kuotea mbali baada ya kucheza michezo 14 bila kupoteza hata mmoja...

READ MORE

Zahera Aondoka na nyota 20 Kwenda Mwanza

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera jana usiku alitarajiwa kurejea jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwao DR Congo...

READ MORE

TIMU 32 ZA MASHINDANO YA SOKA YA 5s ASIDE KUPATIKANA WIKI HII

Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitaa bia yake ya Castle Lager kwa mara nyingine tena imekuja na mashindano ya “Castle Lager...

READ MORE

Kotei abadili uraia, sasa anaitwa James Magufuli

KATIKA kile ambacho kilionekana kuongeza hamasa kwa Watanzania kuelekea katika mchezo wa timu ya taifa hilo, Taifa Stars dhidi ya...

READ MORE

 Bocco, Kagere Wapewa Maelekezo Maalum Lubumbashi

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa amepanga kukaa na washambuliaji wake akiwemo Mnyarwanda, Meddie Kagere na John...

READ MORE

Wawa: Tupo na Nyoni Mazembe waje tu

BEKI kisiki wa Simba, Paschal Wawa amesisitiza kuwa hawana hofu hata kidogo dhidi ya TP Mazembe ambayo wanacheza nayo kwenye...

READ MORE

JPM Aaanika Madudu Uwanja wa Taifa – Video

RAIS John Magufuli ameitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo  na Wizara ya Mambo ya Nje kupitia vyombo vyake...

READ MORE

Jeshi la kumuua Mazembe laanza kazi

KIKOSI cha Simba kinaanza mazoezi kesho Jumatatu kujiwinda dhidi ya Mbao FC baada ya kupewa mapumziko mafupi na uongozi wa...

READ MORE

Chama ashusha mashine Simba

CLAYTOUS Chama amewaambia viongozi wa Simba kwamba kuna mtu mmoja yuko pale Zesco akitua Msimbazi hali ya hewa itachafuka. Jamaa...

READ MORE

Taifa Stars Yaipiga Uganda, Yatinga Afcon Baada ya Miaka 39 (Picha +Video)

TANZANIA imeandika historia mpya katika soka, baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa mara...

READ MORE

Shangwe la Wachezaji wa Stars Baada ya Ushindi (Picha +Video)

Baada ya Mpira kuisha, kocha Emmanuel Amunike alimwagiwa maji kwa furaha na watu wa benchi la ufundi. Shiza Kichuya alikuwa...

READ MORE

Taifa Stars Yatinga Afcon, Yaifunga Uganda Taifa

NI zamu yetu kufuzu Afcon 2019 baada ya miaka 39 kupita bila timu ya Taifa kufuzu kushiriki michuano ya Afcon...

READ MORE

Zahera Ataja Mwisho wa Nyodo za Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kama Simba akishinda viporo vyake vyote saba ndio anaweza kukata tamaa ya ubingwa...

READ MORE

STARS LAZIMA KIELEWEKE TAIFA LEO

LUGHA rahisi unayoweza kutumia leo kuzungumzia mechi ya Taifa Stars ni kwamba tushinde yetu. Sisi tushinde mechi yetu na Uganda...

READ MORE

Kapombe Yupo fiti, Arejea Rasmi Uwanjani

BAADA ya kuwa nje tangu Novemba mwaka jana, beki wa Simba, Shomary Kapombe sasa yuko fi ti na anatarajiwa kuanza...

READ MORE

Simba, Tuyisenge Mambo Safi

SIPATI picha Simba itakuwaje. Kwa muziki huu wa sasahivi tu Haji Manara anakwambia Uwanja wa Taifa hata ikija Barcelona ile...

READ MORE

Alikufa Vita Taifa, Mazembe Atapigwa Tu

KWA mara nyingine jana usiku Caf iliirudisha tena Simba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya droo ya hatua ya...

READ MORE

Bilionea Kutoka China Atuma Ujumbe Yanga

YULE bilionea anayehakikishaga Yanga haipati shida kabisa inapokuwa jijini Mwanza, Yanga Makaga ametuma ujumbe kwa Yanga akisema atawawezesha ili kuhakikisha...

READ MORE