×

Michezo

CAF: Tanzania ina timu nne sasa, Simba Yazibeba

HATIMAYE juhudi za Simba kwenye michuano ya kimataifa zimezaa matunda ambapo sasa kuanzia msimu wa 2020-21, Tanzania itakuwa inaingiza timu...

READ MORE

Man City Out UEFA, LIVERPOOL VS BARCA NUSU FAINALI UEFA

LIVERPOOL itaivaa Barcelona na nyota wake Lionel Messi kwenye mtanange wa aina yake wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Arsenal, Chelsea lao moja, Kusaka tiketi ya nusu fainali Europa leo

ARSENAL na Chelsea leo zinasaka tiketi ya nusu fainali wakati zitakapotinga kibabe katika viwanja tofauti kwa mechi za marudiano za...

READ MORE

Zahera aishtaki Simba SC Caf

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ni kama ameishtaki Simba kwa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), baada ya kukutana nao...

READ MORE

YANGA YAPIGWA NA MTIBWA SUGAR BAO 1-0

KIKOSI cha Yanga leo kimebanwa mbavu na Mtibwa Sugar kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa Uwanja...

READ MORE

SIMBA NOMAA YAPINDUA MEZA KIBABE MBELE YA COASTAL UNION

SIMBA iliyo chini ya Kocha Mkuu Patrick Aussems, leo kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara wamepindua meza kibabe...

READ MORE

Tujitokeze kwa wingi kuiunga mkono Serengeti

TIMU yetu ya vijana Serengeti Boys leo inaingia uwanjani kuvaana na Uganda kwenye mchezo muhimu sana wa Kombe la Mataifa...

READ MORE

Serengeti Boys ni kufa na kupona Taifa

KOCHA Mkuu wa Serengeti Boys, Oscar Mirambo amesema kuwa michezo yao miwili iliyobaki dhidi ya Uganda na Angola ni ya...

READ MORE

Serengeti Boys Yazitibulia Yanga na Simba

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepangua ratiba ya mechi za leo Jumatano za Ligi Kuu Bara ambapo Simba itacheza...

READ MORE

FERGUSON AWAPA UBINGWA LIVER

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson, amesema kuwa Liverpool watatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. Ferguson...

READ MORE

Niyonzima auweka kando mkataba mpya Simba SC

WAKATI uongozi wa Simba ukiwa kwenye harakati za kumuongezea mkataba kiungo wake mchezeshaji, Haruna Niyonzima, habari zinasema kuwa ishu hiyo...

READ MORE

Messi Aitupa Nje Man U, Ronaldo Out Uefa

BAADA ya kushindwa kufunga bao kwenye Dimba la Old Traff ord wiki moja iliyopita, jana Lionel Messi alifunga mabao mawili...

READ MORE

Tbl Yawapa Shavu Wanasoka Wanawake Tanzania

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager,leo imetangaza fainali za mashindano ya soka ya Wanawake ya...

READ MORE

Okwi Aweka Rekodi ya Dakika 270 Simba

  SIMBA ilicheza kwa dakika 270 katika Ligi ya Mabingwa ugenini hatua ya makundi bila ya kufunga bao lolote kabla...

READ MORE

Simba SC Yaifanyia Umafia Yanga SC

    SIMBA imeingia kwenye anga za Yanga, baada ya kocha Patrick Aussems kumfukuzia beki anayewaniwa na vinara hao wa...

READ MORE

Aussems Atoboa Siri Nzito ya TP Mazembe – Video

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ametoboa siri ya ushindi wa TP Mazembe juzi kuwa ni uzoefu walionao katika michuano...

READ MORE

Yanga Yawapeleka Mwakalebela, Msolla TFF

JUMLA ya wagombea 26 wa Yanga wanafanyiwa usaili utakaofanyika leo Jumapili katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa...

READ MORE

Kagere: Makambo ametangulia tu

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere amemchimba mkwara mpinzani wake katika mbio za kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara,...

READ MORE

YANGA JEURI KUANZA NA MCHEZAJI WA SIMBA

KAMATI ya hamasa na uchangiaji ya Yanga, imemuita Mwinyi Zahera na kumwambia awape mchanganuo wa kila kitu anachohitaji. Ikabidi avute...

READ MORE

JKT Queens: Tumebakiza mechi 3 tupewe kombe

KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Ally Ally amesema kuwa amebakiza mechi tatu kushinda ili atangazwe kuwa bingwa wa ligi ya...

READ MORE

SERENGETI BOYS U17 YACHAPWA 5-4 NA NIGERIA TAIFA

  WENYEJI, Tanzania wameanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17...

READ MORE

Waziri Mkuu Atangaza Watanzania Kuingia Bure AFCON U17

  WATANZANIA wamejikuta wameangukiwa na neema katika Fainali za Vijana (AFCON) chini ya miaka miaka 17, baada ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Ajibu arejea Yanga, aahidi ushindi

LICHA ya kwamba Wanayanga wengi wameanza kuwa na wasiwasi nae, lakini Ibrahim Ajibu amerejea kikosini na mechi ijayo na Mtibwa...

READ MORE

LIVERPOOL MAJARIBUNI LEO TENA, KUKIPIGA NA CHELSEA

LIVERPOOL wapo kwenye mtihani mkubwa leo wakati watakapovaana na Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Huu ni mchezo ambao...

READ MORE

BOCCO: Hayakua Malengo Yetu, Tunarudi Kupamba Kwenye Ligi -Video

NAHODHA wa Timu ya Simba John Bocco amesema kuwa hayakua malengo yao kutovuka hatua ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

VIDEO: KOCHA SIMBA “ILIKUWA Mechi Ngumu, Hakuna Aliyetegemea”

 KOCHA Mkuu wa Simba amesema kuwa walichizidiwa katika mchezo dhidi ya TP Mazembe ni uzoefu wa Mazembe ndio uliosababisha...

READ MORE

TFF Yamzuia Kakolanya Kutua Simba

  WAKATI wapenzi na mashabiki wa soka hapa nchini wakitaka kujua hatima ya aliyekuwa kipa wa Yanga, Beno Kakolanya ya...

READ MORE

VIDEO: SIMBA Walivyotua AIRPORT KINYONGE USIKU Baada ya Kufungwa

 KIKOSI cha Simba kimewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kutoka Lubumbashi ilikocheza...

READ MORE

Harry Kane Ndiyo Basi Tena

STRAIKA wa Tottenham, Harry Kane yupo kwenye nafasi mbaya ya kurejea uwanjani msimu huu kutokana na tatizo la kifundo cha...

READ MORE

MADRID: TUPENI POGBA TUWAPE BALE

  REAL Madrid imeamua kuchukua maamuzi ya kumuingiza sokoni winga wake, Gareth Bale mwishoni mwa msimu huu na atakuwa anapatikana...

READ MORE

Yondani amvurugia Zahera

KITENDO cha beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani juzi Alhamisi kutolewa uwanjani kwa kadi nyekundu, kimemvuruga kocha wa timu hiyo,...

READ MORE

Kamusoko, Tambwe wapewa masharti kubaki Yanga…

  UONGOZI wa Yanga upo katika mikakati ya kuhakikisha inapitia mishahara ya wachezaji wake ili iweze kujiendesha vizuri katika msimu...

READ MORE

FT: MAZEMBE 4-1 SIMBA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

FT TP Mazembe 4-1 Simba Goooool Okwi dk ya 2 Simba Gooool Mazembe  chongo dk ya 23 Mazembe Goooool Elia...

READ MORE

MZUKA WA SIMBA MAZEMBE WAMEPAGAWA!

TP Mazembe wamepagawa, zimwi la kutolewa na Simba linawaumiza kichwa kuelekea mchezo wa leo jioni. Ingawa wameonekana kulazimisha tabasamu, lakini...

READ MORE

Figisu Mazembe kuanzia airport, Simba wazipangua

Kikosi cha timu ya Simba. KIKOSI cha Simba kilitarajiwa kuondoka leo alfajiri kwenda Lubumbashi nchini DR Congo kwa ajili ya...

READ MORE

Kocha Yanga awalilia wake za wachezaji

KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa anawahurumia wake wa wachezaji wa kikosi hicho, kutokana na kukosa muda wa kukaa...

READ MORE

Simba SC Shusheni Presha Kidogo

MCHEZAJI wa zamani wa Simba, Seleman Matola ambaye kwa sasa ni kocha wa Lipuli amesema kuwa Simba wakitulia wataishangaza dunia...

READ MORE

Makambo: Nitafunga Mpaka Tuwe Mabingwa

MSHAMBULIAJI hatari wa Yanga, Heritier Makambo raia wa DR Congo, amesema kutokana na nafasi anayoicheza, atahakikisha ataendelea kucheza kufanya hivyo...

READ MORE

Mganda wa Mazembe aionya Simba

BEKI Mganda, Joseph Ochaya, anayekipiga TP Mazembe, amewaonya Simba kuwa, wajipange kupokea kipigo kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa leo Jumamosi...

READ MORE

Taifa Stars vs Senegal, Algeria Afcon, Makundi Yapo Hapa

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa Kundi C Kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2019) inayotarajiwa...

READ MORE