×

Michezo

JKT QUEENS: HATUPOTEZI HATA MECHI MOJA

UONGOZI wa JKT Queens, umesema kuwa hawatapoteza hata mechi moja mpaka mwisho wa msimu kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania inayodhaminiwa...

READ MORE

ZAHERA ATAJA KINACHOMFELISHA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa moja ya vitu ambavyo vinamfelisha kwenye  baadhi ya mechi na kushindwa kupata...

READ MORE

YANGA KUKIPIGA NA TANZANIA PRISONS BILA GADIEL LEO

YANGA leo Alhamisi wanapambana na Tanzania Prisons ambapo beki wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael anaweza asiwepo kwenye mechi hiyo...

READ MORE

Ajibu, Mbappe waitwa Taifa Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amemuita mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu pamoja na staa wa Serengeti Boys, Kelvin...

READ MORE

Barcelona 3-0 Liverpool, MESSI, SUAREZ Watupia (Picha +Video)

MABAO mawili ya Lionel Messi yaliisaidia Barcelona kusafi sha njia ya kutinga fainali baada ya kuicharaza Liverpool mabao 3-0 kwenye...

READ MORE

Chotta: Wawekezaji watatu wanaitaka Yanga

MGOMBEA wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Yanga, Magege Chotta ameweka wazi kuwa iwapo atapata nafasi ya kuchaguliwa ndani ya klabu...

READ MORE

Straika Mkenya mambo safi Yanga

DIRISHA la usajili likifunguliwa, Yanga huenda ikafanya kazi moja tu kutangaza orodha ya kikosi chake na watakapopiga kambi.   Kama...

READ MORE

Igangula: Miezi mitatu tu, Yanga Ina Uwanja Wake

MGOMBEA wa nafasi ya mwenyekiti ndani ya Klabu ya Yanga, Mbaraka Igangula, amesema ndani ya mwezi mmoja, atahakikisha Yanga inafanya...

READ MORE

Aliyeitungua Simba akaribia kutua Yanga SC

UNAMKUMBUKA yule winga matata aliyemchambua beki wa Simba, Zana Coulibaly na kutupia? anaitwa Hassan Kabunda wa KMC, unaambiwa anakaribia kutua...

READ MORE

Ajibu: Hii ngoma bado mbichi

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amesema kuwa ngoma ya ubingwa bado mbichi, hivyo kasi yake lazima iendelee mpaka wapate kile...

READ MORE

WASOMAJI SASA WAANZA KULIGOMBEA ‘BETIKA’

  GAZETI la Betika ambalo ni maalum kwa ajili ya wapenzi wa burudani na wazee wa kubeti, leo Jumatano lilizidi...

READ MORE

Zahera aeleza sababu za kumtema Haji Mwinyi

KABLA ya kucheza na Azam FC, juzi Jumatatu, beki Haji Mwinyi alikuwa na uhakika mkubwa wa kuwepo katika mechi hiyo...

READ MORE

Lukaku: Sijui Kama Nitakuwa Hapa Msimu Ujao

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Romelu Lukaku ameonyesha wasiwasi wake wa kubaki kwenye timu hiyo baada ya kusema hana uhakika wa...

READ MORE

SIMBA SC YAITUNGUA JKT TANZANIA DAKIKA YA 90+7

Timu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi baada ya kupata bao zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika kupitia kwa Hassan...

READ MORE

Simba Yapewa Sevilla ya Hispania, Yanga Yapigwa Chini – Video

SHIRIKISHO  la Soka nchini (TFF) na Kampuni ya Sport Pesa wamethibitisha kuwa mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC watacheza na mabingwa...

READ MORE

ZAHERA Afunguka Alivyoiua AZAM – Video

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka namna alivyokuwa amejipanga kupata matokeo na kuiangamiza timu ya Azam kwa bao 1-0,...

READ MORE

Mo Awapa Bocco, Okwi Mil 240.

SIMBA Wamebakiza pointi tano tu wawang’oe wapinzani wao Yanga katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Sasa ili kukoleza vita ya...

READ MORE

Yanga Yaitungua Azam Bao 1-0

Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar. Bao pekee la...

READ MORE

Aussems: Tunarudi Dar, Kazi Bado

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa wanarudi jijini Dar kujipanga zaidi baada ya kukusanya pointi tisa kwenye mechi...

READ MORE

TAKUKURU WAMUITA MWINYI ZAHERA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera...

READ MORE

Msuva Aweka Rekodi Morocco

MSHAMBULIAJI wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ameweka rekodi mpya ya mabao katika klabu yake baada ya kufunga...

READ MORE

Yanga na Chirwa watauana

TANGU mwaka jana Azam na Yanga wamekutana mara tatu kwenye mashindano mbalimbali lakini takwimu zinaibeba Azam.   Timu hizo zinapamba...

READ MORE

FEITOTO, MKUDE watengewa Mil 500

MASTAA wa Taifa Stars akiwemo Fei Toto wa Yanga na Jonas Mkude wa Simba mwaka huu wataota ndoto za ajabu....

READ MORE

Ole agoma kumpiga benchi De Gea

KOCHA Ole Gunnar Solskjaer ameeleza kuwa hayupo tayari kumuweka benchi kipa wake, David de Gea licha ya kuwa amekuwa akifanya...

READ MORE

ARSENAL YAPIGWA 3-0 NA LEICESTER CITY

LEICESTER City leo wameichapa Arsenal mabao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa uwanja wa King Power na kuwapunguzia...

READ MORE

Man Utd haijafunga bao saa 8 dk 47

MANCHESTER United ipo katika wakati mgumu kwelikweli, habari ni kuwa timu hiyo haijafunga bao la kawaida kwa muda wa saa...

READ MORE

Zahera apigwa stop Yanga

ILE mipango ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ya kuanza usajili mapema, sasa imesimama mpaka hapo baadaye.   Hivi...

READ MORE

EXCLUSIVE: SAMATTA Azuiwa Kuoa BABA Yake Afunguka KISA!-VIDEO

 HUU ni mwendelezo wa simulizi ya baba mzazi wa mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ajulikanaye kwa...

READ MORE

Cannavaro hajaonana na Mo Dewji

MENEJA na nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amerejea kwenye kikosi chake hicho na kuendelea na majukumu kama...

READ MORE

TARATIBU ZAHERA USIKUBALI KUWA SPIKA YA WENYE CHUKI

KUNA mawazo mabaya sana ambayo wamekuwa nayo wanadamu wengi, kuamini hivi ukiogopwa basi wewe ni mkubwa sana. Hauhi- taji kuogopwa...

READ MORE

Man U sasa hakukaliki, Bosi mkubwa amuweka kiti moto Ole

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward amelazimika kufika kwenye mazoezi ya timu hiyo na kufanya mazungumzo na...

READ MORE

Taifa Stars iandaliwe kucheza usiku Misri

PRESHA ya Wachezaji wa Tanzania ni kucheza usiku. Wengi hawajazoea kucheza mida hiyo kutokana na ukweli kwamba tangu wanapokuwa wadogo...

READ MORE

Kocha msomi arejeshwa Simba

WAKATI wowote Kocha msaidizi wa Simba, Denis Kitambi atarejea kwenye benchi la ufundi la Simba na atakuwepo katika mchezo dhidi...

READ MORE

TFF yapewa rungu nani akipige na Sevilla Dar

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), ndilo litakaloamua nani akipige na moja ya timu vigogo kutoka nchini Hispania. Sevilla moja ya...

READ MORE

Matola: Simba bingwa Ligi Kuu Bara

KOCHA Mkuu wa Lipuli, Selemani Matola, amefunguka kuwa mpaka sasa ligi ilipofi kia, Simba ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa...

READ MORE

Kisa ubaguzi wa rangi, Sterling apewa tuzo

MSHAMBULIAJI Raheem Sterling ametunukiwa tuzo maalum ya kuongoza kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi ambayo amekuwa akiifanya katika wiki za...

READ MORE

Yanga Yatambulisha mfumo wa Ulaya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanzisha mfumo mpya ndani ya kikosi hicho kwa kutaka wachezaji wake wakutane siku moja...

READ MORE

Waamuzi ligi kuu walia njaa, TFF, Bodi ya Ligi watofautiana

WAKATI michuano ya Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni huku ushindani ukiongezeka kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo, mambo huenda yakaenda...

READ MORE

SIMBA YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-0, BOCCO ATUPIA

TIMU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo  wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE