×

Michezo

CRISTIANO RONALDO APIGWA FAINI YA SH. BILIONI 49

  MSHAMBULIAJI  wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, amekubali kulipa faini ya Euro milioni 18.8 sawa na shilingi bilioni 49.3...

READ MORE

Kagere: Sasa hasira tutawamalizia Al Ahly

STRAIKA wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere amefunguka kwamba kipigo walichopokea kutoka kwa AS Vita kinabaki kama historia na sasa wanageukia...

READ MORE

Mo aiondoa Simba Bongo

BILIONEA na mwanachama wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama ameiondoa klabu hiyo katika fikra za kushindana Bongo pekee, baada...

READ MORE

Kisa Simba, Kocha wa Thomas Ulimwengu Atimuliwa

KUMEKUCHA Afrika! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuzua balaa nchini Algeria katika Klabu ya JS Saoura. Simba iliichapa...

READ MORE

Baada ya kipigo, Yanga wapewa mihela

WACHEZAJI wa Yanga, wamepewa mamilioni ya fedha licha ya kuchezea kichapo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi Stand United...

READ MORE

Pacha wa Kagere anakuja Simba SC

SIMBA kwa sasa inafanya mchakato wa kuhakikisha inamsajili pacha wa mshambuliaji tegemeo kikosini humo, Meddie Kagere, Jacques Tuyisenge. Tusiyenge na...

READ MORE

CHAMPIONI LINAVYOMWAGA FEDHA KWA WASOMAJI WAKE!

GAZETI la Championi limeanza kurejesha kidogo linachokipata kwa wasomaji wake, hivyo zawadi kemkemu zitamwagwa. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine...

READ MORE

Zahera Ataja Kilichoimaliza Simba kwa AS Vita

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mcongoman, Mwinyi Zahera, ametaja sababu ya watani wake Simba kupoteza mchezo wake wa makundi wa Ligi...

READ MORE

Yanga Yapigwa Bao 8-1

KIKOSI cha Yanga Princess leo kimepoteza kwa kuchapwa mabao 8-1 dhidi ya JKT Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake...

READ MORE

Yanga Wawaka.. Tunamtaka Kakolanya

WANACHAMA waandamizi wa Yanga pamoja na baadhi ya viongozi wamesisitiza kwamba kuna haja ya kipa namba moja wa timu hiyo,...

READ MORE

KOULIBALY JEMBE LENYE SIFA ZA KUIBEBA MAN UNITED

MSIMU uliopita kabla ya Liverpool kumsajili beki wa kati, Virgil van Dijk, Liver­pool ilikuwa inatisha kwa kuwa na safu kali...

READ MORE

NMB Yatoa Mfungaji Bora Mashindano Ya Kikapu

NYOTA wa kikapu wa kikosi cha Benki ya NMB, Kaikai Leka, ameibuka Mfungaji Bora (BestScorer) wa Ligi ya Kikapu kwa...

READ MORE

Kilichoiua Simba Congo ni Hiki

WAWAKILISHI pekee wa Afrika Mashariki kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana usiku mbele ya AS Vita...

READ MORE

SERENGETI LITE WAMEIBUA MENGI SOKA LA WANAWAKE

KINACHOONEKANA kwenye Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu maarufu kama ‘Serengeti Lite Womens Premier League’ kinafurahisha. Kuna mam­bo mengi ambayo...

READ MORE

Zahera Amchangia Mgonjwa Laki 6

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameguswa baada ya kumuona mtoto mmoja aitwaye Mudathiri Salum katika runinga akiomba msaada wa...

READ MORE

JKT Queens Yakomaa na Yanga

  MABINGWA wa­tetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, maarufu kama Serengeti Lite Wamen’s Premier League wamepania kuwanyoosha Yanga Princess katika...

READ MORE

Bilionea Asuka Mchongo wa Ushindi Yanga

AISEE Yanga kweli inapendwa, kwani wachezaji wamehakikishiwa kulamba mkwanja mrefu na kupewa malazi ya kiwango cha juu kama wataifunga Stand...

READ MORE

Simba: Tumefuata Ushindi Congo

SIMBA imesema inafahamu ugumu wa mechi ya leo dhidi ya AS Vita ya nchini hapa lakini wao wameweka wazi mapema...

READ MORE

Mrisho Ngasa afiwa na baba yake

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa amepata pigo la kuondokewa na baba yake mdogo ambaye amefariki leo Jumamosi huku chanzo...

READ MORE

Zahera Wachimba Mkwara Stand United

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ametamba kuwa amekipeleka kikosi chake Shinyanga kwenda kuchukua pointi tatu tu na si...

READ MORE

Hongera Serengeti Lite, Wengine Jitokezeni

LIGI Kuu ya Wanawake Bara ‘Serengeti Lite Premier League’ imeonekana kukubalika haraka kufuatia wadhamini ambao ni Serengeti Lite kujitokeza kusapoti...

READ MORE

Kisa mashabiki AS Vita, Wachezaji Simba Waonywa

WACHEZAJI wa Simba wametakiwa kuelekeza nguvu zao nyingi katika mchezo wa leo na kuachana na kuwasikiliza mashabiki wa AS Vita...

READ MORE

Kisa Yanga, Simba, Azam waishangaa TFF

UONGOZI wa Azam FC umeishangaa Bodi ya Ligi kwa kitendo cha timu yao kuanza kucheza mechi za mzunguko wa pili...

READ MORE

Ratiba Ya LIGI kuu ya wanawake Tanzania Bara

LIGI kuu ya wanawake Tanzania Bara, maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League inatarajiwa kuedelea leo katika viwanja vitatu tofauti....

READ MORE

JKT Queens Yaweka Rekodi ya Kipekee Ligi ya Wanawake

TIMU ya JKT Queens imeweka rekodi ya kipekee katika Ligi ya Wanawake maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League baada...

READ MORE

JS Saoura Yaikomalia Al Ahly, watoka sare ya 1-1

  TIMU ya  JS Saoura ya Algeria na Al Ahly ya Misri ziizolicheza mechi zao za pili nchini Algeria jana,...

READ MORE

Tshishimbi Azua Lingine Yanga SC

BAADA ya kimya kirefu hatimaye kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi amerejea klabuni huku chanzo cha kuchelewa kikiwekwa wazi. Tshishimbi...

READ MORE

Zahera Ataja Nondo 3 Simba iimalize As Vita

KOCHA Msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo na Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameipa Simba mbinu ya ushindi...

READ MORE

Fei Toto, Ajibu Wapewa Dili la Misri

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefichua kuwa amewaambia wachezaji wake, kiungo Feisal Salim ‘Fei Toto’ na mshambuliaji Ibrahim Ajibu...

READ MORE

Chama: Tupo Tayari Kwa Vita na AS Vita

KIUNGO wa Simba, Claytous Chama, ameizungumzia AS Vita Club kuwa ni timu ngumu, lakini watapambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo...

READ MORE

Baba wa Kindoki Afariki, Akacha Msiba, Kucheza leo

MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa kipa wa Yanga, Mkongomani, Klaus Kindoki amefariki dunia huko nyumbani kwao DR Congo...

READ MORE

Uchaguzi Waiponza Simba Congo

UNAWEZA kusema mambo ni magumu kidogo kwa kuwa wakati fulani Kocha Patrick Aussems alilazimika kufanya kazi zake kwenye ubalozi wa...

READ MORE

Viporo Vimeimaliza ligi kuu, Haina Mvuto Tena

UKISEMA Ligi Kuu Bara ya nini tena utakuwa sahihi kabisa. Maana inakwenda kupoteza mvuto na lazima tujiulize, tatizo liko wapi?...

READ MORE

Wachezaji Simba Waandaa Sapraizi leo

WACHEZAJI wa Simba, wamesisitiza kwamba wataifanyia sapraizi ya aina yake AS Vita kwa kuipiga kwenye uwanja wake na hawataamini kitakachotokea....

READ MORE

Mechi Nne za Ubingwa Yanga

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia Simba kwamba kama kikosi chake kikiendelea na moto kama wa juzi Jumanne dhidi ya...

READ MORE

Domayo Amshusha Presha Pluijm

KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Franky Domayo amemrejeshea matumaini kocha wake Mholanzi, Hans van Pluijm baada ya kupona na kuanza...

READ MORE

Yanga ya Zahera inavunja Rekodi Tu

YANGA imefanikiwa kuvunja rekodi yake ya msimu uliopita ya kumaliza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 52 lakini msimu huu...

READ MORE

Wawa: Tulieni, AS Vita Watakufa Kwao

BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kusema kuwa...

READ MORE

Simba Izuie Mechi za ligi kama Inataka Usalama

SIMBA, kesho Jumamosi itakuwa tena uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu nchini DR Congo itakapokuwa ikivaana na AS Vita Club. Kumbuka...

READ MORE

Bayern Yarukia Dili la Rabiot

BAYERN Munich inatajwa kumwania kiungo wa Paris St. Germain, Adrien Rabiot. Barcelona kwa muda mrefu sasa imekuwa inatajwa kuwa na...

READ MORE