WINGA Denis Suarez aliiaga vizuri Barcelona baada ya kucheza vizuri kwenye mechi ya Copa del Rey, Alhamisi iliyopita. Suarez anatazamiwa...
READ MOREKAMA Azam walijua kwamba Simba itachezesha kikosi B kwenye fainali za Mapinduzi wamechemka. Simba inashusha mziki wote leo mjini Pemba....
READ MORENI kivumbi cha Simba Queens na Yanga Princess leo Jumapili kwenye Ligi Kuu ya Wanawake. Makocha wa timu hizo wametambiana...
READ MORESIMBA jana Jumamosi waliwaonyesha Waarabu JS Saoura kuwa wao sio wa mchezomchezo baada ya kuwazamisha kwa mabao 3-0. Simba ambao...
READ MOREWachezaji wa Timu ya Simba kabla ya mchezo wa jana Jumamosi dhidi ya JS Saoura kwenye Uwanja wa Taifa Jijini...
READ MORETIMU ya Simba wamefanikiwa kuwapa furaha mashabiki wao na Watanzania kwa Ujumla baada ya kuibuka na ushindi wa bao...
READ MORETimu ya Simba walivyotua kibabe katika Uwanja wa Taifa kucheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya...
READ MOREKLABU ya Singida United imemwajiri Kocha Mserbia Dragan Popadic kuchukua Mikoba ya Kocha Moroco mwenye majukumu ya kitaifa ya maandalizi...
READ MOREKWA jinsi Simba walivyopania na muziki watakaoshusha kwenye Uwanja wa Taifa jioni ya leo Mwarabu lazima alale na viatu. Ni...
READ MOREJEUNESSE Sportive de la Saoura, wengi wanaifahamu kwa jina la JS Saoura au JSS kwa kifupi, hii ndiyo timu ambayo...
READ MOREWAARABU ni watu wajanja sana hasa katika suala la soka. Hii inatokana na wao kuwa wamepiga hatua sana. Unapozungumzia mafanikio...
READ MOREKOCHA Mkuu wa JS Saoura, Nabil Neghiz ambao ni wapinzani wa Simba, amefunguka kwa kusema anaelewa wapinzani wao walivyopania kupata...
READ MOREWAKATI Simba Queens na Yanga Princess wakitarajia kuvaana kesho Jumapili, makocha wa timu hizo wametambiana kila mmoja kuondoka na...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Azam FC, Mholanzi Hans Pluijm amewataka nyota wa Simba ambao leo wataanza kwenye mchezo dhidi ya JS...
READ MOREKESHO Jumapili katika Uwanja wa Gombani Pemba, Simba itacheza na Azam FC fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya jana...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amewapa mchongo Simba kuelekea mechi yao ya leo dhidi ya JS Saoura...
READ MOREAL AHLY ya Misri inakuja Dar es Salaam wikichache zijazo na mchezaji wa ajabu. Kwa lugha za mtaani unaeza kusema...
READ MOREBAADA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kumvua kitambaa cha unahodha, Kelvin Yondani na kumpa kitambaa Ibrahim Ajibu, Juma...
READ MOREKamati ya Uchaguzi ya TFF imesitisha uchaguzi wa Yanga uliokuwa ufanyike Jumapili ya tarehe 13, 2019, hadi itakapopokea oda ya...
READ MOREMWANACHAMA wa Klabu ya Yanga na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amemvaa Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji...
READ MOREPOLISI mjini Las Vegas, Marekani, wametoa waranti ya kuchunguzwa kwa chembechembe za vinasaba au DNA ya Cristiano Ronaldo kama...
READ MOREKOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera ameendeleza kasi yake ya kukinoa kikosi chake katika Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini...
READ MORELIGI Kuu ya Wanawake inaendelea Jumapili Januari 13, 2019 kwa michezo mitatu ambapo Yanga Princes itavaana na Simba Queens Uwanja...
READ MOREWANACHAMA wa Tawi la Yanga – Pluijm Ilala, wameonyesha hali ya kugomea uchaguzi wa klabu hiyo ambao wagombea wake wapo...
READ MOREWAKATI Simba wakipambana na Waarabu JS Saoura, kesho Jumamosi tayari kocha mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji...
READ MORESTRAIKA wa Azam FC, Donald Ngoma, amesema kwamba kocha wake, Hans van Der Pluijm, ni mtu ambaye anamuelewa vizuri jinsi...
READ MORESHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeiweka hadharani ratiba ya Raundi ya Nne ya Kombe la FA ambapo mechi zake zitachezwa...
READ MOREKATIKA kitu ambacho Simba watafurahia wikiendi hii kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi dhidi ya JS Saoura ni shangwe nzito...
READ MORE JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club...
READ MOREBAADA ya kupata majeraha ambayo yatamfanya aukose mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kiraka wa Simba, Erasto Nyoni...
READ MOREKIUNGO mahiri wa Chelsea , Cesc Fabregas anatazamiwa kulihama soka la England na bila shaka huenda ndio ikawa ndio kimoja,...
READ MOREMICHUANO ya Mapinduzi inaelekea ukingoni wikiendi hii. Ni mashindano ya muda mfupi ambayo katika miaka ya nyuma ilikuwa na mvuto...
READ MOREMshambuliaji wa Misri na klabu ya Liverpool ya England, Mohamed Salah, ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka...
READ MOREKocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi ukweli kuwa alikuwa akitakiwa na timu moja kubwa nchini Zambia ambayo aliiongoza kwa...
READ MORESTRAIKA wa Juventus, Cristiano Ronaldo amefi chua kuwa atamalizia soka lake nchini Ureno baada ya kumalizana na klabu yake ya...
READ MOREKATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amemgeukia aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Kelvin Yondani kwa...
READ MORENYOTA wa Yanga raia wa DR Congo, Heritier Makambo na Papy Kabamba Tshishimbi, Januari 14 watatua jijini Dar es...
READ MORELIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inaendelea kushika kasi huku ushindani mkali ukijitokeza mapema tu. Timu shiriki kwenye ligi hiyo...
READ MOREALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, hatimaye leo amezindua rasmi kampeni zake za kuwania nafasi ya mwenyekiti katika...
READ MORESIMBA wameonyesha kuwa wao ni wabishi kwenye soka kwa sasa baada ya jana kufanikiwa kuwachapa Mlandege bao 1-0 kwenye mchezo...
READ MORE