×

Michezo

Aussems Ataja Siku Atakayoanza Kumtumia Mburkinafaso

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa, beki mpya wa kikosi hicho, Zana Coulibaly, ataanza kutumika mzunguko wa...

READ MORE

Mbelgiji Ajifungia Kuwasoma Nkana

WAKATI Simba ikitarajiwa kupambana na Nkana FC ya Zambia, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, jana mchana alitumia muda wake...

READ MORE

Mashine mpya Yanga kuanza kazi dhidi ya Ruvu Shooting

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba yule kiungo wao mshambuliaji wa kimataifa aliyetua hapa nchini hivi karibuni akitokea...

READ MORE

Kessy Amtumia Salamu Okwi, Kichuya

BEKI Mtanzania anayeichezea Nkana FC ya Zambia, Hassan Kessy, amesema hana hofu kabisa mara watakapokutana na Simba kutokana na kuzijua...

READ MORE

Jembe Jipya Simba SC Linasubiri ITC Likiwashe

BEKI mpya wa Simba, Zana Coulibaly amefunguka kuwa hana wasiwasi wowote wa kuanza kuitumikia timu hiyo kwa kuwa bado anasubiria...

READ MORE

Yondani Akubali Yaishe, Aanza na Biashara

BEKI mkongwe na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali yaishe na kukubali kujiunga haraka na timu hiyo mara baada ya...

READ MORE

Zahera, Makambo Wakimbiza Tuzo Ligi Kuu

Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo na kocha, Mwinyi Zahera imeibuka kinara kwenye tuzo za...

READ MORE

Yanga Waheshimu Mikataba Ya Wachezaji

YANGA ipo kwenye mzozo wa chini kwa chini na mchezaji wake, Beno Kakolanya ambaye amesusia mpaka kucheza. Siyo Kakolanya tu...

READ MORE

Mwinyi Zahera Afanya Mambo 10 Yanga, Yapo Hapa

KUNA mambo 10 ambayo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amefanya mpaka mashabiki wanashangaa. Hebu angalia mambo ambayo Kocha huyo mwenye...

READ MORE

Zahera Ampa Saa 24 Winga Mkongo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema binafsi hana hofu na kiwango cha winga Mkongomani mwenzake, Reuben Bomba lakini atatoa...

READ MORE

Mburkinafaso Kuanza na Staili yake Simba

BEKI mpya wa Simba raia wa Burkinafaso, Zana Coulibaly amesema kuwa ana deni kubwa la kulilipa katika timu hiyo baada...

READ MORE

TAMBWE ATAJA SIRI YA MABAO YAKE YANGA

AMISSI Tambwe amesema aliifunga Prisons kwa hasira sababu ya Simba. Mrundi huyo, alifikisha mabao manne aliyoyafunga tangu kuanza kwa msimu...

READ MORE

Yanga Yashusha Winga Matata Sana

YANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa winga wa Singida United, Tibar John katika kukiimarisha kikosi chao...

READ MORE

Wanachama wa Yanga Wajifunze Kutii Mamlaka za Soka

MAMLAKA zinazosimamia michezo Tanzania zimesisitiza kwamba sasa imetosha Yanga ifanye uchaguzi kujaza nafasi zilizoachwa wazi. Tayari uchaguzi umetangazwa kufanyika Januari...

READ MORE

Kakolanya Mguu Mmoja Simba

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba, kuna uwezekano kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya akatua Simba...

READ MORE

Wazungu wamfuata Chama Simba SC

SIKU za kiungo mchezeshaji fundi wa Simba, Mzambia, Claytous Chama za kubaki kuendelea kuichezea timu hiyo zinahesabika baada ya kupata...

READ MORE

Mo amwaga mamilioni Simba SC

BILIONEA na mwekezaji mkuu wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameendelea kufanya kufuru ya fedha kwenye timu hiyo baada ya kutoa...

READ MORE

Ajibu Ajipatia Kazi Ngumu Ligi Kuu

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema bado ana kazi kubwa Jangwani. Ajibu ambaye ana mabao matano kwenye ligi, ametengeneza...

READ MORE

Zahera hatari, ampoteza Aussems Bongo

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kucheza mechi tatu nje ya Dar, timu hiyo imefanikiwa kuweka rekodi ya...

READ MORE

MOURINHO AITOA MAN UNITED TOP 4

  KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema hafi kirii kama timu yake inaweza kumaliza kwenye nne bora msimu huu....

READ MORE

‘MAHAKAMA’ Yamfungia Maisha Mwamuzi MECHI YANGA VS TZ PRISONS -Video

 KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera aliangua kilio baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Prisons, jambo...

READ MORE

Beki Mpya Simba Akabidhiwa Dozi Nene

BEKI mpya wa Simba, Zana Coulibaly, amefunguka kuwa ameshindwa kusafiri na timu hiyo kwa kuwa hayupo kwenye michuano hiyo, lakini...

READ MORE

MANARA Amwaga POVU, Amfananisha CHAMA NA INIESTA – Video

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Clatous Chama, ameendelea kudhihirisha moto kwa kuweza kutumia akili na kasi uwanjani leo katika...

READ MORE

Yaliyojiri Baada ya Wambura Kutinga TFF Kibabe – Video

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, jana alitinga katika ofisi za shirikisho hilo kibabe...

READ MORE

Tambwe awapagawisha Yanga

ALICHOKIFANYA, Amissi Tambwe juzi Jumatatu huko jijini Mbeya alipoiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Prisons kimezua...

READ MORE

SIMBA YAITUPA NJE MBAMBANE SWALLOWS KWA MABAO 8-1

TIMU ya Simba, leo imeibuka na ushindi  wa bao 4-0 dhidi  ya Mbambane Swallows ya Swaziland katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

BAJAJ ZA SPORTPESA ZAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA

JE, unafahamu kwamba Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa tayari imekabidhi Bajaj 74 kwa Watanzania ambao hivi sasa maisha yao...

READ MORE

KIBABE, YANGA WAICHAPA PRISON

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu amefanikiwa kuweka usawa wa mzani katika mchezo wa leo dhidi ya Tanzania...

READ MORE

Ngassa Amrukia Kichwa Kapalata, Apigwa Nyekundu – Video

WACHEZAJI wawili leo wamepewa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara unaochezwa katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya...

READ MORE

Yanga yamalizana na vifaa vitatu

KAMATI ya Usa­jili ya Yanga, rasmi imethibitisha kufikia uwezekano wa asil­imia 90 kuwasajili wachezaji watatu katika usajili huu wa dirisha...

READ MORE

Yanga yaliteka Jiji la Mbeya

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga tayari wametinga ndani ya Jiji la Mbeya kuwakabili Wajelajela Tanzania Prisons, leo Jumatatu....

READ MORE

Makambo ampiga mkwara Kagere

AKIIONGOZA Yanga leo i takapovaana na Tanzania Prisons ya Mbeya, mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongoman, Heritier Makambo, ni kama ameanza...

READ MORE

Yondani, Kakolanya wafungiwa

HALI ya mambo ndani ya Yanga sasa si shwari tena kwani muda wowote kuanzia leo kipa namba moja wa timu...

READ MORE

Mbelgiji atua na mbinu kiboko kwa Mbabane

  WAKATI kesho Jumanne Simba ikiwa ugenini kucheza na Mbabane Swallows ya Eswatini, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka...

READ MORE

Video: MKUDE Nusura Aachwe Airport Usiku

 KIKOSI kamili cha Simba kikiwa na mastaa kama Claytous Chama, Emmanuel Okwi, John Bocco kimeondoka alfajiri ya leo Jumapili...

READ MORE

Chama, Bocco wapaa Mbabane na Jeuri (Picha +Video)

KIKOSI kamili cha Simba kikiwa na mastaa kama Claytous Chama, Emmanuel Okwi, John Bocco kimeondoka alfajiri ya leo Jumapili kuelekea...

READ MORE

BREKING NEWS: MNGUTO MWENYEKITI MPYA WA BODI YA LIGI

Mwenyekiti wa Coastal Union ya Tanga, Steven Mnguto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Mnguto amechaguliwa kupitia...

READ MORE

YANGA YAFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WAPYA

  Kikao cha Kamati tendaji ya klabu ya Yanga kilichokaa leo asubuhi kimewateua Samuel Lukumay kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Klabu...

READ MORE

Kagere Ataja Dawa ya Kuimaliza Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Meddie Kagere raia wa Rwanda, anajua kwamba wapinzani wao Yanga wanaongoza ligi kwa sasa wakiwaacha...

READ MORE

Mahakama Yamrudisha Wambura TFF

HATIMAYE Mahakama Kuu ya Dar es Salaam imemrejesha madarakani aliyekuwa makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael...

READ MORE