×

Michezo

Mkutano wa Dharura wa Yanga Waota Mbawa

MKUTANO wa dharura wa Yanga uliokuwa ufanyike leo Jumamosi, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena hapo baadaye. Mkutano huo ulitarajiwa kufanyika leo...

READ MORE

Simba Yawafuata Mbabane Kitemi

MSAFARA wa watu zaidi ya 30 wakiwemo wachezaji 21, kesho Alfajiri unatarajiwa kuondoka kwenda Eswatini, huku John Bocco na Meddie...

READ MORE

Beki Mpya Simba Aitaja Yanga

  BAADA ya ku­tua nchini, beki mpya wa Simba, Muivory Coast, Zana Oumar Coulibaly amesema hawafahamu watani wao Yanga huku...

READ MORE

DTB FC YAICHARAZA KUMBUKUMBU FC BAO 4-0

Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), David Kikambako (mwenye jezi ya kijani) akiwaongoza wachezaji...

READ MORE

CAF YAANIKA WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA 2018

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limetangaza majina 34 ya wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume mwaka 2018....

READ MORE

Yondani: Freshi Tu, Nileteeni Sonso

BEKI mkongwe na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani amesema amesikia taarifa za kutua beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’...

READ MORE

Yanga Yaipiga JKT Tanzania 3-0, Makambo na Ngassa Kama Kawa

TIMU ya Yanga imeshinda bao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania leo katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo wa...

READ MORE

Yanga na Simba Wapigwa ‘Stop’ Kucheza Taifa Usiku

Mechi zote za Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam zitakazochezwa saa 10 jioni

READ MORE

DC Kinondoni Mgeni Rasmi Wezesha Sport Bonzana

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Wezesha Sport Bonanza linalotarajia kufanyika Desemba...

READ MORE

SIMBA WAWALAZA MBABANE SWALLOWS BAO 4-1

Kikosi cha Simba kimefanikiwa kuanza vizuri leo katika mchezo wa Fainali za Mabingwa ya Afrika uliochezwa Uwanja wa Taifa kwa...

READ MORE

Mo Akabidhiwa Majina Matano Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, tayari ana majina ya wachezaji watano aliopendekeza wasajiliwe ambayo tayari ameyakabidhi kwenye bodi...

READ MORE

Fedha za Yondani zazuia usajili Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa hawezi kufanya usajili wa wachezaji wapya kwenye dirisha...

READ MORE

NMB Yatoa Vifaa Vya Michezo Kwa Jeshi la Wananchi Tanzania

  BENKI ya NMB imetoa vifaa vya michezo kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya mashindano ya majeshi...

READ MORE

HAWA JAMAA WATAUANA UEFA KESHO, JUMATANO

WIKI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea. Mechi za wiki hii ni muhimu, kwani kuna timu kubwa zipo hatarini kutupwa...

READ MORE

SH ELFU 14 TU KWENYE AKAUNTI YAKE, DINHO ANAENDELEA KUSOTA

HALI ni mbaya. Vyuma vimekaza. Unaweza kuchagua moja ya sentensi hizo mbili, ukiambiwa kuelezea hali ya kiuchumi ya bilionea wa...

READ MORE

ZAHERA: Sitasajili Wapya, Waliopo Wana Matatizo Kibao – Video

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera,  amesema hana mpango wa kusajili wachezaji wapya wakati wa dirisha dogo la usajili kwa sababu kuna...

READ MORE

Mkwasa Yanga aionya TFF

BAADA ya juzi Ju­mamosi Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza majina ya waliopit­ishwa kuwania nafasi mbalim­bali...

READ MORE

Mkude, Chama wapewa kazi maalum kuiua Mbabane

SIMBA ipo ka­tika maandalizi makali ya mechi yake ya Juma­tano ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swal­lows kwenye Uwanja wa...

READ MORE

SIMBA VS MBABANE FC, MANARA Ataja Viingilio – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka kuhusu maandalizi ya mechi yao ya Kimataifa dhidi ya Mbabane Swallows FC...

READ MORE

Mshindi wa Nyumba na Milioni 20 Mbeya Akabidhiwa Fedha Zake

Mshindi wa pili wa nyumba na sh Milioni 20 wa bahati nasibu ya Biko, Alex Nyoka, amekabidhiwa fedha zake leo...

READ MORE

Kapombe apasuliwa mguu Sauz – Video

BEKI wa kulia wa Sim­ba, Shomari Kapombe, amefanyiwa upasuaji wa mguu kufuatia kuu­mia enka kwenye kambi yaT­aifa Stars nchini Afrika...

READ MORE

Chirwa amkimbiza straika Azam

Ujio wa Obrey Chirwa umesababi­sha Ditram Nchimbi aondolewe katika kikosi cha Azam. Nchimbi alikuwa tegemeo kwenye kikosi cha Njombe Mji...

READ MORE

Yanga Yaifunga Kagera Sugar Bao 2-1 Kaitaba

TIMU  ya Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar leo katika  Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Mabao...

READ MORE

Wazungu waondoka na mafaili ya Salamba

TIMU tatu kutoka barani Ulaya ambazo zimeonyesha nia ya kutaka kumsaini mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba, tayari zimepewa ‘makabrasha’ ya...

READ MORE

TFF Yapitisha Majina ya Wagombea Uongozi Yanga

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu...

READ MORE

Yanga yateketeza mamilioni Mwanza

YANGA imeendelea kuonyesha jeuri ya fedha, ni baada ya jana kutumia usafiri wa ndege kuwafuata wapinzani wao Kagera Sugar mkoani...

READ MORE

Manyika: Kindoki hana sifa ya kuichezea Yanga

KIPA wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Peter Manyika amefunguka kuwa kipa Klaus Kindoki hana sifa...

READ MORE

Nyosso apewa Makambo, Ngassa

KATIKA kuhakikisha anabakiza pointi tatu nyumbani, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema tayari amekiandaa vyema kikosi chake kupambana...

READ MORE

Yanga SC yamweka kando Ibrahim Ajibu

IBRAHIM Ajibu amebakiza miezi nane kwenye mkataba wake pale Yanga, lakini Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Hussein Nyika...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Nimepewa jina la Ulimwengu

KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa amekabidhiwa jina la mshambuliaji Thomas Ulimwengu. Ulimwengu ambaye amevunja mkataba wake...

READ MORE

African Lyon wana jezi pea moja tu

KWELI hali ni mbaya kwa upande wa kikosi cha African Lyon baada ya nyota wake kuwa na jezi pea moja...

READ MORE

Kagera Mpo Siriazi au Mnazuga?

LICHA ya dirisha dogo kufunguliwa lakini kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema hana mpango wa kusajili mchezaji yoyote katika...

READ MORE

Masharti ya mastaa wapya yamshtua Zahera

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema anaogopa kufanya mazungumzo rasmi na mastaa wapya watatu anaowataka kwa vile anaogopa masharti yao...

READ MORE

Pluijm awachenjia Niyonzima na Tshishimbi

KOCHA Mkuu wa Azam FC , Hans Pluijm hana mpango wa kuwasajili viungo, Haruna Niyonzima wa Simba na Papy Kabamba...

READ MORE

Moto wa SuperSport Wikiendi Hii ni Tabu Tupu!

Moja kati ya mpambano mkali sana wa Golf unafanyika wiki hii, Superstar Tiger Woods atakutana uso kwa uso dhidi ya hasimu...

READ MORE

Madrid Wamfuata RASHFORD England

KLABU ya Real Madrid im­eonekana kuweka nguvu yake kwenye usajili kwa sasa baada ya kutenga kitita cha pauni milioni 90...

READ MORE

Amunike kaa mguu sawa, sisi Watanzania ni Wabrazili

MWAKA 2001, timu ya taifa ya Brazil ilikuwa kwenye hatikati ya kuko­sa michuano ya Kombe la Dunia kwa mara ya...

READ MORE

Rasmi: Manji ‘OUT’ Yanga, Hagombei Chochote, Watano Wajitosa Kumrithi

Wanachama na mashabiki wa Yanga sasa wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kuishi maisha bila Yusuf Manji baada ya jina la mwenyekiti huyo...

READ MORE

Nyoni awaangukia Watanzania

BEKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Erasto Nyoni, amewaambia Watanzania kuwa, bado hawajamaliza kazi, hivyo waendelee kuwasapoti....

READ MORE

Yondani, Kakolanya waitosa Yanga

NYOTA wa Yanga waliokuwa kwenye kikosi cha Taifa Stars nchini Lesotho, Kelvin Yondani na Beno Kakolanya, wameshindwa kusafiri na kikosi...

READ MORE