×

Michezo

BETIKA LAINGIA MTAANI KIBABE, WADAU WALIPONGEZA

  GAZETI namba moja na la kijanja linalohusu ishu nzima za kubeti lijulikanalo kwa jina la BETIKA ambalo linatolewa bure,...

READ MORE

Al Ahly Wavunja Mazoezi Yanga SC

KATIKA kuhakikisha anapata pointi tatu mbele ya watani wao wa jadi Simba, Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongoman, Mwinyi Zahera amevunja...

READ MORE

PSG Yazima tambo za Man United

BAADA ya kutamba kwa muda mrefu hatimaye jana Manchester United walikutana na kisiki baada ya kuchapwa mabao 2-0 na PSG...

READ MORE

Gazeti la Betika kuingia mtaani kwa kishindo Jumatano hii

JUMATANO ya wiki hii Februari 13, 2019 inatarajiwa kuwa siku ya kwanza ya toleo la kwanza la Gazeti la Betika...

READ MORE

FT: SIMBA 1-0 AL AHLY UWANJA WA TAIFA, LIGI YA MABINGWA

Dakika 90 zinamaliizika Simba 1-0 Al Ahly Dakika ya 90+4 Simba wanapata kona Dakika ya 90 + 3 Kagere anadondoka,...

READ MORE

VIINGILIO MECHI YA SIMBA VS YANGA VYAANIKWA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio katika mchezo wa Watani wa Jadi kati ya Yanga Sc na Simba Sc vikiwa vimegawanywa katika...

READ MORE

Erasto Nyoni: Waarabu wanaacha pointi Dar

KIRAKA wa Simba, Erasto Nyoni, amefunguka kuwa ana imani kubwa kwamba watawachapa wapinzani wao Waarabu, Al Ahly na wataacha pointi...

READ MORE

Mshindi wa Championi achekelea mkwanja

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti namba moja la michezo Championi, Emmanuel Daud, amechekelea kupewa zawadi yake ya ushindi baada...

READ MORE

Simba nao wawatese waarabu Taifa, inawezekana

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa ngazi ya klabu, Simba kesho Jumanne watakuwa pale Uwanja wa Taifa wakitafuta pointi...

READ MORE

Yanga Yaipiga JKT Tanzania Bao 1-0, Mkwakwani, Tanga

  BAO la Feisalum Abdalah ‘FeiToto’ dakika ya 27 akimalizia pasi ya Gadiel Michael limetosha kujibu ule usemi wa shinda...

READ MORE

BREAKING NEWS: MBUNGE WA CHADEMA APATA AJALI DUMILA, MORO

Taarifa ya ajali hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene akisema kuwa Mbunge huyo anatarajiwa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 10, 2019 ameungana na waumini wengine kusali...

READ MORE

Yondani, Ajibu Waweka Rekodi Yanga

  BEKI na nahodha wa zamani wa Yanga, Kelvin Yondani ameweka rekodi ya kufanyiwa mabadiliko kwa mara ya kwanza msimu...

READ MORE

Mzuka Wa Mechi Ya Watani Waanza Yanga

YANGA ambayo imepoteza pointi saba mikoani katika mechi tatu mfululizo, leo Jumapili jioni inacheza na JKT Tanzania yenye pointi 32...

READ MORE

CAF Yatoa Neno Kwa Emmanuel Okwi

  KWA mujibu wa takwimu za mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambazo zimechezwa mpaka sasa, Emmanuel...

READ MORE

Sasa Uhakika ni Kindoki au Kabwili

SASA ni uhakika kwamba Februari 16, mwaka huu kwenye goli la Yanga atakaa Klaus Kindoki au Ramadhan Kabwili hii ni...

READ MORE

Banka Rasmi Uwanjani Yanga Leo, Zahera Ampa Majukumu

KIUNGO mchezeshaji mpya wa Yanga, Mohammed Issa ‘Banka’, rasmi anatarajiwa kuonekana uwanjani leo Jumapili hii katika mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Simba Yashusha Kocha Mpya

SIMBA haitaki utani kwani imezidi kuliimarisha benchi lake la ufundi, sasa imeamua kumshusha Kocha Msaidizi, Etienne Ndayiragije raia wa Burundi...

READ MORE

Ajibu Auwasha Moto Yanga SC

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kutokata tamaa kutokana na matokeo mabovu waliyopata kwenye...

READ MORE

TOP FOUR; HAINA MWENYEWE KWENYE PREMIER LEAGUE MSIMU HUU

KWA hali ilivyo kwa sasa ni wazi kwamba hakuna aliyejihakikishia kumaliza nafasi nne za juu kwenye Premier League msimu huu....

READ MORE

Ishu Ya Dilunga, Simba Yaepuka Kupokwa Pointi

KIUNGO Hassani Dilunga juzi aliwaweka matatani Simba baada ya kuingia uwanjani na kupasha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya...

READ MORE

Yanga Yaiendea Simba Moro

KUELEKEA mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa, watalazimika kuweka kambi mkoani...

READ MORE

Lile La Lissu Karia Alichemsha, Lakini Lisigeuke Fimbo…

WAKATI wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), rais wa shirikisho hilo, Wallace Karia alizua taharuki kutokana na...

READ MORE

VIDEO: MO DEWJI Afunguka “Hatutaki Wachezaji wa Majaribio, Goli 5 Ziliniuma”

UONGOZI wa Simba umewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Al Ahly ambao ni wa...

READ MORE

Mwanasheria Ambakisha Kakolanya Yanga

LICHA ya kuomba kuvunjiwa mkataba wake na Klabu ya Yanga, kipa Beno Kakolanya atalazimisha kusubiri baada ya mwanasheria wa klabu...

READ MORE

Yanga Yataja Hujuma Za Ubingwa

KAIMU Mwenyekiti wa Yanga, Samweli Lukumay, amefunguka kuwa wapinzani wao wameanza kuwahujumu kwa lengo la kuwavuruga makusudi kutokana na kusambaza...

READ MORE

Julio: Simba SC watashinda kwa mipango

KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye alishawahi kuinoa Simba, amefunguka kuwa, kikosi hicho kitashinda mchezo wa marudiano dhidi...

READ MORE

Aussems: Naanza Na Al Ahly, Wanafuata Yanga

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kikosi chake kipo...

READ MORE

Cannavaro: Simba Ina Beki Chochoro

BEKI wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amefunguka kuwa sababu kubwa ya Simba kupokea kipigo kizito nchini Misri imetokana...

READ MORE

Wenye Ligi yao Wamerudi, Yawapiga Mwadui FC 3-0

UNAWEZA kusema wenye ligi yao wamerudi kutokana na kwamba jana Alhamisi, Simba ilicheza kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi...

READ MORE

Zahera Awaonyesha Makucha Yake Yanga

  KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, ameonyesha makucha yake baada ya kukerwa na baadhi ya...

READ MORE

Msuva: Simba wakitulia, Al Ahly anakufa Taifa

WINGA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa Morocco, Saimon Msuva, amewataka wachezaji na benchi la...

READ MORE

SIMBA inakosea wapi? Soma Hapa

MSIMU huu wa 2018/19, Simba ilifanikiwa kutimiza safari yake ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuikosa...

READ MORE

Kwa JKT Queens Ukinuna Uwe na sababu

JKT Queens imeweka rekodi ya kipekee kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Women’s Premier League baada ya kucheza...

READ MORE

SINGIDA UNITED WAIPA PRESHA YANGA, YAMSHITAKI MMOJA BODI YA LIGI

Klabu ya Singida United imeandika Barua ya Malalamiko kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Kuhusu Uhalali wa kutumika...

READ MORE

Tambwe: Sijaona Beki Kama Yondani

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, tangu amekuja Tanzania kucheza soka, hajawahi kumuona beki wa kumzidi Kelvin Yondani.   Tambwe...

READ MORE

Makambo Ajipange Nyoni Anamuwahi

SIMBA kwa sasa inapitia kipindi kigumu baada ya beki wake Erasto Nyoni kuwa nje ya uwanja sababu ya majeraha, lakini...

READ MORE

Yanga: Chekeni tu, tumewazidi pointi 22

IKICHEZA kwenye mvua na uwanja chepechepe wa Namfua mjini Singida, jana Jumatano Yanga ilipoteza pointi saba kwenye mechi yake ya...

READ MORE

Barcelona Kuivaa Real Madrid leo

BARCELONA wanatarajiwa kuwakaribisha Real Madrid kwenye Dimba la Camp Nou leo kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali wa Copa...

READ MORE