×

Michezo

Breaking: Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi TFF Ajiuzulu

MWENYEKITI  wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wakili Revocatus Kuuli leo amejiuzulu kuongoza kamati na uongozi...

READ MORE

Castle Lager Yamleta Samuel Eto’o Tanzania

  KAMPUNI  ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Castle Lager imemualika mmoja ya wachezaji bora barani Afrika, Samuel...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aomba Siku 14 Kusuka Kikosi

KUTOKANA na Simba kutengeneza nafasi nyingi katika mechi wanazocheza ligi kuu na kushindwa kuzitumia vizuri, Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems, amesema kuwa anahitaji wiki...

READ MORE

Kakolanya Awashtua Viongozi Yanga

KIPA namba moja wa Yanga msimu huu, Beno Kakolanya amewashtua baadhi ya viongozi wa timu hiyo ikiwa ni siku chache tu zimepita baada ya kuibania...

READ MORE

Djuma: Naenda Yanga Mimi!

BAADA ya Simba kuamua kuachana na Kocha Masoud Djuma, mwenyewe Amefunguka huku akisisitiza asingependa kuzungumza maneno mengi, lakini alipoulizwa suala...

READ MORE

Manara Afunguka, Kocha Djuma Aanika Kuachana na Simba – Video

Baada ya kuoneshwa mlango wa kutoka nje rasmi, Kocha Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amesema kuondoka ndani ya wekundu...

READ MORE

Yanga baba lao, inachapa tu

KWA matokeo ambayo Yanga inaendelea kuyapata katika mechi zake za Ligi Kuu Bara, ni sahihi kabisa kuwaita ‘baba lao’. Jana...

READ MORE

Kichuya Aahidi Mabao Zaidi Simba

AKIFUNGA bao lake la kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameibuka na...

READ MORE

Ajibu Awashika Pazuri Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji anayeongoza kwa asisti nyingi Yanga, Ibrahim Ajibu, ameibuka na kuwaambia maneno ma­zuri ya kuwatia matumaini mashabiki wa timu...

READ MORE

Waziri Azindua Mbio za Acacia, Amwaga Milioni 280

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Joseph Kakunda,  amezindua mpango wa mashindano...

READ MORE

Kagere, Okwi Wavamiwa Dar

  WASHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi na Mnyarwanda, Meddie Kagere juzi Jumamosi wamezua balaa ndani ya timu hiyo baada...

READ MORE

MABAO YOTE YA YANGA VS MBAO FC 2-0 (VIDEO)

MECHI ya Yanga na Mbao FC imemalizikakatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku wenyeji Yanga wakizidi kujikusanyia pointi...

READ MORE

Arsenal Yashinda Bao 5-1 Dhidi ya Fulham

 Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi dhidi ya Fulham wakiwa nyumbani kwao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-1....

READ MORE

Okwi Aanza Kutupia Taifa, Masoud Djuma Baibai Simba

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara wamerudi mchezoni. Mabao ya mastraika Shiza Kichuya na Emmanuel Okwi, jana usiku yalitosha kuwapa...

READ MORE

Ruvu Shooting Yatamba Kuwachapa Kagera Sugar

TIMU ya Ruvu Shooting “Timu ya Wananchi wa Pwani” ya mkoani hapa, leo ipo mkoani Kagera kucheza dhidi ya Kagera...

READ MORE

Zahera Atuma Ujumbe TFF

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amelishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuatia kumpatia tuzo ya kocha bora wa mwezi...

READ MORE

Diamond Kujenga Uwanja Tandale, Shigongo Atoa Pikipiki

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameziagiza mamlaka husika za aradhi jijini hapo kufanya mchakato wa kumpatia...

READ MORE

Mourinho Ana Saa 24 Man United

MUDA wa Kocha Jose Mourinho kuendelea kuwepo ndani ya Man­chester United umebaki mfupi na hiyo inatokana na Mreno huyo kuendelea...

READ MORE

Neymar Aweka Rekodi Mbili Uefa

  STAA wa PSG, Neymar, juzi alionyesha kuwa bado anaweza kuonyesha ki­wango cha hali ya juu baada ya kuifungia timu...

READ MORE

Laana Ya Namba 7 Inamtesa Sanchez

MAISHA ya Alex­is Sanchez akiwa katika jezi namba 7 ndani ya Manchester United ni magumu na ni kama mwendelezo wa...

READ MORE

Mazoezi ya Taifa Stars Uwanja wa JMK Park, Dar Usipime

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeendelea na mazoezi jioni ya leo kwenye Uwanja wa JMK Park, Mnazi Mmoja...

READ MORE

Kotei Aomba Radhi Tukio la Kumpiga Konde Gadiel Michael – Video

MCHEZAJI wa Simba, James Agyekum Kotei (25), Raia wa Ghana, amewaomba radhi mashabiki, wapenzi na wadau wa soka kutokana na kosa...

READ MORE

Eliud Ambokile Atangazwa Mchezaji Bora Wa Mwezi

Mshambuliaji wa timu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya, Eliud Ambokile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi...

READ MORE

Mashabiki Inabidi Muelewe, Hakuna Uchawi Kwenye Soka

BADO mchezo wa Simba na Yanga ul­iochezwa Jumapili iliyopita unaende­lea kuwa gumzo kutokana na matukio kadhaa yaliyojitokeza kwenye mchezo huo....

READ MORE

Kakolanya Aibua Kasheshe Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems anafikiria kufanya uamuzi ndani ya kikosi chake kwa kuanza kuwatumia washambuliaji ambao hawapati...

READ MORE

YANGA YAMSHITAKI KOTEI, ZAHERA ATIMKA – VIDEO

Timu ya Yanga itamkosa kocha wake,  Mwinyi Zahera, siku ya Jumapili dhidi ya Mbao FC katika Uwanja wa Taifa. Msemaji...

READ MORE

Mechi ya Simba, YANGA Yazijibu Tuhuma za Uchawi – Video

KLABU ya Soka ya Yanga imesema kuwa maneno ambayo yalikuwa yakiendelea katika mitandao ya kijamii ni kutokana na tukio la...

READ MORE

Zahera: Simpendi Diamond Ni Mjanjamjanja

SI kwenye soka pekee hata kwenye muziki yumo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa huwa hapendi kusikiliza ny­imbo...

READ MORE

Taifa Stars Onyesheni Utofauti Wenu Kimataifa

KWA sasa hatua tuliyofikia angalau kidogo tunaweza tukapongeza jinsi ambavyo ush­indani ulivyo kwenye Ligi Kuu Bara. Bado ligi ni mbichi...

READ MORE

Matola: Ratiba Inatubana Sana

  KOCHA wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, Seleman Matola baada ya kupoteza dhidi ya Singida United, kwa bao 1-0,...

READ MORE

Emiliana Ajishindia Laki Tano, Siku yake ya Kuzaliwa

Emiliana (21), mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam alianza kucheza MojaSpesho wiki nne zilizopita na juzi alifanikwa kutoboa ushindi baada...

READ MORE

Ngoma: Nimepona Sasa, Subirini Mabao!

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa nje kwa zaidi ya miezi 10, ameibuka na kuweka...

READ MORE

Simba na Yanga Zaingiza Tsh. 400M

SHIRIKISHO la Soka nchini Tanzania (TFF) limesema mchezo namba 72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) uliyozikutanisha mahasimu wa jadi,...

READ MORE

NIYONZIMA, JUUKO HUKO SIMBA MAMBO NI MOTOO

 KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima na beki wa kati Mganda, Juuko Murshid taratibu wameanza kuingizwa kwenye mipango ya...

READ MORE

Jeneza la Simba, Yanga Lilivyozua Gumzo Taifa

MASHABIKI wa Simba jana waliendelea na mbwembwe zao kwenye mechi dhidi ya Yanga baada ya kuingia na jeneza lenye bendera...

READ MORE

Mashabiki Yanga Wampigia Kelele Paul Makonda

MASHABIKI wa Yanga jana Jumapili walikuwa moto baada ya kumpigia kelele Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Matatani Kwa Tuhuma za Kubaka

MWANAMKE mmoja,  Kathryn Mayorga, amejitokeza na kusema mwanasoka, raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alimbaka mwaka 2009 katika hoteli moja jijini...

READ MORE