×

Michezo

Zahera Ampeleka Ajibu Ufaransa

KWA namna ambavyo mshambuliaji Ibrahim Ajibu anavyozidi kuonyesha uwezo mkubwa uwanjani, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema mchezaji huyo kama...

READ MORE

Man City Yampiga Pini Aguero

STRAIKA wa Manchester City anayeo-ngoza kwa kufunga mabao mengi zaidi klab-uni hapo, Sergio Aguero amejihukumu baada ya kukubali kusaini mkataba...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Kuivaa Man United

NYOTA wa Juventus, Cristiano Ronaldo ana uwezekano wa kuivaa Manchester United katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kudaiwa kuwa...

READ MORE

Mzungu Wa Simba Anakula Kwa Mama Ntilie

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa licha ya kutokujua kupika lakini anakula chakula chochote atakachopewa kwa kuwa hachagui...

READ MORE

LIVE WEIGH IN! Anthony Joshua vs Alexander Povetkin 🥊

KESHO ni kesho ambapo pambano la Mwingereza Anthony Joshua na Alexander Povetkin linatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Wembley huku likishuhudiwa...

READ MORE

Pambano La Antony Joshua ‘Live’ Kwese Iflix

KESHO ni kesho ambapo pambano la Mwingereza Anthony Joshua na Alexander Povetkin linatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Wembley huku likishuhudiwa...

READ MORE

REKODI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA

LIGI ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi imeanza jana, kila timu inataka ku­hakikisha inatwaa ubingwa huo ambao unashikiliwa na Real...

READ MORE

Simba Wajiangalie Kwenye Kioo Kabla Hawajavurugana

SIMBA imesajili kikosi cha bei ghali, Simba ina kocha mkali kutoka Ubelg­iji, Simba ina mastaa wengi, Simba ni kama timu...

READ MORE

Makambo Anachinja Tu!

    BAO la Straika Mkongomani, Heritier Makambo jana usiku liliipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada...

READ MORE

MBELGIJI SIMBA AISAKA DAWA YA YANGA

  WAKATI Simba na Yanga zikitarajiwa kucheza Septemba 30, mwaka huu katika Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa kikosi hicho,...

READ MORE

Simba Sc Yachezea Kichapo cha Mbao

TIMU ya Simba Sc imeshindwa kufurukuta mbele ya wachana mbao wa Jiji la Mwanza, Mbao FC baada ya kukubali kichapo...

READ MORE

Mbelgiji Kuivaa Mbao Kwa Tahadhari

INAFAHAMIKA kuwa kucheza na Mbao kwa timu za Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Kirumba si mchezo lakini kocha wa...

READ MORE

Kagere: Sijaangalia Mechi Ya Makambo

BAADA ya kamati ya Tuzo ya Ligi Kuu Bara kumtaja mshambuliaji wa Simba, Med­die Kagere ameweka wazi kuwa kupata tuzo...

READ MORE

Ajibu Awapa Tahadhari Simba SC

  KIUNGO mshambuliaji kipenzi cha Wanayanga, Ibrahim Ajibu amewaambia mashabiki wa timu hiyo waondoe hofu yapo mambo mengi yanakuja kuelekea...

READ MORE

Liverpool, Barcelona Wakinukisha UEFA, Messi Atupia Hat-Trick

KIVUMBI cha Ligi ya Mab­ingwa Ulaya kimeanza tena, kuanzia jana ku­likuwa na vita kubwa viwanjani ampabo timu ya Liverpool na Barcelona...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa Arsenal Atimka Klabuni

Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kuondoka kwa mkurugenzi mtendaji wa klabu hiyo, Ivan Gazidis aliyetimkia AC Milan ya Italia katika...

READ MORE

LIGI YA MABINGWA ULAYA ‘is baack!’…Ratiba Ipo Hapa

Barcelona watatufungulia pazia kwa mechi kali dhidi ya PSV itakayochezwa saa 2 usiku na kuruka LIVE  kwenye DStv kupitia Supersport 5.  Inter Milan itacheza dhidi ya Tottenham Hotspur saa 2 usiku na utaipata mechi hii LIVE kwenye Supersport 6 kifurushi Compact Plus.  Borussia Dortmund wataenda Jan Breydel Stadium kukutana na Club Brugge mechi itakayorushwa LIVE  kwenye Supersport 8 ya kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 saa 12 jioni. 

READ MORE

Hans Poppe Huyu Hapa

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe anatafutwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...

READ MORE

Aussems Aanza Kuogopa Mechi za Mikoani

BAADA ya juzi Jumamosi Simba kubanwa na Ndanda, kocha mkuu wa kikosi hicho, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameibuka na...

READ MORE

Kagere, Bocco Wamuumiza Kichwa Mbelgiji Simba SC

WASHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco, wameonekana kumuumiza zaidi kichwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Mbelgiji, Patrick Aussems,...

READ MORE

Mazoezi ya Simba… Niyonzima, Juuko Warejea

BAADA ya kiungo mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Huruna Niyonzima na beki kisiki raia wa Uganda, Juuko Mrushidi kuwa...

READ MORE

Uchaguzi Simba SC, vigogo kujadiliwa saa 48

BAADA ya zoezi la urudishaji fomu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Simba kukamilika, kamati ya uchaguzi itatumia siku mbili,...

READ MORE

TFF YAPIGA STOP MCHAKATO WA UCHAGUZI SIMBA

Baada ya kukamilika kwa zoezi la kurejesha fomu kwa wanachama mbalimbali waliochukua ili kugombea uongozi Simba, Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Ronaldo Aanza Kazi Kibabe, Apiga Mtu Mbili Italia

STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, jana alianza kazi ya kutupia kwenye nyavu baada ya kuifungia timu yake ya Juventus mabao...

READ MORE

YANGA YASHINDA DHIDI YA STAND UNITED, BAO 4-3

Timu ya Yanga wamepata ushindi wa mabao 4-3 kutoka kwa Stand United ya Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Sasa Wanalalamika Simba, Baadaye Itakuwa Yanga

  LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo Ijumaa kwa mechi kadhaa ambazo zinatarajiwa kupigwa kwenye vi­wanja mbalimbali.   Ni...

READ MORE

Vigogo Simba Kikaangoni

KAMATI ya Uchaguzi ya Simba, kesho Jumapili inatarajiwa kuzipitia fomu za wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya klabu hiyo...

READ MORE

KOCHA AMCHIMBA MKWARA MZITO RASHFORD

  SIKU chache baada ya kuonyesha uwezo mzuri na kufunga mabao mawili katika timu ya taifa ya England, mshambuliaji Marcus...

READ MORE

BONDIA MWAKINYO APATA DILI UJERUMANI

TANGU aliposhinda pambano lisilo la ubingwa dhidi ya Sam Eggington nchini Uingereza, mwanamasumbwi raia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo ameweza kujitangaza...

READ MORE

Bocco Aichimba Mkwara Ndanda

JOHN Bocco ambaye ni nahodha wa Simba, amesema kocha wao, Mbelgiji Patrick Aussems amewapa mbinu mpya za kuhakikisha wanapa ushindi...

READ MORE

Makelele: Mourinho Kachoka

KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Claude Makelele amedai kuwa anaamini kocha wake wa zamani, Jose Mourinho amecho-shwa na mwen-delezo wa...

READ MORE

Kagere Amfungukia Beki wa Man Utd

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amemfungukia beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast na Klabu ya Manchester United...

READ MORE

Kisa Uchaguzi Simba, Wanachama Watinga Ikulu

  IMEELEZWA kuwa zaidi ya wanachama 400 wa Klabu ya Simba wamewasilisha barua Ikulu kupinga katiba mpya ya klabu hiyo...

READ MORE

Nyoni; Niliumia Sana Siku Nilivyotemwa Stars

  NI mara chache kwa nchi kama Tanzania kuona mchezaji akidumu kucheza katika kiwango cha juu kwa miaka zaidi ya...

READ MORE

MO Dewji Aidai Klabu ya Simba Bilioni 6

IKIWA ni wiki chache tangu mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu ya Simba ufikie katika hatua nzuri, imebainika kuwa...

READ MORE

Mamilioni Yamwagwa Yanga

 BAADA ya Yanga kung’olewa rasmi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, neema ya fedha imewawakia baada ya Shirikisho la...

READ MORE

Mbelgiji wa Simba Awauza Watano Ulaya

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa yupo katika mipango ya kuwauza wachezaji wake watano wa kikosi...

READ MORE

SportPesa Wabadilisha Maisha ya Kassim Mgaya

Kassim Nasoro Mgaya akiwa na furaha kubwa anasimulia jinsi kipato chake kilivyoongezeka baada ya kushinda bajaj mpya aina ya TVS king kutoka SportPesa. Hii ni katika promosheni ya Shinda na SportPesa ambapobwana Kassim aliibuka kama mmoja wa washindi mwaka jana. Kampeni hiyo iliyokuwa na lengola kuboresha maisha kwa watanzania ililenga kuwagusa wananchi wengi ambao vipato vyao vilibadilika kabisa baada ya kushinda bajaj hizo

READ MORE

TOP 8 MISS AFRICA 2018

THULISA KEYI (SOUTH AFRIKA) Thulisa Keyi huyu ndiye namba moja kwenye lisiti hii. Ni mrembo aliyeshinda kinyang’anyiro hicho kilichofanyika mwishoni...

READ MORE

Waarab Wamfuata Makambo Yanga

  SIKU za mshambuliaji wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo za kuendelea kubaki kukipiga Jangwani huenda zikawa zinahesabika baada ya baadhi...

READ MORE