×

Michezo

Sanchez: United Ni Timu Kubwa Duniani

MANCHESTER United, juzi, ilimsajili mshambuliaji Alex­ies Sanchez ambapo kwenye mahojiano yake ya kwanza amesema kuwa amejiunga na timu kubwa dun­iani....

READ MORE

Simba Wana Morali, Yanga Wanacheza Kama Yatima

NIMEENDELEA kufuatilia mechi mbalim­bali za Ligi Kuu Bara inayoende­lea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini.   Naona upinzani unazidi kuongezeka...

READ MORE

Buswita Atupwa Jukwaani, Yondani Ndani

KIUNGO wa Yanga, Pius Buswita atakosa mchezo dhidi ya Azam kutokana na adhabu ya kadi tatu za njano huku Kelvin...

READ MORE

Majimaji Watua Dar Kibabe Kuivaa Simba SC

KIKOSI cha Majimaji leo Jumatano kinatarajia kuingia jijini Dar ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuvaana na wapinzani wao Simba...

READ MORE

Azam FC Yapewa Kandarasi Mpya na NMB

  KLABU ya Soka ya Azam yaneema tena na mkataba mpya wa NMB baada ya kuonekana kuutendea haki mkataba wao...

READ MORE

POWER ON FITNESS GYM KIUFANYA MAKUBWA JAN 27

PRESS RELEASE January 22, 2018 Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam imeandaa siku maalumu kwa...

READ MORE

Mkhitaryan Kusaidia Matibabu kwa Wenye Kansa

IKIWA ni saa chache baada tu ya kutua Arsenal akitokea Manchester United, Henrikh Mkhitaryan amesema atatumia jezi ya Man U...

READ MORE

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa kosa la kumpiga shabiki anayeaminika...

READ MORE

MKHITARYAN HUYU HAPA, RASMI NDANI YA ARSENAL

RASMI Henrikh Mkhitaryan ametua Arsenal kama sehemu ya uhamisho wa mshambuliaji Alexis Sanchez kwenda Manchester United. Mkhitaryan amekabidhiwa jezi ya...

READ MORE

FULL TIME: Kutoka Uwanja wa Kaitaba: Kagera Sugar 0-2 Simba SC

FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba wanaibuka na ushindi wa mabao 2-0. Dk ya 90+5: Kipa wa Kagera anauwahi mpira...

READ MORE

Hatimaye Sanchez Avaa Jezi ya Man U kwa Mara ya Kwanza

MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez raia wa Chile ameonekana akiwa katika uzi wa Manchester United namba 7 saa chache baada ya usajili...

READ MORE

Dalali Aanza Ruti za Mikoani Akisaka Ubingwa Simba

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Mzee Hassan Dalali ‘Handsome Boy’, ameanza harakati za kuhamasisha wanachama wa timu hiyo kwa ajili...

READ MORE

RONALDO APASULIWA USO, MADRID IKISHINDA 7-1 – VIDEO

LICHA ya ushindi wa bao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, wa...

READ MORE

Okwi Afumuwa Kikosi Simba

UJIO wa mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, umemfanya kocha msaidizi wa timu hiyo, Mrundi, Masoud Djuma kufumua kikosi chake...

READ MORE

Mabadiliko ya Makocha Simba Yawe Chachu Ya Mafanikio

SIMBA imepangua benchi la ufundi. Wameingiza sura mpya kuchukua nafasi ya Joseph Omog ambaye walimtimua hivi karibuni kwa maelezo kwamba...

READ MORE

FT: RUVU SHOOTING 0-1 YANGA, KUTOKA UWANJA WA TAIFA

MPIRA UMEKWISHA DAKIKA YA 93 SUB Dk 81 Abdulrahman Mussa anakwenda nje Hamisi Mcha anachukua nafasi yake Dk 80, Yanga...

READ MORE

DEAL DONE, SANCHEZ MALI YA MAN UNITED, MKHITARYAN MALI YA ARSENAL

Alexis Sanchez anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya muda wowote kuanzia sasa ndani ya Jiji la Manchester ili kukamilisha dili lake...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA SERENGETI BOYS

  WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo ametembelea vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti...

READ MORE

Aubameyang ni Mzuri, Anafaa Arsenal Ila Kazi Ipo Hapa….

LONDON, England ARSENAL chini ya kocha wake Arsene Wenger inapambana kuhakikisha inamsajili straika Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani....

READ MORE

Barcelona Inapoizidi Real Madrid ni hapa…

BARCELONA, Hispania MSIMU uliopita Barcelona ilikuwa nyanya, haikuweza kufurukuta mbele ya Real Madrid lakini msimu huu hadi sasa katika Ligi...

READ MORE

Kumbe Mabeki Walimzingua Pluijm Singida United

KOCHA wa Singida United, Hans van Der Pluijm raia wa Uholanzi, amesema anaamini kipigo cha mabao 4-0 kutoka Simba kwa...

READ MORE

Kocha Simba SC Amtolea ‘Povu’ Mavugo

KOCHA Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma amesema kuwa ushindi ambao timu yake iliyoupata jana Alhamisi katika mchezo dhidi ya Singida...

READ MORE

Okwi Ampagawisha Kocha Mpya Simba

KIKOSI cha Simba,  Alhamisi kilijitanua kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0...

READ MORE

Wazungu Washindwa Kumng’oa Ndemla Simba

KIUNGO wa Simba, Said Ndemla, sasa anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwepo Msimbazi huku ikielezwa lile dili la kwenda...

READ MORE

BREAKING NEWS: KOCHA MPYA SIMBA ATAMBULISHWA, AFUNGUKA HAYA

  Klabu ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, leo mchana imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Raia wa...

READ MORE

Yanga Yafanya Mazoezi Uwanja wa Uhuru

Kikosi cha Yanga, kimeendelea na mazoezi yao ya kawaida kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo...

READ MORE

Mshahara Wa Sanchez Kufuru Man United

  STAA wa Arsenal, Alexis Sanchez anatarajiwa kusaini mkataba wa kujiunga na Manchester United muda wowote kuanzia sasa, inaelezwa kuwa...

READ MORE

Messi Amtumia Ujumbe Gaucho

LIONEL Messi wa Barcelona amemtumia ujumbe nyota wa zamani wa timu hiyo, Ronaldinho ambaye amestaafu kucheza soka la kulipwa. Kupitia...

READ MORE

BREAKING NEWS: HANS POPPE AMPA GARI SAID NDEMLA

Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis...

READ MORE

SIMBA YAIPIGA SINGIDA BAO 4- 0 UWANJA WA TAIFA

MPIRA UMEKWISHAA DAKIKA 93 DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 89, Kwasi anachonga kona fupi kwa Kichuya lakini mpra unaishia miguuni...

READ MORE

Wachezaji 10 Wanaolipwa Mkwanja Mrefu Man Utd, Alexis Sanchez Yumo

Mshambuliaji Alexis Sanchez ambaye muda wowote kuanzia sasa anatarajiwa kujiunga na Man United akitokea Arsenal, ametajwa kuwa ndiye mchezaji atakayekuwa...

READ MORE

LIVE: SABABU ZA OKWI KUGOMA KUICHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP

 SPOTI HAUSI leo itakuletea uchambuzi murua huku wachambuzi wake wakijadili mambo mengi, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

RASMI KOCHA MPYA WA SIMBA HUYU HAPA, WENYEWE WAMTANGAZA

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya, Mfaransa Pierre Lechantre....

READ MORE

EXCLUSIVE: HUYU HAPA KOCHA MPYA, CHAMPIONI LAMUIBUA MAFICHONI

  Pamoja na juhudi kubwa za Klabu ya Simba kufanya juhudi za kumficha kocha wake mpya Mfaransa, Gazeti la CHAMPIONI...

READ MORE

RASMI: SANCHEZ AKUBALI KUTUA MAN UNITED

Alexis Sanchez amekubali kujiunga na Manchester United, hii sasa ni rasmi. Kikubwa kinachosubiriwa ni uamuzi wa kiungo Henrikh Mkhitaryan ambaye...

READ MORE

Mourihno Kuongeza Mkataba Mpya Man U

MENEJA Mkuu wa Man U, Jose Mourinho ameanza kufanya mazungumzo ili kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo ili aendelee...

READ MORE

Mourinho Azidi Kukomaa na Sanchez Mpaka Kieleweke

Meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amewasili katika uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatano asubuhi huku ikiwa...

READ MORE

FT: Kutoka Uhuru Stadium: Yanga 0-0 Mwadui

    Mpira umekwisha, Yanga 0 – 0 Mwadui Fc. Yondani anamchezea madhambi mchezaji wa Mwadui, analambwa kadi ya njano....

READ MORE

Breaking News: Theo Walcott Afuzu Vipimo na Kujiunga Everton

  WINGA wa Arsenal, Theo Walcott amefuzu vipimo vya afya na kukubali dau la kujiunga na Klabu ya Evertonal. Taarifa...

READ MORE

Ronaidinho Gaucho, Atundika Daluga

NGULI wa soka nchini Brazil ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia Balon d’Or mwaka 2005, Ronaldo...

READ MORE