×

Michezo

Sportpesa Yazindua Shinda Na Sportpesa, Watu 100 Kushinda Bajaj

Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa Oktoba 25 imezindua rasmi kampeni ya SHINDA NA SPORTPESA itakayodumu kwa siku...

READ MORE

Takwimu Zinaonyesha ni Mechi Ya Ajibu na Okwi

UTAMU wa tak­wimu kwa mchezaji una­tokana na anavyojitu­ma kusaidia jambo fu­lani hasa unapokuwa kiungo timu yako inacheza vizuri na kushinda...

READ MORE

Yanga vs Simba…Wanaume Wa Kuchungwa

  WAKATI timu za Yanga na Simba ziki­tarajiwa kuvaana Jumamosi, Okto­ba 28, mwaka huu, macho ya mashabiki wengi wa soka...

READ MORE

Omog: Ni Kazi Kuizuia Yanga SC Isikufunge

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, anaiandaa safu yake ya ulinzi kuhakikisha hairuhusu bao katika mchezo wa...

READ MORE

Ajibu: Nikiifunga Simba Nakwenda Kwa Mashabiki

  STAA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amesema mechi yao ijayo dhidi ya Simba itakuwa ngumu, lakini atahakikisha anaipambania timu yake...

READ MORE

Yondani, Dante Wapewa Mbinu Za Kumzuia Okwi

WAKATI kikosi cha Yanga kikiwa katika maandalizi yake makali ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayochezwa Jumamosi...

READ MORE

Pluijm Apanga Kutibua Rekodi Ya Mtibwa

BENCHI la ufundi la timu ya Singida United ya Singida chini ya kocha wake mkuu, Hans van Der Pluijm, raia...

READ MORE

Ronaldo Awaburuza Messi, Neymar, Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2017

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Ureno na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Shirikisho la Soka...

READ MORE

Majimaji Yataja Kinachowabania Pointi Ligi Kuu – Video

BAADA ya kuwa na mwanzo mbaya katika Ligi Kuu ya Vodacom, Majimaji sasa imesema inajipanga kuamka na kufanya vizuri huku...

READ MORE

TFF Yaanika Viingilio Mechi ya Simba na Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya ya Watani wa Jadi (Yanga Vs Simba) itakayochezwa Oktoba 28 2017, Viingilio...

READ MORE

Simba SC Wamuweka Sokoni Kichuya

UONGOZI wa Klabu ya Simba umemuweka sokoni kiungo mshambuliaji wake, Shiza Kichuya kwa kukaribisha ofa kutoka klabu yoyote. Hivi karibuni...

READ MORE

FULL TIME: STAND UNITED 0-4 YANGA, KUTOKA UWANJA WA KAMBARAGE

FULL TIME DAKIKA 4 ZA NYONGEZA Dk 90, Stand wanapata mpira nje ya eneo la 18, mpigaji anapaisha juuuuu Dk...

READ MORE

Kiongozi Simba: Yanga Itaifunga Simba Oktoba 28

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe amesema kama timu yake itaendelea kuonyesha kiwango kama walichocheza dhidi...

READ MORE

Obrey Chirwa, Ajibu Watengenezwa Upya Yanga

  KATIKA kuhakikisha anaimarisha safu yake ya ushambuliaji, Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina ameanza kuwasuka upya washambuliaji, Ibrahim...

READ MORE

Bocco Out, Mavugo Ndani Dhidi ya Njombe Mji leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, hana hofu ya kumkosa mshambuliaji wake John Bocco kwani tayari ameshampata mbadala wake atakayeanza...

READ MORE

Saleh Ally: Baada Ya Makinikia, Barua Yangu Kwako Rais Magufuli

MAJUKUMU ya kusimamia utendaji bora katika nchi haliwezi kuwa jambo rahisi au dogo, lakini ningependa kutumia nafasi hii kufikisha ujumbe...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Kama Mourinho, Okwi, Mavugo na Boko Kicheko

MUDA mfupi tangu Jack­son Mayanja, raia wa Uganda aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba kutan­gaza kujiuzulu nafasi hiyo kutokana na kile...

READ MORE

Bifu Zito Conte vs Mourinho, Warushiana Maneno

VITA ya maneno baina ya makocha wakubwa wa timu mbili Chelsea na Manchester United inazidi kukolea, ambapo sasa kuna moto...

READ MORE

Buku ya Sokabet Yampa Milioni 2 Fundi Magari

MKAZI wa Mikumi mkoani Morogoro, Frank Chodaus amekuwa ni mmoja wa wanaonufaika na mchezo wa kubashiri matokeo kutoka kampuni ya...

READ MORE

Ajibu Amuingiza Mkenge Okwi

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Ibrahim Ajibu ametoa kauli ambayo inaweza kutafsiriwa kuwa ni kama ‘anamzuga’ mpachika mabao wa Simba, Emmanuel...

READ MORE

Simba Wamtambulisha Mrithi wa Mayanja

BAADA ya kupita siku moja tangu kocha msaidizi wa timu ya Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda aamue kujiweka pembeni...

READ MORE

Spoti Hausi LIVE: Timu Ya Man City Yatabiriwa Ubingwa wa EPL, Yanga na Simba Tanzania

Kipindi cha leo cha SpotiHausi kinajadili kuhusu kupanda na kushuka kwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na Ligi Kuu ya...

READ MORE

Hatuwezi Kuishi Jana, Simba Inastahili Mabadiliko Ya Ukweli

KLABU ya Simba ipo kwenye mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo hasa katika idara ya uongozi,...

READ MORE

Wakongwe Watakaowika NBA Msimu Huu

  WAKATI msimu wa Ligi Kuu ya Kikapu Marekani NBA ukianza mashabiki tayari wameshakaa sawa kushuhudia mechi kali ambazo zinatarajiwa...

READ MORE

Breaking News: Mayanja Atangaza Kujiuzulu Simba

Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amejiuzulu kuifundisha timu hiyo, huku akiweka bayana kwamba ni kutokana na sababu za kifamilia....

READ MORE

KAIMU KATIBU MKUU TFF ATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

  KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Wilfred Kidao, leo ametembelea ofisi za Global Publishers zilizoko Sinza-Mori...

READ MORE

Maxime: Upepo Umenibadilikia Kagera

MECKY Maxime ni miongoni mwa makocha bora wazawa, wanaofundisha timu za Ligi Kuu Bara akiwa na mafanikio makubwa tangu alipokuwa...

READ MORE

Ligi Ni Ngumu, Lakini Kilichowabeba Yanga Dhidi Ya Kagera Ni Hiki Hapa

JUZI Jumamosi, Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa...

READ MORE

Karibu Sanga, Bila Kuchelewa Nakukabidhi Kwa Karia

HATIMAYE kile kilichokuwa kinasubiriwa na wadau wengi wa soka kimetimia baada ya Kaimu Mwenyekiti wa Yanga kushinda uchaguzi wa Bodi...

READ MORE

Takwimu za Oktoba Zaibeba Yanga Dhidi Ya Simba

HOMA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Simba na Yanga katika ligi hiyo kwa mara ya kwanza msimu huu,...

READ MORE

Chirwa Aweka Rekodi Kaitaba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa, juzi Jumamosi alifanikiwa kuan­dika rekodi katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba tangu...

READ MORE

Tshishimbi Ampoteza Kamusoko Yanga

KIUNGO wa Yanga, Papy Tshishimbi, juzi Jumamosi alifanikiwa kuziba vyema pengo la kiungo wa timu hiyo, Mzimbabwe, Thaban Kamusoko katika...

READ MORE

Okwi Alivyoishusha Yanga Kileleni

SAA 24 tangu Yanga ipande kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa kuifunga Kagera Sugar, juzi Jumamosi, hatimaye...

READ MORE

Simba Wabanwa Bao 1-1 na Mtibwa Uwanja wa Uhuru Dar

MPIRA UMEKWISHAAAA GOOOOOOOOOOOOOO Dk 90+3 Okwi anaisawazishia Okwi kwa mpira wa adhabu, anaachia mkwaju mkali unaomshinda unaomshinda kipa Tinocco SUB...

READ MORE

Bilionea Wa Oman Amvaa Mo Simba

BILIONEA kutoka Oman ameonyesha nia ya kutaka kuwekeza Simba kwa kutaka kujitosa katika mchakato wa kununua hisa za klabu hiyo...

READ MORE

Niyonzima: Haikuwa Rahisi Kuondoka Yanga

HAIKUWA kazi rahisi kwa kiungo Haruna Niyonzima kuondoka Yanga na ku­jiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu akiwa ameichezea timu...

READ MORE

Kilio Chetu Kwa Waamuzi Bado Kinaendelea

KUNA wakati tunasema kuna aibu za kujitakia tu hilo linatokana na kama unafanya jambo la hovyo wakati ulikuwa na uwezo...

READ MORE

Simba Msipotwaa Ubingwa, Tafuteni Sababu Mpya Ya Kuwadanganya Mashabiki

KATIKA mchezo wa soka duniani kote kila mtu anafahamu kuwa raha ya mechi ni mabao na raha ya ligi ni...

READ MORE

Tumia Simu Yako Kuvuna Mkwanja Wa Sokabet

NDANI ya Sokabet unaweza kufanya michakato yako kupitia tovuti, pia unaweza kupata huduma kupitia huduma ya SMS, ni rahisi sana,...

READ MORE

Arsenal, Chelsea Wapigwa EPL, Man City Yampiga 7 Stoke City

  1.United wanazuilika kabisa, ilikuwa suluhu 3 ambayo haikuwa na mabao kati ya Liverpool na Manchester United, lakini mchezo wa...

READ MORE