×

Michezo

Kamwamba: Chichi Mawe Hamalizi Raundi 10

Israel Kamwamba – Malawi.   ISRAEL Kamwamba raia wa Malawi ni mpinzani wa Francis Miyeusho ‘Chichi Mawe’ ambaye anarekodi ya...

READ MORE

Nick Minaj Anasa Mimba Ya Bwana Wake Mpya

RAPA Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’ huenda amenasa ujauzito kutoka kwa bwana wake mpya ambaye pia ni rapa, Nasir Jones...

READ MORE

SHABIKI AVAMIA UWANJA KUMKUMBATIA WAYNE ROONEY!

Shabiki mmoja ameshindwa kujizuia baada ya kutoka jukwaani na kuingia hadi uwanjani kwenda kumkumbatiamshambuliaji wa Everton Wayne Rooney wakati wa...

READ MORE

VIDEO: Mtazame Wayne Rooney Alivyotikisa Nyavu za Gor Mahia

  Mjasiri haachi asili na akiacha asili si jasiri tena hiyo imedhihirika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam...

READ MORE

VIDEO: Shabiki Amvaa Wayne Rooney Uwanjani Mechi Ikiendelea

  MMOJA wa mashabiki wa Tanzania waliofika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam amejitoa ufahamu na kumvamia mshambuliaji...

READ MORE

FT: SportPesa Cup; Everton 2-1 Gor Mahia

FT: Everton 2-1 Gor Mahia Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 6 za nyongeza Dakika ya 87: Gor...

READ MORE

Pluijm: Hakuna Wa Kuisumbua Singida United

SINGIDA United ipo jijini Mwanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambapo tayari kocha wake, Hans van...

READ MORE

James Rodriguez Atua Bayern Munich

STRAIKA wa Real Madrid, Mcolombia, James Rodriguez ameondoka kwenye kikosi hicho baada ya kutua Bayern Munich kwa mkopo wa miaka...

READ MORE

Lukaku: Zlatan Kanipa Jezi Namba 9

STRAIKA mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku ameanza kazi klabuni hapo baada ya kukamilisha mchakato wa usajili akitokea Everton na...

READ MORE

Chelsea Kumpeleka Matic Inter Milan

KLABU ya Inter Milan inatarajiwa kutuma ofa ya kumsajili kiungo Nemanja Matic wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukataa kumuuza...

READ MORE

Cannavaro: Kwa Mcameroon huyu, Kichuya hatufungi…

SIKU chache tangu uongozi wa Yanga ukamilishe usajili wa kipa Mcameroon, Rostand Youthe, nahodha na beki wa kati wa timu...

READ MORE

Wayne Rooney Ndani ya Bongo ni Fursa Kwa Wabongo

TAYARI nchi imeshatikisika kutokana na ujio wa timu ya Everton ambayo kesho Alhamisi itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa...

READ MORE

Tambwe: Tukimpata Himid, Kazi Wanayo!

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesikia taarifa za kiungo mkabaji wa Azam FC, Himid Mao kutua katika timu hiyo...

READ MORE

BANDA: OKWI, BOCCO WATAITESA YANGA SC

  LICHA ya kwamba msimu ujao Abdi Banda hatakuwepo katika kikosi cha Simba, lakini amefunguka kuwa kikosi hicho kitatisha zaidi...

READ MORE

Omog Ashangaa Mayanja Kutaka Kutimuliwa Simba

HIVI karibuni uongozi wa Simba ulikuwa na mpango wa kutaka kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Mganda, Jackson Mayanja....

READ MORE

Mo aifanyia Umafia Yanga, Aipora Kiungo

HAKIKA vita ya wakubwa watoto wanatakiwa kukaa mbali, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bilionea wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’,...

READ MORE

Nsajigwa kocha mpya Yanga

  NAHODHA na mchezaji wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, rasmi ni kocha msaidizi wa timu hiyo. Nsajigwa aliyekuwa anaifundisha...

READ MORE

VIDEO: Mcheki Rooney Akipasha na Everton Uwanja wa Taifa -Dar

Mshambuliaji hatari aliyekuwa Manchester United na kuhamia Everton wiki iliyopita Wayne Rooney, ametua Bongo akiwa na klabu yake mpya ambayo...

READ MORE

SIMBA NA YANGA KUKUTANA AGOSTI 23 NGAO YA JAMII, OKTOBA 14 LIGI KUU BARA

Ligi Kuu Bara msimu ujao itawakutanisha vigogo Simba na Yanga Oktoba 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Rooney Yupo Bongo… Ukitaka Kumuona Buku 3

  STAA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney ambaye ametua nchini leo Jumatano na kikosi cha timu yake mpya...

READ MORE

Lwandamina amfungia kazi Ibrahim Ajibu

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, jana alitambulishwa na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake chini ya Kocha wa...

READ MORE

VIDEO: Wayne Rooney Alivyotua Ardhi ya Tanzania

  Mshambuliaji mpya wa  Everton, Wayne Rooney amewasili jijini Dar es Salaam akiwa na kikosi hicho kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

Breaking News: Everton Wawasili Dar, Wayne Rooney Yumo

  KLABU ya Everton ya Uingereza tayari imewasili katika ardhi ya Tanzania tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kesho dhidi...

READ MORE

MAMA SAMIA NDIYE MGENI RASMI EVERTON VS GOR MAHIA

Makamu wa Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Everton dhidi ya...

READ MORE

BAADA YA BANDA KULALAMIKA, SIMBA YATOA UFAFANUZI

Klabu ya Simba inapenda kutoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko ya mchezaji Abdi Banda ambae alilalalamika jana kupitia vyombo vya habari,kuwa...

READ MORE

IBRAHIM AJIBU APIGA TIZI YANGA KWA MARA YA KWANZA

Kuelekea msimu mpya wa 2017/ kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi ya kujifua kwa ajili ya msimu huo ambapo wamekutana kwenye...

READ MORE

JEURI! Singida Utd Yashusha Mashine Mbili, Yumo Mfungaji Bora Rwanda

  JEURI YA PESA! KLABU ya Singida United ambayo imepanda daraja msimu uliopita, ikiwa kwenye maandalizi ya michuano ya Ligi...

READ MORE

Everton Yaanika Jezi za Ugenini, Zitafunguliwa Taifa Keshokutwa

Everton FC ya England wamezitangaza rasmi jezi watakazozitumia watakapocheza kuivaa Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

ROMELU LUKAKU ATAMBULISHWA RASMI KUWA STRAIKA WA MANCHESTER UNITED

Klabu ya Manchester United imemtambulisha rasmi Romelu Lukaku kuwa mchezaji wa timu yao akitokea Everton kwa dau la pauni miliini...

READ MORE

MIKANDA YA UBINGWA WA GLOBAL TV HADHARANI (Video)

KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanza­nia (TPBO) imeiweka hadharani mikanda itakayogombaniwa katika mapambano ya Tubing wa Global TV, Afrika Mashariki...

READ MORE

Ngoma arudi kutibiwa Sauz

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, atachelewa kujiunga na timu hiyo baada ya madaktari kumhitaji kwa ajili ya kumfanyia vipimo...

READ MORE

YANGA: NAFASI YA DIDA BADO IPO WAZI

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa bado nafasi ya aliyekuwa mlinda mlango wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’, ipo...

READ MORE

Pluijm ataka kipa mpya Singida United

KOCHA Mkuu wa Singida United ya Singida, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, raia wa Uholanzi, ameutaka uongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Sikia Busara za Paul Pogba

PAUL Pogba bado anasubiriwa kuanza kufanya vitu vyake vilivyoifanya Manchester United ivunje rekodi ya dunia ili kumnasa msimu uliopita. Katika...

READ MORE

Mjadala wa kijinga wa Kingereza cha Mayanga na ulimbukeni wetu

INAWEZEKANA ikawa ni vizuri sana kuwa mtu ambaye unajivunia sana kujua lugha ya wenzako wakati ya kwako huijui vizuri? Mtu...

READ MORE

HUYU JAMAA KACHEZA SOKA MIAKA 25, HAKUPEWA KADI

STRAIKA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Gary Lineker, ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kuwa mcheza soka ambaye...

READ MORE

Mshahara mpya wa Lionel Messi kufuru tupu

  LIONEL Messi amesaini mkataba mpya unaomfanya alipwe mshahara ambao umevuka kiwango kinachotakiwa kulipwa kwa mchezaji, lakini Rais wa Barcelona,...

READ MORE

ARSENAL YAONGEZA DAU KWA LEMAR

ARSENAL imerudi mezani na ofa ya pauni milioni 40 (Sh bilioni 114.4) kwa ajili ya kumnasa winga matata wa Monaco,...

READ MORE

MAHREZ AONYWA KUPIGWA CHINI LEICESTER

KOCHA Craig Shakespeare amepanga kuzungumza na Riyad Mahrez lakini amekusudia kumuonya winga huyo kuwa kama akionyesha kutofanya juhudi ili kushinikiza...

READ MORE

Uhakika, Rooney Athibitisha Kutua Bongo

  Uhakika ni kuwa staa wa soka wa England, Wayne Rooney anatarajiwa kutua nchini Tanzania akiwa na kikosi chake cha...

READ MORE