×

Michezo

Prince Mpumelelo Dube Aanza Balaa Huko Yanga

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Prince Dube ameanza kujifua akiwa na klabu...

READ MORE

Eng. Hersi: Aziz Ki bado Hajasaini Nyongeza ya Mkataba Mpya

RAIS wa klabu ya Yanga , Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya...

READ MORE

Kuwa Milionea Kwa Kucheza Kasino za Meridianbet

Kuna michezo mingi sana ya Kasino, unapojiunga na Meridianbet unakuwa umepiga hatua ya kuukaribia ushindi. Cheza mchezo wa 420 Blaze...

READ MORE

Simba Wakamilisha usajili wa kiungo ‘mkata umeme’ Yusuph Kagoma

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo ‘mkata umeme’ Yusuph Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Singida Fountain...

READ MORE

Kipa wa Ihefu Khomeiny Aboubakar Khomeiny Atambulishwa Yanga

YANGA imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinda mlango Khomeiny Aboubakar Khomeiny akitokea lhefu FC. Kipa huyo mwenye umri wa miaka 25,...

READ MORE

Mstaafu Kikwete Na Mtoto Wa Manji Wazungumza Kwa Uchungu Maisha Ya Manji Hadi Kufariki – Video

Mtoto wa Marehemu Yusuf Manji, Mehbub amesema baba yake alikuwa akiipenda mno Klabu ya Yanga yenye makao makuu yake katika...

READ MORE

Chadrack Boka Atua Yanga Kuziba Pengo la Joyce Lomalisa

Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kushoto, Chadrack Boka (24) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka FC...

READ MORE

Jembe Afichua Alivyomshauri Manji Amsajili Tambwe – Video

Mwandishi wa habari na mchambuzi wa soka mahiri, Saleh Ally ‘Jembe’ amesema marehemu Yusuf Manji alikuwa rafiki yake wa karibu...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Akutana na Bodi ya Ushauri na Kutanya Kikao – Picha

Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji Julai 6, 2024 amekutana na Bodi ya...

READ MORE

Kocha wa Makipa Aipa Mkono wa Kwaheri Simba

Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri...

READ MORE

Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji wa Azam, Prince Dube

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Azam, Prince Dube (27) raia wa Zimbabwe kama mchezaji mpya...

READ MORE

Simba Yamsajili wa kiungo Omari Omari kutoka Mashujaa

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni...

READ MORE

Anza Siku yako kwa Kubashiri na Mabingwa Meridianbet

Siku ya leo unaweza kuanza kwa kusuka mkeka wako na kubashiri mechi za leo za Robo fainali ya EURO na...

READ MORE

Simba Yathibitisha kukamilisha uhamisho wa kiungo Debora

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha uhamisho wa kiungo Debora Fernandes Mavambo (24) kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars...

READ MORE

Simba Yamtangaza Fadlu Davids Kuwa Kocha Mpya

Klabu ya Simba imemtangaza Fadlu Davids (43) kuwa kocha wao mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Abdelhak Benchikha aliyeondoka kabla...

READ MORE

Gerson Msigwa Afichua Za Ndani Kabisa, “Rais Samia Ametoa Milioni 100 Kwa Taifa Stars – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa @gersonmsigwa amesema kama taarifa kwamba Ligi Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Huku Hispania kule Ujerumani Kitaumana Leo

EURO 2024 inaendelea kunoga zaidi ambapo leo hii Robo Fainali za kwanza kupigwa katika viwanja viwili. Meridianbet wanasema pesa ipo...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Kamati Ya Kitaifa AFCON 2027

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Luis Miquissone Arejea Kwenye Klabu Yake Ya Zamani Ya UD Do Songo

Aliyekuwa winga wa klabu ya Simba Sc Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa...

READ MORE

FC Lupopo Yataka kuifanyia umafia Yanga Kwa Boka

Klabu ya FC Saint Eloi Lupopo inataka kuifanyia umafia Yanga juu uhamisho wa beki wa kushoto Chadrack Issaka Boka ambaye...

READ MORE

COPA AMERICA: Argentina, Ecuador, Kukupa Maokoto Leo

Robo fainali ya COPA AMERICA kuanza kutikisa leo hii ambapo wewe mteja una nafasi ya kuitikisa akaunti yako kwa kupiga...

READ MORE

Stars Yapewa DRC, Ethiopia Na Guinea Kufuzu Afcon 2025

DROO ya kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika 2025, AFCON 2025 imefanyika leo Julai 4, 2024 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini...

READ MORE

Man United Kusikiliza Ofa ya Marcus Rashford Kwenda PSG

  Manchester United ipo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Marcus Rashford baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa mshambuliaji huyo...

READ MORE

Simba Yashusha Beki wa Kati Abdulrazack Mohamed Hamza raia wa Tanzania

Klabu ya Simba imemtambulisha beki wa kati, Abdulrazack Mohamed Hamza (23) raia wa Tanzania, akitokea klabu ya Supersport United ya...

READ MORE

Uzinduzi wa msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA yaongozana na upandaji miti Arusha

Arusha, Tanzania — Juni 29, 2024, Benki ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya...

READ MORE

Yanga Yathibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah

Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Okrah...

READ MORE

Breaking: Kocha Rhulani Mokwena apewa ‘Thank You’ na Mamelodi Sundowns

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya nchini Afrika Kusini imetoa taarifa rasmi kuhusu mustakabali wa kocha Rulani Mokwena. Mokwena anaondoka katika...

READ MORE

Chama Awaaga Rasmi Simba Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kawaaga rasmi Simba, kupitia ukurasa wake wa kijamii wa...

READ MORE

Shinda Mamilioni na Promosheni Hii ya Kasino

“Meridianbet imetambulisha Promosheni mpya ya kasino mtandaoni, inayotoa Mamilioni kwa washindi, Jisajili Meridianbet kuwa mshindi”

READ MORE

Simba Yatangaza kukamilisha uhamisho wa winga Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos

Klabu ya Simba Sc imetangaza kukamilisha uhamisho wa winga wa kulia, Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos ya nchini...

READ MORE

Sms Ya Mwisho Ya Manji Kwa Saleh Jembe, ”Aliniambia Anaamini Yanga Ilipofika Ni Sababu Yake”- Video

Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu...

READ MORE

Yanga Yapata Pigo Kifo Cha Yusuf Manji

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa kuwa umepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewahi kuwa...

READ MORE

Ujerumani Yatinga Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024

Ujerumani imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark...

READ MORE

Kuwa Milionea Leo Ukicheza Michezo ya Expanse

Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa Meridianbet, mgao wa Mamilioni unatoka muda wowote, chaguo ni lako cheza...

READ MORE

Azam Yaridhia Maombi Ya Dube Kuvunja Mkataba

Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa...

READ MORE

Simba Day Kufanyika Agosti 3 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Klabu ya Simba kupitia Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally hiyo imetangaza rasmi kuwa Tamasha la Simba Day...

READ MORE

Imeisha Hiyo, Mwamnyeto Anaendelea Kubakia Yanga

NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwengine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo. Mwamnyeto...

READ MORE

Joyce Lomalisa Atajwa Kutua Namungo msimu ujao

BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio, Beki Joyce Lomalisa (31) anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya...

READ MORE

Washindi Wiki Ya Tano Ya Kampeni Ya Zigo La Euro Na Hisense Walivyokabidhiwa Zawadi Zao

Dar es Salaam 28 Juni 2024: Washindi wa wiki ya tano ya Kampeni ya Zigo la Euro Na Hisense inayoendeshwa...

READ MORE

Mchezaji wa PSG afunguka ya moyo, acheza mechi na Vijana

Nyota wa PSG na timu ya Taifa ya Morocco, Ashraf Hakimi ameendelea na “Royal Tour” yake ya mapumziko nchini na...

READ MORE