×

Michezo

Pichaz: Mbunge Esther Matiko Apokea Medali Kwenye Michezo ya Mabunge Africa Mashariki

Mhe. Mbunge Esther N. Matiko (Tarime Mjini) akipokea Silver Medals kwa Mbio Mita 100, 200, 400, 800 na relay 400,...

READ MORE

Uganda Wanyakuwa Ubingwa wa Mashindano ya Mabunge, Wazichapa Tanzania & Rwanda

Timu ya wanaume ya Soka ya Bunge la Uganda imetwaa ubingwa katika Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya...

READ MORE

Exclusive: Ame Ali Aitema Simba, Agoma Kurejea Kikosini

Mshambuliaji Ame Ali amegoma kurejea katika kikosi cha Simba hivyo kuifanya klabu hiyo kuingia kwenye tafrani la kuhakikisha inasaka mshambuliaji...

READ MORE

Simba Yawatema Kipa Angban, Mshambuliaji Blagnon

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imeamua kumtema kipa wake Vicent Angban pamoja na mshambuliaji Frederic Blagnon. Uamuzi...

READ MORE

Exclusive: Mshambuliaji wa Lwandamina Atua Dar Usiku, Kusaini Simba

DAR ES SALAAM: Mshambuliaji Juma Luizio aliyekuwa akinolewa na kocha Mpya wa Yanga, George Lwandamina kunako Klabu ya wa Zesco...

READ MORE

Ronaldo Anyakuwa Ballon d’Or, Awavurugua Messi, Griezmann na Suarez

    BILA ubishi, unaweza kusema huu ni mwaka wa Cristiano Ronaldo hata kama unakwenda ukingoni. Hii inatokana na mafanikio makubwa...

READ MORE

Simba SC Yachezea Vitasa vya Mtibwa Sugar

KLABU ya Simba ikiwa na kipa wake mpya Daniel Agyei, jana imekubali kichapo cha mabao 2-1 katika mechi dhidi ya...

READ MORE

Ratiba ya 16 bora Ligi Ya Mabingwa Ulaya Hii Hapa

Ratiba ya timu zilizoingia 16 bora Ligi ya Mabingwa imetoka leo Manchester City vs AS Monaco Real Madrid vs Napoli...

READ MORE

Ronaldo Uwanjani, Makampuni Yanamtupia tu Mamilioni

Na Saleh Ally } Championi Makampuni mbalimbali yanayofanya kazi ya mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo yanamfanya kuwa mwanamichezo...

READ MORE

Ishu ya Hassan Kessy: Yanga Yapigwa Faini, Yatakiwa Kuilipa Simba Sh Milioni 50

Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za...

READ MORE

Yanga Kumuaga Mbuyu Twite kwa Mechi Dhidi ya JKU J’mosi

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC keshokutwa Jumamosi watamuaga beki wao kiraka ambaye ni raia wa...

READ MORE

Hii Ndiyo Kazi Atakayoifanya Christiano Ronaldo Baada ya Kustaafu Soka

Licha ya uwekezaji ambao anaofanya CR7 kwenye vitu mbalimbali bado anataka kufanya kazi nyingine akimaliza kucheza soka. Akiongea na jarida...

READ MORE

Yanga Imemtema Mbuyu Twite

DAR ES SALAAM: Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Young Africans, wameamua kuachana na Mbuyu Twite na nafasi yake...

READ MORE

Siri Imevuja, Kumbe Mshindi wa Ballon d’Or 2016 Ameshajulikana, Bofya Hapa

Gazeti la Hispania ‘Mundo Deportivo’ Jumanne lilitoka na taarifa kwamba, mshindi wa Ballon d’Or 2016 tayari anafahamika. Habari hiyo iliwastusha...

READ MORE

Kiungo Mghana Atakayeziba ‘Pengo’ la Mkude Alitua Jana, Kumalizana na Simba Leo

DAR ES SALAAM: Kiungo ambaye ni raia wa Ghana anayeaminika kuwa amekuja atajiunga na Klabu ya Simba yenye makao yake...

READ MORE

Ratiba ya VPL Raundi yaPili Msimu wa 2016/2017

RATIBA YA VPL RAUNDI YA PILI MSIMU WA 2016/2017 by Anonymous hQ1qtmTx on Scribd Ratiba Ya Vpl Raundi Ya Pili...

READ MORE

FA Yawashtaki Manchester City na Chelsea

Klabu za Manchester City na Chelsea zimeshtakiwa na FA kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wakati wa mechi ya Ligi ya Premia...

READ MORE

Waziri wa Michezo, Nape Atuma salamu za Rambirambi Kifo cha Mchezaji Ismail wa Mbao FC

SOKA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu mchezaji...

READ MORE

Fellaini Aiingiza Mkenge Man United, Mourinho Ajikosha

Leighton Baines aliifungia kwa mkwaju wa penalti klabu yake ya Everton na kuiwezehsa kupata sare ya 1-1 dhidi ya Manchester...

READ MORE

Niliongea na Mwanangu Saa Chache Kabla ya Kifo Chake – Baba Mzazi wa Ismail

BABA mzazi wa marehemu Ismail Mrisho Khalfan aliyefariki jana akiwa uwanjani, Khalfan Mrisho   aishiye jijini Mwanza amesema kwa mara...

READ MORE

Kikosi Cha Azam Kuhamia Kujiweka Sawa

Wachezaji wa Azam wakifanya mazoezi. Kikosi cha Azam FC, kesho kutwa Jumatano kinatarajiwa kwenda visiwani Zanzibar kuweka kambi ya muda...

READ MORE

Picha ya Mkude na Msuva Wakiwa Pamoja Ndani ya Gari Yazua Gumzo

Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, gumzo ni wachezaji wawili, Simon Msuva wa Yanga na Jonas Mkude wa Simba. Wawili hao...

READ MORE

Mchezaji wa Mbao FC Agongana na Mchezaji wa Mwadui FC, Afariki Uwanjani!

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 ya mkoani Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki...

READ MORE

EPL: Man City Akiwa Nyumbani Amepigwa 3-1 na Chelsea

KATIKA Mechi ya EPL iliyopigwa leo katika Uwanja wa Etihad nchini Uingereza, Manchester City amepigwa bao 3-1 dhidi ya klabu...

READ MORE

Mkude Aeleza Sababu Ya Kuwazimia Simu Viongozi

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude. Kuna ule msemo hivi, Ukimwaga ugali wenzio wanamwaga mboga! Sasa Simba imepanga kumwaga mboga baada...

READ MORE

El Clasico, Leo ni Vita ya Real Madrid Vs Barcelona

GUERRA de El Clasico yaani Vita ya El Clasico ndiyo habari ya leo. Guerra de El Clasico ni maneno ya...

READ MORE

Ajali ya Colombia: Ndege Ilichelewa Kupata  Mafuta Kituo Kilichofuata

  Mabaki ya ndege iliyoanguka nchini Colombia ikiwa na wachezaji wa klabu ya Chapocoense ya Brazil. Eneo la milima ilipoanguka ndege...

READ MORE

Serikali Yairuhusu Yanga kutumia Uwanja wa Taifa

Serikali imesaini Mkataba na Klabu ya Yanga kutumia Uwanja Mkuu wa Taifa pamoja na Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya...

READ MORE

Timu iliyopata ajali Brazil yatakiwa kucheza mechi

SANTOS, Brazil LICHA ya kupoteza wachezaji wengi katika ajali ya ndege iliyotokea wiki hii, timu ya Chapecoense inaweza kulaz­imika kuingia...

READ MORE

Mtoto wa Zidane aanza yake Real Madrid

MADRID, Hispania MTOTO wa Kocha wa Real Madr id, Zinedine Zidane, anayejulikana kwa jina la Enzo, juzi al­iichezea timu hiyo...

READ MORE

Mkude Awazimia Simu Simba SC

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HAKIKA unaweza kushangazwa na namna Simba inavyohaha kuwa­bakiza vijana iliowalea na taarifa zinasema kijana aliyepewa...

READ MORE

Kiungo Mkabaji, Justine Zulu Asaini Miaka 2 Yanga

Zulu akisaini mkataba wa miaka miwili na Yanga. Kiungo mkabaji raia wa Zambia, Justice Zulu leo amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Hizi Ndizo Ajali 8 za Ndege Zilizowahi Kuzikumba Timu za Michezo

Kuanzia ajali ya ndege ya Munich ambayo iliangamiza mabingwa mara tano wa timu ya soka ya Italia, Torino na timu...

READ MORE

Diafra Sakho Nje ya Uwanja Wiki Sita

Mshambuliaji wa Klabu ya West Ham United na Timu ya Taifa ya Senegal, Diafra Sakho atakua nje ya uwanja kwa...

READ MORE

Masikitiko Tena! Kipa wa Brazil Aliyenusurika Ajali ya Ndege Naye Afariki Dunia

         MWANASOKA wa Brazil aliyejiondoa katika mabaki ya ndege iliyoanguka nchini  Colombia Jumatatu usiku, alimpigia simu ya mwisho mkewe muda...

READ MORE

Yanga Chini ya Lwandamina Yazidi Kujifua Tayari kwa Mzunguko wa Pili wa VPL

Wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Polisi, Kurasini chini ya kocha mkuu George Lwandamina pamoja na...

READ MORE

FA Kumuadhibu Jose Mourinho

Chama cha soka cha nchini England FA, kimemfungulia mashitaka Meneja wa Manchester United Jose Mourinho kufuatia tukio la kupiga teke...

READ MORE

Ajali; Ndege Iliyobeba Wanasoka wa Brazil Yaanguka Colombia, Yaua 76, Watano Wanusurika 

Mabaki ya ndege iliyoanguka. Kabla ya kuanza safari timu hiyo ilipiga selfie hizi. Ndege iliyoanguka hii hapa. Mmoja wa wachezaji...

READ MORE

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) 2016/17

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kufikia 27 Novemba, 2016 Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Chelsea 13 19 31...

READ MORE