×

Michezo

Morrison Apewa Masharti Mapya Yanga Atakiwa Kutofanya kosa Lolote

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, amerejea kikosini baada ya kutatua matatizo yake na uongozi pamoja na...

READ MORE

SportPesa Yatoa Taarifa ya Kusikitishwa na Yanga Waitaja “Visit Tanzania”

Kampuni ya kubashiri ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa sana na uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa Young Africans SC wa...

READ MORE

Moses Kaluwa Agomea Matokeo Uchaguzi Simba Afunguka Mazito, Agomea Kusaini

ADVOCATE Moses Kaluwa, aliyekuwa anawania nafasi ya Mwenyekiti wa Simba kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi Jumapili, ameweka wazi kuwa, hajaridhishwa...

READ MORE

Xabi Alonso Atajwa Kumrithi Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, Kikosi Kubadilika

INAELEZWA kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo...

READ MORE

Kigogo Simba Atoa Tamko kwa Mashabiki na Wanachama Kufunga Mjadala wa Uchaguzi

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo, kufunga mjadala wa...

READ MORE

Yanga Yazindua Jezi Maalum Zitakazotumika Kwenye Mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF

Yanga imezindua jezi maalum ambazo itazitumia kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF [CAF Confederation Cup] 2022|23 kuanzia hatua...

READ MORE

Matokeo Walioshinda Nafasi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba – Video

Walioshinda nafasi ya wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba katika uchaguzi uliofanyika jana Januari 29 na...

READ MORE

Murtaza Mangungu Ashinda kiti cha Uenyekiti Simba kwa Mara Nyingine – Video

Murtaza Mangungu ameshinda kiti cha Uenyekiti wa klabu ya Simba kwa mara nyingine tena akimpiga chini mgombea Mwenza Moses Kaluwa...

READ MORE

Yanga: Tunachukua Tena Kombe la ASFC… leo Jumapili Kuvaana na Rhino Rangers

WAKIWA wanashuka uwanjani leo Jumapili kuvaana na Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports...

READ MORE

Mangungu, Kaluwa Ngoma Nzito Simba, leo Jumapili Kufanya Mkutano Mkuu

KLABU ya Simba, leo Jumapili inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo ishu ya uchaguzi mkuu wa kuchagua mwenyekiti...

READ MORE

Waarabu Watuma Mashushushu Yanga Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

KOCHA Mkuu wa Klabu ya US Monastir ya Tunisia, Darkov Novic ameweka wazi kuwa wanatambua wapinzani wao Yanga ni miongoni...

READ MORE

Erik ten Hag: Manchester United Watanyanyua Taji Msimu Huu

KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag alisema kwamba timu yake ina nafasi nzuri ya kushinda taji lao la kwanza...

READ MORE

Meridianbet Wanatoa Odds Bomba Mechi za Wikiendi Mambo ni Moto!

Wikiendi hii ni ya kibabe Zaidi ikisindikizwa na Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet, ni FA Cup, Serie A, La...

READ MORE

GGML: Uwanja Mpya wa Geita Gold FC Kukamilika Mei

  NA MWANDISHI WETU UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita...

READ MORE

Mgunda Ashusha Presha Simba Awataka Mashabiki Kutulia Mechi za Ligi ya Mabingwa

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amewataka mashabiki wa timu hiyo kutulia kwa kuwa mikakati yao ya kutaka kufanya vizuri...

READ MORE

Kocha Nabi Aweka Rekodi mpya Yanga Aziacha Mbali Simba na Azam

BAADA ya kikosi cha Yanga chini ya Kocha Nasreddine Nabi kugotea kwenye mechi 49 mfululizo kucheza bila kupoteza katika Ligi...

READ MORE

Alichokifanya mbele ya Nabi… Mamadou Doumbia Gumzo Yanga

KAZI aliyopiga kwa siku chache alizofanya mazoezi na Yanga, kumemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe afungue...

READ MORE

Simba Yamtangaza Imani Kajula Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu Mpya (CEO)

KLABU ya Simba leo Januari 26, 2023 imemtangaza Imani Kajula kuwa Mtendaji Mkuu (C.E.O), ambaye anachukua nafasi ya Barbara Gonzalez...

READ MORE

Ishu ya Kocha wa Simba Roberto Oliveira, Maswali Ni Mengi Kuliko Majibu

“KOCHA Mkuu, Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni...

READ MORE

Parimatch Tech Yawa GR8 Tech

  Kampuni mpya ya teknolojia imeingia katika soko la kimataifa la iGaming B2B wiki hii: GR8 Tech. Kama mrithi wa...

READ MORE

Kocha wa Simba Atenga Programu ya Siku Mbili kwa Mastaa Akiwemo Baleke, Chama

KIKOSI cha Simba jana Jumanne kilirejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja, huku Kocha Mkuu Mbrazili, Robert Olvieira ‘Robertinho’...

READ MORE

Kiungo Mrundi Gael Bigirimana Akubali Yaishe Yanga Avunja Mkataba, Atimka Kwao

MARA baada ya kufikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga, kiungo Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe...

READ MORE

Kocha wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Awachambua Baleke, Sawadogo

  KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema wachezaji wake wapya, Ismael Sawadogo na Jean Baleke, wamekosa fitinesi...

READ MORE

Simba Queens ‘The Galacticos’… Ndani Ntiti, nje Ntiti Yatawala ligi ya Wanawake

KWA miaka takribani minne sasa, kwenye soka la Wanawake Tanzania, kuna klabu moja tu ambayo imejiweka kwenye ukurasa wake wa...

READ MORE

Simba Wazungumza Ujio Wa Al Hilal nchini Kucheza Februari 5 Uwanja wa Mkapa -Video

Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya...

READ MORE

Fiston Mayele Awatumia Salamu Nzito Ruvu Kitawaka Leo Uwanja wa Mkapa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa atahakikisha kuwa anaisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ligi...

READ MORE

Mwaka Mpya Umeanza Na Kimbunga Cha Zawadi Kem Kem Januari Hii Kutoka Meridianbet Kasino

  Meridianbet Kasino itawafurahisha washindi 3 wenye bahati kwa kuwapatia zawadi mbalimbali, ni kwa kucheza michezo yeoyote ya kasino ya...

READ MORE

Mbivu na Mbichi Kujulikana leo katika Uwanja wa Emirates, Arsenal vs Man United

MBIVU na mbichi zitajulikana leo katika Uwanja wa Emirates ambao kwa sasa mashabiki wa Arsenal wanauita jehanamu ya soka kutokana...

READ MORE

Kocha Simba Mtegoni leo Kuikabili Dodoma Jiji bila uwepo wa Chama, Mzamiru

NGOMA ni nzito leo kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira raia wa Brazil kuikabili Dodoma Jiji bila uwepo...

READ MORE

Yanga Yawaandalia dozi Ruvu Shooting Uwanja wa Mkapa Kesho Jumatatu

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, mara baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara, sasa...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yasogeza Mbele Mechi Kariakoo Dabi Simba Dhidi ya Yanga

  BODI ya ligi Kuu Tanzania  TPLB, imetangaza mabadiliko ya tarehe ya michezo yote ya mzunguko  wa 26  ligi kuu...

READ MORE

Chama Avunja Ukimya Atoa Tamko Zito Simba

    KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama amesema kuwa kwake ambacho anakiangalia ni kuona timu inapata mafanikio kisha mengine...

READ MORE

Wikiendi Yenye Mechi Kubwa Na Kali Liverpool Vs Chelsea, Arsenal Vs Man Utd, Man Cty Vs Wolves, Serie A Kutawaka Moto Na La Liga Ni Barca Na Real Madrid

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti...

READ MORE

Bondia Karim Mandonga Apewa Zawadi ya Gari mpya Aina Subaru Impreza – Video

Bondia Karim Mandonga leo amefanikiwa kupewa zawadi ya gari mpya aina Subaru Impreza iliotolewa na Kampuni ya Mo Green International...

READ MORE

Bosi Simba Afunga Mjadala Wa mshambuliaji Wao Mpya Jean Baleke

BAADA ya kuenea kwa taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke kwamba ametua hapo kwa mkopo akitokea TP...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi Aichambua Pacha ya Mayele, Musonda

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema anatarajia matunda mazuri kutoka kwa washambuliaji wake wawili, Kennedy Musonda na Fiston Mayele...

READ MORE

Straika mpya Yanga Kennedy Musonda Aichimba Mkwara Mzito Simba

BAADA ya kuanza kuitumikia Yanga, straika mpya wa timu hiyo, Mzambia, Kennedy Musonda, ameweka wazi kuwa anajua miongoni mwa michezo...

READ MORE

Marcus Rashford Awaita Mezani Man United Majadiliano juu ya Mkataba Mpya

MANCHESTER United na Marcus Rashford wanaripotiwa kuendeleza majadiliano juu ya mkataba mpya na klabu hiyo ambayo inaaminika kuwa wanataka kumpa...

READ MORE

Expanse Studio na Meridianbet Kuzindua Sloti Mpya

Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni– Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse...

READ MORE

Musonda Akutana Na Kigingi Cha Kwanza Yanga, Kocha Atoa Onyo kwa Wachezaji

KATIKA kuhakikisha anatengeneza nidhamu ya mastaa wake, Kocha Mkuu Yanga Mtunisia Nasreddine Nabi ametembeza mkwara mzito kwenye kambi ya timu...

READ MORE