×

Michezo

Umri ni Namba Tu kwa Wababe Hawa Wawili wa Soka Waliogoma Kustaafu Ulaya

JOAQUIN Sanchez Rodriguez mwenye umri wa miaka 41, alizaliwa Julai 21, 1981 huko El Puerto de Santa Maria huko Hispania....

READ MORE

Chelsea Yamtia Kitanzi James, Sasa ni Beki Anayepokea Mshahara Mkubwa Klabuni

KLABU ya soka ya Chelsea ya nchini Uingereza imemtia kitanzi mlizni wake wa kulia Reece James kwa kumpatia mkataba mnono...

READ MORE

Barcelona Yaingiza Vipengele vya Kupunguza Mishahara Katika Mikataba ya Wachezaji

BARCELONA ilikumbwa na changamoto kubwa ya kifedha chini ya Rais wa zamani Josep Maria Bartomeu miaka miwili iliyopita, ambapo licha...

READ MORE

Manara Amchana Mwakinyo, Amuita Muongo, Lofa, Mwakinyo Ajibu Mapigo

JUZI, Septemba 3, 2022 Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo alipoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza, Liam Smith kwa TKO raundi ya...

READ MORE

Pambano la Mwakinyo na Mzungu Kurudiwa Mwakani, Mwenyewe Apania Kurekebisha Makosa

BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema kutokana na refa wa pambano la jana kuwa ‘unfair’ kwake, Promota Benjamin Shalom, sasa wamefikia...

READ MORE

Usajili wa Tuisila Kisinda Wazua Utata, TFF Yaibuka na Kutoa Tamko Rasmi

  MCHEZAJI wa Klabu ya Yanga Tuisila Kisinda ambaye amejiunga na klabu hiyo akitokea Rs Berkane amezuiliwa kucheza baada ya...

READ MORE

Arsenal Wakosoa Uamuzi Laini wa VAR wa Kukataa Bao Lao Dhidi ya Manchester United

KOCHA mkuu wa Arsenal Mikel Arteta na nahodha wa timu hiyo Martin Odegaard wamekosoa uamuzi wa kukataliwa kwa bao la...

READ MORE

Mabosi Yanga Wampa Winga Mcongo Sh 350Mil Kutokea RS Berkane ya Morocco

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 350Mil kumrejesha winga wake Mkongomani, Tuisila Kisinda kutokea RS Berkane ya Morocco ambapo...

READ MORE

Kocha Yanga Atibua Mitego Kambi ya Azam FC kabla ya Dabi ya Dar es Salaam

WAKATI zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya Dabi ya Dar es Salaam ipigwe, Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia Nasreddine Nabi...

READ MORE

Mayele: Kwa Tuisila Kisinda? Nitafunga Sana Ligi Kuu na Mashindano Mengine

  KISINDA kaja? Nitafunga sana. Hivyo ndivyo alivyoanza kusema straika wa mabao wa Yanga, Fiston Mayele akizungumzia juu ya usajili...

READ MORE

Taifa Stars Yaondolewa Mbio za Kuelekea CHAN, Yaambulia Kipigo Kingine Uganda

  TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeambulia kipigo kingine cha pili dhidi ya Uganda cha mabao 3-0 katika...

READ MORE

Hii ni Wiki ya Derby, Dabika na Meridianbet na Ushinde Mihela

Mechi ni nyingi lakini kubwa kuliko ni Milan Dabi na London Dabi zote zitapigwa hii leo, nafasi ni yako ya...

READ MORE

Mbappe Achoka Kusikia Habari za Kurogwa Ataka Kuujua Ukweli, Amvutia Simu Pogba

KULINGANA na vyanzo vya habari vya kuaminika nchini Ufaransa Kylian Mbappe sasa ameonekana kuchukua hatua kwa kumpigia simu Paul Pogba...

READ MORE

Bondia Hasaan Mwakinyo na Mpinzani Wake Liam Smith Raia wa Uingereza Wamepima Uzito

TAYARI bondia Hasaan Mwakinyo na mpinzani wake Liam Smith raia wa Uingereza wamepima uzito muda mfupi uliopita katika Hoteli ya...

READ MORE

Mapinduzi Kwenye Soka la Wanawake, Simba Queens Yazidi Kuonesha Ukubwa Wake

LEO Septemba 2, 2022 wadhamini rasmi kwenye maswala ya usafiri wa klabu ya Simba ambao ni Africarriers wamekabidhi basi jipya...

READ MORE

Geita Gold Yalamba Fedha za Udhamini Mpya, Yaelekeza Nguvu Kimataifa

KAMPUNI ya uuzaji wa magari makubwa na mitambo GF Trucks imemwaga udhamini wa mwaka mmoja kwa timu ya Geita Gold...

READ MORE

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele Atamba Kuifunga Tena Azam Septemba 6

  MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Fiston Mayele, amesema kuwa, malengo yao ni kuhakikisha wanaendelea kupata matokeo mazuri katika mchezo ujao...

READ MORE

Mwakinyo Kupanda Ulingoni London Septemba 03, 2022

BONDIA namba moja nchini Hassan Mwakinyo, Jumamosi hii Septemba 03, 2022 atapanda ulingoni kuzichapa na bondia Liam Smith wa Uingereza...

READ MORE

Haaland ni Moto wa Kuotea Mbali, Mapemaa! Ameanza Kuvunja Rekodi Ligi Kuu Uingereza

BAADA ya kikosi cha Manchester City kuiadhibu Nottingham Forest klabu iliyopanda ligi kuu Uingereza msimu huu kwa kichapo cha mabao...

READ MORE

Fiston Mayele, Stephane Aziz Ki Ki Waongezewa Mbinu Yanga Mabeki Wajipange

  KATIKA kuhakikisha wanapambana na mabeki jeuri na wababe uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amebadili gia na...

READ MORE

Mshambuliaji Tuisila Kisinda Arejea Yanga, Klabu Yathibitisha Baada ya kuachana na Berkane

  Klabu ya Yanga imethibitisha kumrejesha mshambuliaji Tuisila Kisinda (22) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo klabuni baada ya...

READ MORE

Djuma Shabani Atangaza Vita Mpya Ligi Kuu Licha ya Kuibuka na Ushindi Katika Michezo Miwili

BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amesema kuwa licha ya kuibuka na ushindi katika michezo miwili mfululizo ya ligi...

READ MORE

Pique Hatihati kutolewa Kwenye Kikosi cha Kwanza cha Barcelona, Kutokana na Kupungua kwa Ufanisi Wake

KOCHA wa Barcelona Xavi Hernandez  ana mpango wa kumuondoa beki mkongwe wa Barcelona na timu ya taifa ya hispania Gerald...

READ MORE

Nabi Apewa Mchongo CAF, Sasa Yanga Washindwe Wenyewe Dhidi ya Al Hilal ya Sudan

KUELEKEA katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Msaidizi wa AS Vita ya Rwanda, Raul Shungu, amempa ushauri Kocha...

READ MORE

Pulisic Achukia Kuwekewa Kigingi Dili Lake la Kutoka Kwa Mkopo Chelsea

JUHUDI za Christian Pulisic kuondoka Chelsea dirisha hili la usajili wa majira ya joto zimezuiwa na klabu hiyo. Winga huyo...

READ MORE

Zoran Maki Afurahia Muunganiko wa Safu ya Ushambuliaji ya Chama, Phiri na Okrah

KOCHA MKUU wa Simba Zoran Maki amefurahia muuganiko wa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Clatous Chama, Augustine Okrah na Moses...

READ MORE

Yanga Yapigwa Faini ya Shilingi Milioni Moja na Laki Tano (1,500,000) Ligi Kuu Bara

Klabu ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya shilingi milioni moja na laki tano (1,500,000) baada ya kukutwa na hatia...

READ MORE

Baada ya Kipigo Kizito Kutoka Liverpool, Bournemouth Wamfukuza Kocha Wao

KLABU ya mpira wa miguu kutoka nchini Uingereza,Bournemouth imemfuta kazi kocha wake Mkuu Scott Parker ikiwa ni mechi nne pekee...

READ MORE

Baada ya Udhamini Wa Mbeya City, Parimatch Waja na Ushindi Dabo dabo

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki...

READ MORE

Azam FC Yamng’oa Kocha Moalin Pamoja na Msaidizi Wake, Wapewa Majukumu Mapya

KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya kusitisha kandarasi ya Kocha wake Mkuu Abdihamid Moalin pamoja na na msaidizi wake...

READ MORE

Katika Tukio la Kushtusha Aubameyang Avamiwa Nyumbani Kwake, Apigwa na Kuibiwa

MCHEZAJI wa klabu ya FC Barcelona ya nchini Uhispania raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na watu wenye silaha nyumbani...

READ MORE

Serena William Kustaafu Mchezo wa Tenis Katika Michuano ya US open

SERENA (40) anatarajia kutoa ujumbe wa kuaga mashabiki wake na mashabiki wa mchezo wa Tenis. Mshindi huyo mara 23 wa...

READ MORE

Pogba: Wanafanya Njama Niwape Pesa, Kaka Yangu Anahusika Pia.

KUFUATIA maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba    siku...

READ MORE

Huyo Kambole ni Moto Hatari, Amkosha Nabi Mazoezini, Atengeneza Pacha na Aziz Ki

  KUREJEA kwa mshambuliaji Mzambia Lazarous Kambole kumemlazimu Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi kutengeneza kombinisheni mpya ya ushambuliaji...

READ MORE

Taifa Stars Ipo Tayari Kuivuruga Uganda leo Jumapili Uwanja wa Mkapa, Dar – CHAN

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa...

READ MORE

Kocha Simba Aifurahia Kombinesheni ya Clatous Chama, Okrah na Moses Phiri

  KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki, ameufurahia muunganiko wake wa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Clatous Chama, Augustine Okrah...

READ MORE

Fofana Kwenda Chelsea ni Suala la Muda Tu, Usajili Wake Watajwa Kuweka Rekodi ya Dunia

MLINZI wa klabu ya Leicester City raia wa Ufaransa Wesley Fofana anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mabingwa mara...

READ MORE

Man United Yaingila Dili la Aubameyang, Barca Yashikilia Msimamo Wake

KLABU ya Manchester United imeingilia dili la usajili wa Pierre Emerick Aubameyang anayetarajiwa kutimkia Chelsea kuungana na kocha wake wa...

READ MORE

Nahodha wa Man United Akalia Kuti Kavu, Kocha Atoa Kauli Nzito Dhidi Yake

KOCHA wa Manchester United Erik Ten Hag ametoa kauli nzito kuhusu hatima ya nahodha wa klabu hiyo muingereza Harry Maguire....

READ MORE

Onyango Atajwa Kukosa Furaha Sababu ya Kupigwa Benchi

BEKI anayekipiga katika timu ya Simba Sc, Joash Onyango kutoka nchini Kenya ametajwa kutokuwa na furaha baada ya Kocha Zorani...

READ MORE