
Browsing Category
Students’ Corner
Video: Jionee Mtoto Mdogo Akiongea Kingereza Balaa, Utapenda!
Shule ya St Mary iliyopo Mbezi Beach ni moja ya Shule inayomilikiwa na Mchungaji Mama Getrude Lwakatare ambayo inapokea wanafunzi wa rika tofauti kuanzia chekechea hadi kidato cha nne.
Wasiliana nao kwa simu namba.
0652 741 987…
Kidato cha Nne Waanza Mtihani wa Taifa
Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa kufanya mtihani huo kwa mwaka 2019 na kati yao wa shule ni 433,052 na 52,814 wa kujitegemea.
…
Majina ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Awamu ya Tatu 2019/20
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya tatu ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo yenye jumla ya wanafunzi 4785 wa mwaka wa kwanza wa masomo 2019/2020.
Wanafunzi hao wamepata mikopo yenye thamani…
Global Publishers Yazindua Jipange na Pepa Kwa Kishindo
Mitihani ni miongoni mwa mambo yanayoogopwa na wanafunzi wote, wa ngazi zote! Kuanzia wanafunzi wa shule za msingi, sekondari mpaka vyuo, wanaposikia kuna mitihani, huchanganyikiwa, hujawa na hofu na wengi hukata tamaa!
…
Matokeo Darasa la Saba Yatangazwa, Yapo Hapa
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba uliofanyika Septemba 11, 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909…
Orodha ya Wanafunzi Waliopata Mkopo 2019/20
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 30,675 wa Mwaka wa Kwanza kwa mwaka wa masomo 2019/2020 waliofanikiwa kupata mikopo yenye thamani ya TZS 113.5 bilioni.
…
HESLB Kuanika Majina ya Wanafunzi Watakaopata Mikopo 2019
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itatangaza orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi walioomba na kupangiwa mikopo Alhamisi, Oktoba 17 mwaka huu.
Hatua hiyo inafuatia kukamilika kwa kazi ya uchambuzi…
Wanafunzi Vinara na Shule Zilizoongoza Matokeo Darasa la 7
Shule 10 Bora Kitaifa Katika matokeo ya Darasa la Saba 2019 ni Graiyaki (Mara), Twibhoki (Mara),KemeBos (Kagera), Little Treasures (Shinyanga), Musabe(Mwanza),Tulele(Mwanza), Kwema Morden (Shinyanga), PeaceLand (Mwanza), Mugini (Mwanza) na…
Dar es Salaam Kinara wa Matokeo ya Darasa la Saba 2019
Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba mwaka 2019. Nafasi ya pili ni Arusha na Iringa ukishika nafasi ya tatu, Mikoa mingine ni Kagera (4), Katavi(5) Kilimanjaro(6), Mbeya(7),…
Biology Q&A Form IV: The Effects of Growth
HII ni kolamu ambayo itakuwa mahususi kwa ajili ya wanafunzi wa O-Level na Advanced level, ambapo tutakuwa tunatazama namna ya kujibu kwa ufasaha maswali yanayoulizwa sana kwenye mitihani ya taifa (NECTA).
Kwa kuanzia, tunatazama maswali…
Costech Yamwaga Milioni 320 kwa Vijana Wabunifu wa Dijitali
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH ), kwa kushirikiana na Ubalozi wa Denmark nchini, imekabidhi mtaji wa zaidi ya shilingi milioni 320 kwa vijana washindi 24 ambao wameandaa mawazo bunifu ya kibiashara na…