×


FacebookUwazi


Shilole:Mimi kuwa mjamzito, shida nini?

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ana ujauzito, paparazi wetu alimtafuta na kumbana juu ya hilo ambapo mwenyewe…

SOMA ZAIDI


FAGIO KALI CCM

HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna baadhi ya makada wa chama…

SOMA ZAIDI

TATIZO LA KUWASHWA MWILI NA TIBA YAKE

KUWASHWA katika ngozi ya mwili ni kitu kinachomfanya mwanadamu kukosa utulivu kutokana na kero anayopata. Hutokea mwanadamu kukumbwa na muwasho wa hata kuaibisha ikiwamo ule…

SOMA ZAIDI


DEREVA BAJAJ YAMFIKA MAZITO!

DEREVA wa Bajaj aliyefahamika kwa jina la Noel Razaro (30) kutoka Mtwara yamemfika mazito baada ya kupata ajali mbaya iliyomsababishia kupooza kuanzia kiunoni kwenda chini. …

SOMA ZAIDI

NAMUONA LULU NDANI YA JENNIFER KANUMBA

KWA wafuatiliaji wa filamu tangu enzi zile ambazo filamu ilikuwa filamu kwelikweli, watakuwa wanamkumbuka vizuri binti mdogo aliyekuwa akifahamika kwa jina la Hanifa Daudi ‘Jennifer…

SOMA ZAIDI