×

Uwazi

RADI YAPENYA CHUMBANI, YAUA MAMA NA MWANAYE, WATU 6 HOI

NI simanzi kuu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia ya Mbwana Said, mkazi wa Kimanzichana wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani kukumbwa...

READ MORE

ASINGIZIWA KUMBAKA BINTIYE, AFUNGWA MAISHA, MKE AKOMBA MALI

DUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...

READ MORE

TUKIWAPENDA WASIOTUPENDA, TUWE TAYARI KULIA!

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhu­siano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiamini­sha kwa asilimia...

READ MORE

TAHADHARI YA KUCHUKUA KWA HOMA YA INI!

UGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...

READ MORE

MADAI YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI, ASKARI AKATWA NYETI

KUNA unyama ambao ukisimuliwa unaweza kusisimkwa na mwili; mfano ni huu wa mtu kuchukua kitu chenye ncha kali na kumkata...

READ MORE

GIGY KATOKA KIGUMU, ANAWAINGIZA CHAKA WENGINE !

KIPINDI kile mwanadada Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaanza kujulikana, hakuna aliyejua kwamba alikuwa na lengo la kuja kuwa mwanamuziki. Wengi...

READ MORE

MAPENZI KUNOGA KIPINDI CHA BARIDI NI TATIZO, SH’TUKA!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...

READ MORE

ADAIWA KUMCHOMA VISU MWENZAKE, AMSUBIRIA AFE!

UKIULIZWA ‘Kwa nini umemchoma kisu mwenzio na kumuua?’ Na ukagundua kuwa kosa lake lilikuwa ni kuvaa raba zako nyeusi za...

READ MORE

VIFO VYA WANAHABARI CHANZO CHATAJWA

MSIBA mbichi ni wa mwanahabari nguli nchini, Ephraim Samson Kibonde (47) ambaye alifariki dunia ghafla Machi 7, mwaka huu na...

READ MORE

UKIFANYA HIVI, WENYE PESA WATAKUMEGEA PENZI LAKO!

LEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...

READ MORE

AINA TANO ZA VYAKULA HATARI!

SIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya.     Leo tunaainisha...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI!

FIGO ni viungo vilivyomo ndani ya mwili vyenye kazi ya kuchuja uchafu uliomo kwenye damu. Vinahusika pia na uratibu wa...

READ MORE

MWANARIADHA ATOWEKA SIKU 240

DAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa...

READ MORE

JE, UMJANJA NA UNATIMIZA WAJIBU WAKO KWA MUMEO?

MPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...

READ MORE

BAADA YA KUKAA MPWEKE…BABU ALILIA MKE MKUTANONI

ARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, babu mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Kilimaji, Kata ya Moshono...

READ MORE

KAA CHONJO STAILI MPYA YA WANAWAKE KUWALIZA WANAUME YAIBUKA

 UKIAMBIWA kaa chonjo usifikiri kuna jambo la heri linakuja, ni hatari tupu! Onyo hili liwafikie wanaume wote kutokana na kuibuka...

READ MORE

HATARI: ‘TANROADS WANASUBIRI ZIFIKIE AJALI NGAPI HAPA?’

GAZETI hili kwanza lina kila sababu ya kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Ndani...

READ MORE

TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI LINAVYOWATESA WENGI!

KATI ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri ambayo husababishwa na uwepo wa fangasi...

READ MORE

POLISI, MWALIMU WAIBUKA WASHINDI CHEMSHA BONGO NA UWAZI

POLISI wa Kituo Kikuu cha Kati (Sentro),Vincent Laurent na mwalimu wa Shule ya Keko-Magurumbasi, Jacqueline Mbawala wamejishindia kila mmoja kiasi...

READ MORE

MWANAUME MBAHILI KWA MPENZI WAKE ANAMAANISHA HIVI!

KATIKA ulimwengu wa sasa, wapenzi wapo wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana...

READ MORE

KAULI YA CHID BENZ KWA RC MAKONDA

KUNA msemo wa Kingereza usemao; “Don’t judge a book by it’s cover”. Zipo tafsiri zisizo za moja kwa moja za...

READ MORE

AJALI ILIYOUA WANNE…. MTOTO AIBUA SIMANZI NZITO!

NI SIMANZI juu ya simanzi! Kufuatia ajali iliyoua watu wanne katika mteremko wa Nyangoye, Bukoba mkoani hapa, mtoto wa mmoja...

READ MORE

Ee! Mungu wangu!

EEE Mungu wangu! Hutaacha kusema hivyo ukifanikiwa kumuona Nezia Maregesi, mkazi wa Majita mkoani Mara ambaye ana uvimbe mguuni wenye...

READ MORE

MAISHA YA GEREZANI YA VIGOGO KESI ZA TRILION 2.5 UKWELI WAANIKWA

  YAPO madai mengi mtaani kuhusiana na wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa wanaopelekwa mahabusu ama kwa kunyimwa dhamana au kufungwa.  Kwamba, kuna...

READ MORE

KISA DENTI CHUO KIKUU… BODABODA APELEKWA KUZIMU!

MOROGORO: Kijana mmoja dereva wa bodaboda ambaye jina lake halikufahamika mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20, amepokea...

READ MORE

MNAOSTAAJABU YA WEMA, ACHA NIWAKUMBUSHE YA GIGY!

NAJARIBU kuvuta picha siku ya kwanza kabisa kukutana na mwanadada anayefanya fresh kwenye game la muziki Bongo. Huyu si mwingine...

READ MORE

WENZIO WANAJIZOLEA ZAWADI NA UWAZI, WEWE UNANGOJA NINI?

  Mambo yamezidi kunoga kwenye ile Chemsha Bongo inayoendeshwa na Gazeti la Uwazi ambapo wasomaji mbalimbali wamejizolea zawadi za pesa...

READ MORE

WEWE UKO DAR, YEYE ARUSHA, PENZI LA KWELI LITOKE WAPI?

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...

READ MORE

KISA DILI LA KUSUKA BINTI APATA MAJANGA MAZITO!

DUNIANI kuna taabu, lakini jipe moyo! Mwanadada aitwaye Adelina Peter (25) (pichani), mkazi wa Yombo-Kilakala jijini Dar, amepatwa na janga...

READ MORE

KAJALA ANAVYOKOSEA KUMGEUZA PAULA SHOSTI YAKE !

KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One,...

READ MORE

LICHA YA JPM KUSEMA WAACHWE…RAIA 4 WAPIGWA RISASI !

INAUMA sana! Watu wanne katika Kata ya Kapalamsenga, Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, wamepigwa risasi na askari wa wanyamapori, ambapo...

READ MORE

MUME AMNUSISHA KIFO MKEWE!

KATIKA ndoa za siku hizi, wakati mwanaume na mwanamke wakikutana na kukubaliana kuoana, utadhani hakuna jambo baya linaloweza kutokea kati...

READ MORE

KISA FEDHA ZA RAISI JPM… BIBI YAMFIKA MAZITO!

IKIWA unaishi maisha yako kwa raha mustarehe, afya yako ikiwa njema, unapaswa kushukuru kwani upande wa pili kuna wengine wanataabika...

READ MORE

UKIMPENDA SANA MTU USIYE MUAMINI, JIANDAE KUJIUA/ KUWA KICHAA !

NI mwaka mpya na mambo mapya lakini kiukweli kwenye suala la mapenzi hakuwezi kuwa na mambo mapya. Mambo ni yaleyale...

READ MORE

TUKIO LA KUTISHA! Mtoto Miaka 8 Acharangwa Vibaya Mgongoni

MKURANGA: Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha; mfano ni hili tukio la kutisha...

READ MORE

 MTOTO ALIYETUPWA ILI AFE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, AISHANGAZA DUNIA!

  NI asubuhi ya Januari 31, 2016, mitaa ya kijiji fulani nchini Nigeria imetulia, watu wanaendelea na shughuli zao za...

READ MORE

MABURUNGUTU YA PESA YALIYONASWA MWANZA UTATA WAIBUKA!

MWANZA: Tukio la Jeshi la Polisi jijini Mwanza kukamata kilo 323.6 za dhahabu na maburungutu ya fedha taslim kiasi cha...

READ MORE

SURA 3 ZA ‘MISAMBWANDA’ YA MASTAA WA KIKE BONGO!

SIKU moja alifika staa mmoja wa kike katika ofisi zetu kwa lengo la kufanyiwa mahojiano. Ni staa mkubwa tu wa...

READ MORE

SERIKALI YA JPM KIBOKO… FAMILIA HII YAULA MIL. 343

FAMILIA ya Chacha Kiguha Babere inaweza kusema mvumilivu hula mbivu baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kuuamuru Mgodi wa Dhahabu...

READ MORE

MUHIMBILI YATOA TAMKO MTOTO ALIYEKATWA MKONO

SAKATA la mtoto Issaya Merikioni aliyechomwa sindano na daktari na kunyauka mkono kisha ukakatwa linaendelea; sasa Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE