×

Uwazi

Ijue Hatari Ya Kumchunga Na Kumfuatilia Sana Mpenzi Wako

MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao...

READ MORE

Mambo Matano Yanayoumiza Wengi Katika Uhusiano

  KUNA mambo mengi ambayo husababisha wenye uhusiano kuumia roho zao. Leo tuyayaeleza mambo hayo kama ifuatavyo: KUFICHA MAMBO Kuna...

READ MORE

Vyakula Vya Kula Kwa Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

LEO tutaangazia vyakula vya kuepukwa na wagonjwa wa vidonda vya tumbo lakini pia tutaeleza vyakula vinavyofaa kuliwa na hao wenye...

READ MORE

Fahamu Kwa Nini Wataalamu wa Lishe Wanashauri Kula Korosho Mara kwa Mara

KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa...

READ MORE

Kama Anakuliza Kila Siku, Unamng’ang’ania Wa Nini?, Soma Hapa

TUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali...

READ MORE

Faida za Kula Ufuta Kila Siku kwa Afya ya Mwili, Siri Nzito Ipo Hapa

UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya...

READ MORE

Mambo ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka!

  MPENZI msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini...

READ MORE

Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko

KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki...

READ MORE

Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia...

READ MORE

Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!

  MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...

READ MORE

Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’

WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Sababu Za Mbegu Za Maboga Kuipiku Supu Ya Pweza

MBEGU za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu...

READ MORE

Nyama Nyekundu Inavyosababisha Kisukari, Moyo, Kansa

NILIWAHI kuandika kuhusu madhara ya nyama nyekundu ingawa watu wengi hawajui kwamba ina hatari zake. Kutokana na wengi kupenda nirudie...

READ MORE

Matatani Kunywa Pombe na Wanawake Wawili Baa

KWANI kunywa bia na wanawake wawili baa ni kosa kisheria? Si ndivyo utakavyohoji? Sasa UWAZI linakuambia wewe endelea na udadisi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Baada ya...

READ MORE

Gwajima; Halima Mdee Njia Panda

JIMBO la Kawe linawaka moto hivi sasa kwa kampeni za kukata na shoka, kati ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Watu 7 Wauawa Kikatili, Mama, Ndugu wa Damu Wahusika – Video

NI simanzi kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri kishindo cha mauaji ya watu saba katika mikoa ya Mara, Arusha, Mbeya na...

READ MORE

Mr blue afungukia kuoa mke wa pili

MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa...

READ MORE

Shilole:Mimi kuwa mjamzito, shida nini?

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ana ujauzito, paparazi wetu alimtafuta na kumbana...

READ MORE

MAMA AMWAGIWA PETROLI, ACHOMWA MOTO HADI KUFA

MaMa mmoja ajulikanaye kwa majina ya Lucia Keraka mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Kijiji cha Kerende wilayani Tarime,...

READ MORE

FAGIO KALI CCM

HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna...

READ MORE

KAMA UNAHONGA ILI UPENDWE UMECHELEWA SANA , SOMA HII!

Ndugu zangu huko mtaani tunakoishi kuna watu ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha wanawapata wale ambao wametokea kuwapenda. Unamkuta...

READ MORE

P DIDDY ADAIWA ‘KUNYAKUWA ’ DOGODOGO

KACHAFUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mkongwe kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Sean John Combs ‘P...

READ MORE

TAJIRI BONGO ALIYEUAWA KIKATILI NA AL-SHABAAB MALI ZAKE ZASHTUA

MAHAD Abdillah Nur, mfanya-biashara tajiri na mwekezaji Bongo hakuwa amejulikani na wengi hadi pale taarifa za kifo chake ziliposambaa na...

READ MORE

ASANTE! NGUVU YA KUMWAMBIA MPENZI WAKO NISAMEHE,

NI wiki nyingine tena Mungu ametukutanisha kupitia ukurasa huu. Naamini umzima na unaendelea na mchakamchaka wa maisha kama kawaida. Nikukumbushe...

READ MORE

TATIZO LA KUWASHWA MWILI NA TIBA YAKE

KUWASHWA katika ngozi ya mwili ni kitu kinachomfanya mwanadamu kukosa utulivu kutokana na kero anayopata. Hutokea mwanadamu kukumbwa na muwasho...

READ MORE

KAMA UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME, HII INAKUHUSU

    UTAFITI wa hivi karibuni nchini Uingereza umebaini tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ubora wake wake...

READ MORE

Mume Aliyeimkata Mikono Mkewe, Fundisho kwa Wanaume!

KAMA kuna habari iliyojaa mafunzo kwa wanaume ni hii ya Jackline Mwende ambaye alikatwa mikono yake na mumewe na habari...

READ MORE

KAMA UNAMPENDA, MWACHE AJICHUNGE, ACHA KUMFUATILIA!

HUKO nyuma niliwahi kufanya uchunguzi kwa kuzungumza na baadhi ya wapenzi kuhusu suala la usaliti. Hakika wengi walikiri kujua kwamba...

READ MORE

BALAA LA TALAKA 3 MAMA NA WANAYE WALAZWA NJE SIKU 9

TALAKA tatu alizopewa na mumewe zinaonekana kumtesa mwanamke mmoja aitwaye Kaigo Salila (34), mkazi wa Kigogo Freshi jijini Dar es...

READ MORE

Daktari Mhindi Anayedaiwa Kumfanyia Mbongo Upasuaji Kimagumashi Kimenuka

KIMEWAKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kucharuka na kumtaka daktari wa Kihindi, Annapurna Dama kufika mahakamani...

READ MORE

UKIPARAMIA PENZI LA USIYEMJUA, ANDIKA MAUMIVU!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia uwanja huu wa mahaba. Ni eneo pekee ambalo unaweza kujifunza mambo ambayo yanaweza...

READ MORE

JINSI YA KUEPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA !

WANAWAKE wengi hawajui kuhesabu mzunguko wao wa hedhi na namna unavyoweza kutumika katika kuleta au kutoleta ujauzito.  Hata hivyo, ili...

READ MORE

INASIKITISHA MTOTO AUAWA, ATUPWA KWENYE KARO LA CHOO

VITENDO vya utekaji na mauaji ya watoto vinavyoendelea katika Manispaa ya Lindi, vinazidi kuwapa wakati mgumu wananchi wa mkoa huo...

READ MORE

HII NI AIBU NZITO KIGOGO MATATANI KWA MKE WA MTU

DAR ES SALAAM: Ukiambiwa mke wa mtu sumu na ukaendelea kubisha yatakufika mazito kama ambavyo kigogo wa Wizara ya Maliasili...

READ MORE

OMBA, SALI UMPATE MUME MWENYE TABIA HIZI 6!

WIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia...

READ MORE

SIMANZI! BI HARUSI AFARIKI DUNIA GHAFLA AKISUBIRI NDOA

PANGA maisha uwezavyo, lakini mpangaji mkuu atabaki kuwa Mungu aliyeshika uhai wako kama ambavyo msichana mmoja jijini Dar es Salaam...

READ MORE

DEREVA BAJAJ YAMFIKA MAZITO!

DEREVA wa Bajaj aliyefahamika kwa jina la Noel Razaro (30) kutoka Mtwara yamemfika mazito baada ya kupata ajali mbaya iliyomsababishia...

READ MORE