×

Mayele Awaonya Inonga, Onyango “Wakimpania Kumzuia Asifunge Watapigika Vibaya”

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ni kama amewatahadharisha mabeki wa Simba kwa kusema wakiingia uwanjani kwa lengo la kumpania kumzuia...

READ MORE

Tigo Wasaini Mkataba wa Kupanga Jengo la PSSSF Ambalo ni Refu Kuliko Yote Afrika Mashariki

    DAR ES SALAAM. Tarehe 27 Aprili, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali nchini, Tigo Tanzania,...

READ MORE

Mataifa Yenye Nguvu… Uingereza, Marekani Kupeleka Ndege za Kivita Ukraine – Video

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Liz Truss amesema kwamba Uingereza na mataifa mengine yenye nguvu ya Magharibi yanapaswa...

READ MORE

Internet Society na Wadau Walivyojadili Changamoto za Kodi za Kidigitali

    SHIRIKA la Internet Society Tanzania na wadau wake wamefanya workshop ya kujadili changamoto mbalimbali zilizomo kwenye mfumo mpya...

READ MORE

Utata Vazi la Manara, Mmasai Amvaa “Kakosea Nguo, Kavaa Shanga za Wanawake”-Video

 GLOBAL TV imepiga stori na Mmasai mmoja mkazi wa Arusha, baada ya jana msemaji wa Yanga, Haji Manara, kuonekana...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Aprili 27, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 26, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Wateja na Mawakala wa Airtel Money Wajishindia Mkwanja na Tesa Kimilionea

  KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imechezesha droo ya 11 ya promosheni ya Airtel Money Tesa Kimilionea ambapo wateja 100...

READ MORE

NMB Yaipa Kipaumbele Elimu ya Fedha kwa Vijana Nchini

  Serikali chini ya Benki kuu ya Tanzania (BOT) waliweka kipaumbele utoaji wa elimu ya fedha kwa Watanzania hususani vijana...

READ MORE

NBC Yazidi Kuinogesha Ligi Kuu, Yatoa Tuzo/Fedha Kwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuboresha masuala mbalimbali ya kimichezo sambamba na kutoa hamasa kwa wachezaji. NBC...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Akutwa na Corona

MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutwa na Korona, taarifa imetolewa na Ikulu ya Marekani. Makamu huyo wa Rais...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Pablo: Simba Tulieni, Tunawapiga Yanga Jumamosi Uwanja wa Mkapa

WAKATI Simba SC wakitua Dar wakitokea Afrika Kusini, kocha mkuu wa kikosi hicho, Pablo Franco, akilini mwake alikuwa akiiwaza Yanga...

READ MORE

Watu 9 Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa, Rais Samia Atuma Salamu za Pole

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafiwa kutokana na vifo vya...

READ MORE

Raia Nchini Urusi Ajiua Baada ya Kuua Mwalimu na Watoto wa Shule ya Awali

RAIA mmoja nchini Urusi anayefahamika kwa jina la Ruslan Akhtyamov mwenye umri wa miaka 26 amevamia shule moja ya wali...

READ MORE

Spiderman wa Nigeria Awa Gumzo kwa Kuzoa Taka Mitaani

KAMA wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii, bila shaka utakuwa umeshakutana na video zinazomuonesha ‘Spiderman wa mchongo’ anayecheza Taarab...

READ MORE

Mpango: Muungano Wetu ni Zaidi ya Hati ya Muungano

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano...

READ MORE

Baba Levo: Harmonize Hawezi Kumzima Diamond “Ni Mtoto tu Anayejaribu Kuiga”

BABA levo au Mtaalam Fundi Manyumba; ni msanii wa Bongo Fleva, komediani na mtangazaji wa Wasafi ambaye amemchamba msanii Harmonize...

READ MORE

HADITHI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 6

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Pale nilipokuwa nimesimama, karibu na ukuta, kulikuwa na mtaro, ile inayochimbwa kandokando ya barabara....

READ MORE

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Wafungwa 3, 826 Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 3, 826 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 58 ya muungano...

READ MORE

Ratiba ya Kuaga Mwili wa Marehemu, Irene Alex Ndyamkama, Bungeni Dodoma

Kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kimefanyika na kukubaliana kuwa...

READ MORE