×

Mocco Genius Maana Halisi Ya ‘From Zero To Hero’ na Ndoto za kutoboa Kimataifa

KAMA wewe ni kijana mtafutaji basi lazima utakuwa unaufahamu vizuri ule msemo wa ‘FROM ZERO TO HERO’ wenye maana ya...

READ MORE

Rais Samia Aridhia Nyongeza ya Mshahara, Aongeza kwa Asilimia 23.3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Haasan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini...

READ MORE

Rais wa Zimbabwe Mnangagwa Azindua Shamba la Bangi

EMMERSON Mnangagwa; ni Rais wa Zimbabwe ambaye amezindia shamba kubwa la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya Dola...

READ MORE

Ahukumiwa Jela Miaka Mitano kwa Kuvunja Nyumba na Kuiba Debe la Maharage

  MAHAKAMA ya mwanzo ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imemhukumu Ombeni Ngwa’vi (25) kifungo cha miaka mitatu...

READ MORE

Mbosso Khan Asema Anatamani Kuwa na Wapenzi Wanne

MBOSSO Khan; ni mwimbaji mkali wa Tanzania ambaye amefunguka kuhusu jinsi angefurahi kuwa na wapenzi wanne. Mbosso amesema; “Ukiwa na...

READ MORE

Urusi Yaikatia Umeme Finland, Ni Baada ya Kutangaza Kujiunga na NATO

FINLAND imethibitisha Urusi kuikatia huduma ya umeme, Kampuni ya usambazaji wa umeme nchini Finland ya Fingrid imethibitisha kuwa hakuna tena...

READ MORE

Watu 21 Waripotiwa Kufariki Korea Kaskazini Kutokana na Uviko-19

KOREA KASKAZINI imeripoti vifo vya watu 21 kutokana na tatizo la Uviko-19 ambalo limeingia nchini humo ikiwa ni siku ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Akagua Mradi wa Bagamoyo Sugar

  Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea mradi wa Kimkakati wa kilimo cha Miwa na uzalishaji...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 14, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Imetangaza Mabadiliko ya Muda Pambano la Dodoma Jiji na Yanga

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPBL) imetangaza mabadiliko ya muda wa pambano la Ligi Kuu ya NBC namba 208 kati...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Rais wa UAE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suuhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu...

READ MORE

Mayele Atangaza Hali ya Hatari, Awapania Dodoma Jiji

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa licha ya kupoteza mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Tanzania...

READ MORE

Jembe Jipya Lataja Sababu za Kujiunga Yanga, Lamtaja Aucho

BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uganda, Mustafa Kiiza, ambaye amemalizana na Yanga, amewataja wachezaji Hamisi Kiiza na...

READ MORE

Rais Samia: Mtetezi Pekee wa Haki za Binadamu Tanzania ni Katiba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amehudhuria hafla maalum ya maadhimisho ya miaka 10 ya...

READ MORE

Bosi Yanga Afunguka Morrison Kutua Klabuni, Simba Yatoa Tamko Zito

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amesema kuwa kiungo wa Simba, Mghana, Bernard Morrison ni bonge la mchezaji, na wanatamani...

READ MORE

Nabi Awaandalia Sapraizi ya Ubingwa Simba SC, Adai Anajua cha Kufanya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia: “Mashabiki acheni presha, niachieni mimi,...

READ MORE

Majeshi ya Israel Yashambulia Waombolezaji Kwenye Mazishi ya Shireen Abu Akleh

  MAZISHI yanafanyika leo ya mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh aliyeuawa na majeshi ya Israel nchini Palestina katika kambi...

READ MORE

Video: Mazishi ya Mwandishi wa Kituo cha Al Jazeera, Shireen Abu Akleh, Jerusalem

 Mwandishi habari mashuhuri wa kituo cha televisheni cha Al Jazeera, Shireen Abu Akleh, anazikwa leo katika makaburi yaliyoko karibu...

READ MORE

Baada ya Sare Tatu Mfululizo, Pablo Aiombea Mabaya Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, raia wa Hispania, amefichua kuwa kilichobaki kwa sasa ni kuendelea kuwaombea wapinzani wao Yanga...

READ MORE