×

Trump Asema Marekani Itaiweka Venezuela Chini ya Usimamizi wa Mpito

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kwamba nchi yake itaiendesha Venezuela kwa kipindi cha mpito hadi itakapohakikisha kuna uhamisho wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa...

READ MORE

Rais Samia Aizawadia Taifa Stars Milioni 500 Baada ya Kufuzu 16 Bora AFCON

Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeizawadia timu ya Taifa (Taifa Stars) kiasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa TAMISEMI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,...

READ MORE

Marekani Yafanya Shambulio Kijeshi Venezuela na Kumkamata Rais Maduro

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais...

READ MORE

Museveni na Bobi Wine Wapishana Kauli, Joto la Uchaguzi Uganda Laanza Kupanda

Huku zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda kufanyika Januari 15, Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake...

READ MORE

Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed amepata ajali ya gari akiwa njiani...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amefika kukagua ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya, ambayo miezi kadhaa iliyopita...

READ MORE

Ondoka na Mkwanja Mrefu Ndani ya Meridianbet

Siku ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea  ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki,...

READ MORE

Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali, Arudishwa Gerezani

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia, wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

Ushindi Unaendelea Na Gates of Halloween Ndani ya Meridianbet

Hata baada ya pazia la Halloween kushushwa, mvuto wa msimu huu bado unaishi ndani ya Meridianbet. Kupitia mchezo wa kasino...

READ MORE

Polisi Waendelea na Uchunguzi Ajali ya Lori Morogoro – Video

Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa kwa umma kuwa linaendelea na uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 31,...

READ MORE

Baada ya Miezi 10 Gerezani Sudan Kusini, Dereva Juma Maganga Aachiwa Huru – Video

Baada ya miezi 10 akiwa gerezani nchini Sudan Kusini, dereva wa magari makubwa wa mizigo, Juma Ally Maganga (45), ameachiliwa...

READ MORE

Boti Ya Wahamiaji Yapinduka Gambia — Wengi Waokolewa, Wengine Watafutwa

Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200, imeripotiwa kupinduka usiku wa manane...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Hakikisheni Mradi Wa Bwawa La Maji Kidunda Hausimami – Dkt Mwigulu

WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa...

READ MORE

Video: PM Mwigulu Akagua Athari za Mvua Kidete, Atoa Hakikisho la Serikali

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete,...

READ MORE

Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi

Zohran Mamdani ameanza rasmi kazi yake kama Meya wa Jiji la New York, akiahidi kuubadili utendaji wa serikali ya jiji...

READ MORE