×

Serikali Yaandaa Tume ya Maridhiano Kuimarisha Umoja wa Kitaifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza maandalizi ya kuunda Tume ya...

READ MORE

Wawili Washikiliwa na Polisi Kufuatia Kifo cha Mtanzania Uturuki – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Januari Ilinipokea kwa Hofu ya Ada za Watoto, Hizi Ndizo Mbinu Nilizozitumia

Januari ilipofika, nilikuwa na wasiwasi mzito moyoni. Shule zilikuwa zinafunguliwa, lakini mfukoni sikuwa na kitu cha maana. Sikukuu zilinimaliza kifedha,...

READ MORE

Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai

Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya...

READ MORE

Nyimbo 10 Bora Zilizotrend Tanzania 2025 – Hizi Ndizo Hits za Kila Mtu

Muziki wa Bongo Flava umeendelea kushikilia nafasi yake mwaka 2025, huku baadhi ya wasanii wakitoa hits ambazo zimetawala redio, YouTube,...

READ MORE

Akina Mama Sinza Watabasamu Kupitia Msaada wa Meridianbet Hospitali ya Palestina

Tabasamu na hisia za shukrani zilitawala katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, baada ya Meridianbet kutoa msaada...

READ MORE

Uzinduzi Rasmi Wa Jukwaa Jipya La Mauzo Mtandaoni La ‘Samsungstore.Tz’

Mshirika wa Samsung Tanzania,  Mars Communication Limited, imezindua rasmi jukwaa lake jipya la mauzo mtandaoni, hatua muhimu inayowarahisisha wateja kote...

READ MORE

Taifa Stars Yaweka Rekodi, Kuvaana na Morocco 16 Bora AFCON 2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa kuvaana na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Kombe...

READ MORE

Mtanzania Aliyetoroka Oman Afichua Mazito ‘Nilikuwa Napewa Sambusa, Mshahara Hakuna’” – Video

Mwanadada Farida Hamadi ni miongoni mwa wanawake waliokuwa wanaishi nchini Oman 🇴🇲, ambako walikwenda kufanya kazi za ndani lakini baadaye...

READ MORE

AFCON, EPL na Ligi za Kimataifa Kitawaka leo, Piga Mpunga na Meridianbet

Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka...

READ MORE

United, Chelsea Wabanwa Nyumbani, Arsenal Yaizamisha Aston Villa 4–1

Ligi Kuu ya England iliendelea kwa hamasa kubwa, na matokeo ya mwisho ya mechi za jana yanaonyesha wazi kwamba msimu...

READ MORE

Mwaka Mpya Ulinikuta Nikiwa na Hofu ya Kodi na Ada, Hivi Ndivyo Nilivyojipanga

Mwaka mpya ulipofika, sikuhisi furaha niliyotarajia. Nilikuwa na mzigo wa kodi ya nyumba, ada ya shule, na madeni madogo yaliyokuwa...

READ MORE

Mambo ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka!

  MPENZI msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yajivunia Ushiriki, Udhamini wa Matukio Sherehe za Mapinduzi Z’bar

WAKATI Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikiitunukia Cheti cha Shukrani na Pongezi kwa kufadhili, kudhamini na kushiriki Siku ya Kitaifa...

READ MORE

Leo ni Siku ya Ushindi! Beti na Meridianbet Kisha Uondoke na Faida

Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa...

READ MORE

Harmonize na Kajala Waonekana Pamoja Kwenye Boti, Mashabiki Wapagawa – Video

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonekana tena akiwa karibu na mpenzi wake Kajala, katika hafla maalum iliyofanyika ndani ya...

READ MORE

Yanga Yamsajili Mshambuliaji Mwanengo kutoka TRA United

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Emmanuel Samuel Mwanengo kutoka TRA United. Mwanengo (22) raia wa Tanzania...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Yatangaza Ajira 4 za Mwandishi Mwendeha Ofisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba ajira za nafasi nne (04) baada ya...

READ MORE

Niliuanza Mwaka Nikiwa Naandamwa na Madeni Kibao na Mkwamo wa Kiuchumi

Mwaka mpya ulipofika, nilikuwa sina chochote cha kusherehekea. Hakukuwa na akiba, hakuna mpango wa wazi, na madeni machache yalikuwa yananikumbusha...

READ MORE