×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Februari 24, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 24, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Zawadi za NMB Mastabata Kivyakovyako Zafikia Mil 80

  Jumla ya Sh Milioni 80,000,000 zimetolewa na Benki ya NMB kwa wateja 80 waliojishindia katika droo ya MastaBata Kivyakovyako....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Mayele Azawadidwa Ng’ombe Morogoro

MMOJA wa mashabiki wa Yanga, mwenye asili ya Kimasai anaefahamika kwa jina la Mauya mkazi wa Dakawa, amemzawadia ng’ombe mzima...

READ MORE

Feisal Akiri Kufunga Bao la Mkono

KIUNGO mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekiri kuwa bao alilofunga leo Jumatano, Februari 23, 2022 dhidi...

READ MORE

Kisa Waarabu, Matajiri Waongezea Mkwanja Simba

AWALI uongozi wa Simba uliwatangazia wachezaji kuwapa bonasi ya dola 100,000 (Sh mil 231) katika kila mechi watakayoshinda, lakini kutokana...

READ MORE

Yanga Yatafuna Miwa ya Mtibwa Manungu

VINARA wa ligi kuu ya NBC Yanga leo imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 2-0...

READ MORE

Mzee wa Baraza la Mahakama Akwamisha Kesi Ya Mke wa Bilionea Msuya

Kesi ya mauaji  inayomkabili mke wa aliyekuwa mfanyabiashara marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyella imeshindwa kuendelea...

READ MORE

Rapper wa Afrika Kusini Riky Rick Ajinyonga

Rapper maarufu nchini Afrika Kusini, Rikhado Muziwendlovu Makhado almaarufu ‘Riky Rick’ amekufa baada ya kujinyonga jijini Johannesburg.   Muda mfupi...

READ MORE

Chama: Simba Fanyeni Hivi Kuiua Berkane

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amewaibia siri nyota wenzake wa klabu hiyo wakati wakijiandaa kucheza na RS Berkane akiwataka kuwa...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania Kuendeleza Uhusiano Kimataifa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendeleza uhusiano na mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Nchi ya Marekani katika sekta zote...

READ MORE

Kenya: Wanaume Walalamikia Uchafu wa Wake Zao

WANAUME kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao...

READ MORE

Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata

TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na...

READ MORE

Polisi Wa Kike Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya

Polisi wa kike kutoka nchini Jamaica, amekamatwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine gramu 1,350 akiwa amezificha sehemu mbalimbali...

READ MORE

Kigogo wa Chadema Akamatwa Tena

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu leo amemuomdolea mashitaka ya uchochezi Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema,...

READ MORE

Kichwa cha Treni Chaibua Mjadala, Serikali Yafafanua

Serikali imesema vichwa vya treni ya umeme vilivyoagizwa bado havijawasili nchini. Imesema vichwa hivyo vipo kiwandani vinatengenezwa, kilichoingia nchini ni...

READ MORE

Kimbunga Emnati Chatua Madagascar

KIMBUNGA Emnati kimegonga kisiwa cha Madagascar usiku kucha, huku kisiwa hicho kikiwa bado kinayumbayumba kutokana na athari za kimbunga kingine...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Kuinadi Tanzania Katika Maonesho Makubwa Ya Expo 2020 Dubai

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali imejipanga kutumia Maonesho ya Dubai EXPO 2020 kuinadi Tanzania Kwa...

READ MORE

Al- Shabab Yatumia Bil. 55 Kununua Silaha

KUNDI la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia dola milioni 24(£18m) sawa na TZS bilioni 55.5 kununua silaha hii ni kwa mujibu...

READ MORE

Rais Samia: Chuo Cha Mwalimu Nyerere Kitasaidia Kuwaandaa Vijana -Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kufunguliwa kwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani,...

READ MORE