×

Watu 21 Wauawa Katika Shambulizi la Makombora Kharkiv

Takriban watu 21 wameuawa na wengine 112 kujeruhiwa katika shambulio la makombora katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine,...

READ MORE

Mwijaku: Siiamini Ndoa Ya Diva

  MTANGAZAJI wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku amedai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa...

READ MORE

Meli Iliyobeba Magari Ya Kifahari 4,000 Yazama Ureno

Meli ya mizigo iliyokuwa imebeba magari ya kifahari takribani 4,000, imezama katika Visiwa vya Azores nchini Ureno, zikiwa zimepita wiki...

READ MORE

Baba Askofu Ludovic Minde Ahudhuria Mkutano wa Sinodi ya Maaskofu 2021-2023

    LEO Machi 2 katika nyumba ya mapadri lenguo Halmashauri ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Baba Askofu Ludovic Minde...

READ MORE

Zari Ndoa Yanukia

SIYO stori kwamba baby mama wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi...

READ MORE

Nandy Achukua Likizo Ya Muziki

KAMA wewe ni mtalii kwenye mitandao ya kijamii, pasi na shaka utakuwa umekutana na jina la Nandy ambaye ni supastaa...

READ MORE

Urusi Yatoa Vitisho; Kimbieni Au Bakini Mfe

Maelfu ya wakazi wa Jiji la Kyiv ambalo ndiyo Mji Mkuu wa Ukraine, wanaendelea kuukimbia mji huo ikiwa ni muda...

READ MORE

Abramovic Awachanganya Mashabiki

BILIONEA Roman Abramovich ametoa ujumbe unaoonyesha kuwa amejiuzulu kuimiliki Chelsea lakini bado ujumbe huo hauko wazi sana. Hiyo ni baada...

READ MORE

Siri Nzito Chadema, Mkakati Wa Kuwang’oa Mdee Na Wenzake- Front Page

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini...

READ MORE

Ajali ya Ndege Comoro: Hakuna Miili Iliyopatikana

Serikali ya Comoro imesema bado hakuna mwili wowote uliopatikana baada ya kuanguka kwa ndege inayofanya safari zake visiwani humo.  ...

READ MORE

Video: Rais Joe – ”Marekani Tunasimama Na Ukraine, Putin Ametengwa”

Rais Joe Biden wa Marekani amesema madikteta ambao hawawajibishwi kutokana na uchokozi wao ndio wanaosababisha machafuko zaidi duniani.   Rais...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Machi 2, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 2, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kocha Awazawadia Nyota Wake Mahindi

USHINDI una raha yake bwana asikwambie mtu! Mkoani Iringa wikiendi iliyopita ilipigwa mechi ya kibabe kati ya La Masia FC...

READ MORE

Mazishi Ya Baba Wa GSM: Makamu Wa Pili Wa Rais, Mbunge Zungu, Washiriki -Video

 Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amezikwa leo jioni kwenye makaburi ya...

READ MORE

GGML yabeba tuzo kampuni bora ya madini 2021

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa...

READ MORE

Video: Rais wa Ukraine Akataliwa Kujiunga Umoja wa Ulaya

 Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, mchana wa leo Jumanne Machi 01, 2022 amezungunza kwa hisia kali na Bunge la...

READ MORE

Itakuliza! Ujumbe Wa Mwanajeshi Wa Urusi Kwa Mama Yake – Video

 Balozi wa Ukraine katika Baraza la Umoja wa Mataifa (UN), Sergei Kyslytsya amesoma ujumbe wa mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa...

READ MORE

Mtoto wa Museveni Aunga Mkono Uvamizi wa Urusi

Shirika la Habari la Uingereza, BBC limeripoti kuwa mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aitwaye Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba,...

READ MORE

Urusi Yaongeza Majeshi Ukraine

Mazungumzo ya jana kati ya Urusi na Ukraine; mataifa ambayo yako vitani ni kama yamechochea moto wa mapigano.   Duru...

READ MORE