×

Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata

TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na...

READ MORE

Polisi Wa Kike Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya

Polisi wa kike kutoka nchini Jamaica, amekamatwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine gramu 1,350 akiwa amezificha sehemu mbalimbali...

READ MORE

Kigogo wa Chadema Akamatwa Tena

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu leo amemuomdolea mashitaka ya uchochezi Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema,...

READ MORE

Kichwa cha Treni Chaibua Mjadala, Serikali Yafafanua

Serikali imesema vichwa vya treni ya umeme vilivyoagizwa bado havijawasili nchini. Imesema vichwa hivyo vipo kiwandani vinatengenezwa, kilichoingia nchini ni...

READ MORE

Kimbunga Emnati Chatua Madagascar

KIMBUNGA Emnati kimegonga kisiwa cha Madagascar usiku kucha, huku kisiwa hicho kikiwa bado kinayumbayumba kutokana na athari za kimbunga kingine...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Kuinadi Tanzania Katika Maonesho Makubwa Ya Expo 2020 Dubai

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali imejipanga kutumia Maonesho ya Dubai EXPO 2020 kuinadi Tanzania Kwa...

READ MORE

Al- Shabab Yatumia Bil. 55 Kununua Silaha

KUNDI la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia dola milioni 24(£18m) sawa na TZS bilioni 55.5 kununua silaha hii ni kwa mujibu...

READ MORE

Rais Samia: Chuo Cha Mwalimu Nyerere Kitasaidia Kuwaandaa Vijana -Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kufunguliwa kwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani,...

READ MORE

TMA Yatoa Angalizo La Mvua Kubwa

MAMLAKA  ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imetoa angalizo la mvua kubwa kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa, Dar es Salaam,...

READ MORE

Nabi Awabadilishia Mbinu Mtibwa Manungu

MECHI ya kisasi! Ndivyo utakavyosema katika kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa leo...

READ MORE

GGML wamwaga Sh milioni 90 mkutano wa madini

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne...

READ MORE

Jinsi Nilivyoshinda KIKUBWA Kwa Mara Ya Pili Betpawa

Naitwa Martin, mjasiriamali, mkulima na mshindi MKUBWA wa betPawa mara 2. Nilibashiria TSh.500 kwenye mechi 8 sare na nikashinda TSh....

READ MORE

Kocha Berkane Apata Mchecheto Kucheza na Simba

BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekirikukutana na upinzani mkali dhidi ya...

READ MORE

Madalali Kariakoo Auction Mart Watifuana, Wawapandisha Kizimbani Viongozi Wao

    MADALALI wa Kariakoo Auction Mart wametifuana na uongozi wao wakiwatuhumu viongozi hao kukaa madarakani kwa zaidi miaka saba...

READ MORE

TANESCO kuvuna bilioni 5 mapato ya mwezi kutoka GGML

          KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita...

READ MORE

Yanga SC: Manungu Sio Tatizo Kwetu

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari waYanga,amesema kuwa Uwanjawa Manungu ambaounatarajiwa kutumika leo kwamchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao...

READ MORE

Wafahamu Mastaa Waliowahi Kutumia Bendera ya Ubaguzi wa Rangi

ISHU ya Msanii Wakazi kumtaka Diamond Platnumz kurekebisha sehemu ya video yake ya Gidi ambayo inamuonyesha yupo sehemu ambayo kuna...

READ MORE

Rais Samia Azindua Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere-Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufunguliwa kwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani,...

READ MORE

Diamond Apambana Na Hali Yake

SUPASTAA wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz anapambana na hali yake baada ya kuendelea kushambuliwa kutokana na video ya wimbo...

READ MORE

Askofu Niwemugizi: Rais Samia Usikubali Kuitwa Mungu…Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE