×

Aua Mke, Watoto Wake Kisha Kuteketeza Nyumba

MWANAMME mmoja mwenye umri wa miaka 45 amemuua mke wake na wanawe watatu kabla ya kuteketeza kwa kuichoma moto nyumba...

READ MORE

Mwanamke Apewa Talaka na Kufutwa Kazi Kisa Kudansi

VIDEO ya mwanammke mmoja akidansi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii na kusababisha mwanamke huyo mwenye watoto watatu kupewa talaka na...

READ MORE

Maiti Nyingine Zaopolewa Mto Yala

Sakata la maiti kuopolewa katika Mto Yala nchini Kenya limechukua sura mpya baada ya maiti nyingine mbili kuopolewa hapo jana...

READ MORE

Mtoto Auawa kwa Kuchomwa Kisu Shingoni

MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 13 hadi 16 amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni wakati akigombana...

READ MORE

Harmonize: Kiba Lazima Aimbe Kwenye Kumvisha Pete Mchumba Wangu

MWANAMUZIKI maarufu nchini Harmonize ameendelea kuonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Ali Saleh Kiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri kupitia kwenye...

READ MORE

Benki Ya Exim Yatangaza Mshindi Promosheni Ya “Weka Mkwanja Tukutoe!”

Dar es Salaam: 26 Januari 2021: Benki ya Exim Tanzania imetangaza washindi wa promosheni yake inayojulikana kama “Weka Mkwanja tukutoe!”...

READ MORE

Kifo cha Ayberk Pekcan Chawaumiza Wengi

Muigizaji nyota wa tamthilia ya Ertugrul inayorushwa na kituo cha runinga cha Azam Two, Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey...

READ MORE

Kisa Kibano, Mastaa Guinea Wamkimbia Rais

IKIWA ni baada ya kuondoshwa katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya AFCON 2021 kwa kuchapwa 1-0 na Gambia,...

READ MORE

Albam ya P Funk Imekamilika, Soon Inaingia Sokoni

HATIMAYE mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse maarufu kama P Funk Majani, ametangaza rasmi ujio wa albam...

READ MORE

Kampuni Inayonunua Mkojo wa Wajawazito Kuchunguzwa

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Djuma, Bangala Watimka Yanga

MASTAA wa Yanga, Djuma Shaaban na Yannick Bangala jana Jumanne saa tisa kamili alfajiri walipanda ndege kurejea nyumbani kwao DR...

READ MORE

Simba Kukiwasha na Kagera Sugar Kaitaba Leo

UONGOZI wa Simba umesema kuwa wana furaha kubwa kwenda kucheza Bukoba kwenye uwanja wa kisasana wenye hadhi yao dhidi ya...

READ MORE

Ambundo Aahidi Makubwa Yanga

WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo, amefunguka na kuelezea matumainiyake ndani ya kikosi hicho baada ya juzi Jumapili kufunga bao la...

READ MORE

Barbara: Ubingwa Ni Mali ya Simba Msimu Huu

MTENDAJI wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, amesisitiza kuwa ishu ya nani atakuwa bingwa wa ligi kuu msimu huu, ipo...

READ MORE

Kajala Amuonya Ringtone

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Frida Kajala amemuonya msanii wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Ringtone kuwa aache...

READ MORE

Benzema Hatiati Kuwakosa PSG

STAA wa Real Madrid, Karim Benzema huenda akaukosa mchezo Robo Fainali wa Copa del Rey na ule wa Hatua ya...

READ MORE

Askari Polisi Aliyekamatwa kwa Tuhuma za Mauaji Ajinyonga Mahabusu

Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Greyson Mahembe ambaye ni miongoni mwa maofisa saba...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Vodacom Tanzania, Budgeting & Strategic Planning Manager

Budgeting & Strategic Planning Manager Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  25-Jan-2022 Full Time / Part Time:  Full...

READ MORE

Mapya Sakata La Mauaji Mfanyabiashara, Kesi Ya Kujiuzulu Ndugai Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

‘Mama Tetema’ ya Rayvanny Yatikisa Billboard

NGOMA ya ‘Mama Tetema’ aliyoimba supastaa wa Bongo Fleva, Raymnond Mwakyusa ‘Rayvanny’ pamoja na nyota wa muziki kutoka nchini Colombia,...

READ MORE