×

Nape: Wizara Ipo Mikono Salama

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amemuhakikishia aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo ambaye kwa sasa...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Sherehe Za Miaka 58 Ya Mapinduzi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anashiriki sherehe za miaka 58 ya uhuru Zanzibar, leo Januari...

READ MORE

Video: Vita Ya Kumrithi Ndugai CCM Yanoga, Jina La Rais Samia Latajwa Kesi Ya Mbowe | Front Page..

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 TPA, Engine Rating

POST ENGINE RATING – 2 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL SECURITY EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA)...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatano, Januari 12, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 12, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Afunguka Tukio la Lissu Kupigwa Risasi

MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Yanga Warejea Dar Wakitokea Zanzibar (Picha +Video)

BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana Januari, 10,2022 leo wamewasili Dar wakitokea Zanzibar.   Yanga iliyokuwa inatetea...

READ MORE

Fahyma Adaiwa Kuwa na Mimba Ya Rayvanny

BABY mama wa msanii Rayvanny, Fahyma ameendelea kuonesha ishara kwamba huwenda amerudiana na jamaa huyo baada ya kudaiwa kubeba mimba...

READ MORE

Makada CCM Wajitosa Kuutaka Uspika

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameendelea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya...

READ MORE

Mwili wa Rubani Mazula Aagwa Dar

MWILI wa rubani mstaafu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Kapteni Deogratius Mazula (77), umeagwa jana katika Parokia ya Bikira...

READ MORE

Polisi Waanika Mtoto Alivyomuua Mama Yake

SILAHA ya jadi aina ya panga, ni moja ya vifaa vilivyokutwa katika shimo alilofukiwa mtu anayedhaniwa alikuwa muuguzi wa Hospitali...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mwakilema TANAPA

Rais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna...

READ MORE

Rick Ross Ajikomba Upya Kwa Hamisa

BAADA ya kumchunia na kusababisha mwanamama Hamisa Mobeto  kusemwa kuwa ametoswa na rapa wa Marekani, Rick Ross, hatimaye jamaa huyo...

READ MORE

Babu wa Squid Game Ashinda Tuzo Kubwa Duniani

Muigizaji nyota wa tamthilia maarufu Duniani ya ‘Squid Game’ O Yeong-su amefanikiwa kushinda tuzo ya kwanza ya Glolden Globe kama...

READ MORE

Ole Madeye Naye Autaka Uspika

Akiyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye amechukua fomu kuwania kiti cha Uspika. Ole-Medeye aliyekuwa Mbunge na Naibu...

READ MORE

Wana-CCM Tisa Wajitosa Uspika

Wanachama tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu za kuwania nafasi ya uspika wa Bunge kupitia chama hicho, kumrithi...

READ MORE

Rais Samia Azindua Kiwanda Cha Nguo, Zanzibar leo (Picha +Video)

Leo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua kiwanda cha nguo cha BASRA...

READ MORE

Apandikizwa Moyo Wa Nguruwe

MWANAUME mmoja nchini Marekani amekuwa mtu wa kwanza duniani kupandikizwa moyo kutoka kwa nguruwe aliyebadilishwa vinasaba.   David Bennett, mwenye...

READ MORE

Waandishi wa Habari Waliofariki Kwenye Ajali ya Gari Simiyu

Taarifa kamili juu ya ajali iliyohusisha waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza. …………………………………….. Ndugu waandishi wa habari na wadau wa...

READ MORE